Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?
Labda alikuwa anatafuta mpenzi wa muda baada ya kugundua mambo haya ili aliwazike na kuyasahau.
 
ndio mimi
unajua michelle huyu kaka alikua ananichanganya sana sasa nikaona bora nitafute wamkataba nimtupe yeye chini labda naweza 2lia lakini wap namkosa na yeye tena u wi wi !

Linganisha na uliyosema kwenye thread yako nyingine hasa hapo kwenye red.

Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Kwanza inaonekana ulianza kuwa single ukiwa na umri wa miaka 16 (23 - 7 years). Sasa sijui huyu unayetaka kufunga naye ndoa umempata lini. Acha kutufanya WanaJF watu wa kuja. Kama ulikuwa hujui, JF ina watu makini heshima zao. Wengine huku ni baba na baba zako! Wengine masuala ya mahusiano ndio professional zao na wazisomea. Inabidi uwaheshimu watu kama hawa na uwaombe radhi kwa kuwapotezea muda wao. Pia, hizi stories zako za kutunga zinawanyima watu wengine nafasi hasa wale wanaokabiliwa na matatizo ya ukweli na wanaotaka ushauri kukabiliana na matatizo yanayowakabili.

Pia waonee huruma wanaondesha JF sio tuu kwa kupoteza muda kumoderate stories zako za uongo, bali pia stories zako feki zinajaza tuu servers wakati unajua zinalipiwa. Indeed, basing on your threads you appear to be a spammer. Be careful.
 
Wandugu naomba msaada. Mimi nina mchumba wangu 2ko ktk process za harusi. alishanitambulisha kwao na nikakubalika. Mimi ninaishi na mamdogo. Mamdogo ndiye aliyenilea so nikama mamangu. SO Nilimpeleka Mchumba wangu kwanza kwa mamdogo kumtambulisha kabila ya ha2a nyingine na mamdogo ndiye aliyewaambia ndugu zangu wengine. na akasema kuwa atagharamia kichen party na send off kwa kuwa mimi nikama mtoto wake. ndugu zangu karibu wote wanamjua huyo kijana.sasa cha ajabu mamdogo ameanza kunikatisha tamaa. ananiambia mbona huyo mwenzako anaoneka haja2lia? Nimzuri 2 wasura hana kingine hakufai mwanangu. Tafuta mwingine mbona wanaume wako wengi? na maneno mengine mengine kibao. Mimi nikamjibu nampenda hivyo hivyo alivyo mamdogo.baada ya kuona sielekei kumwacha akaanza kumwaga upupu kwa ndugu zangu wote kwamba yule kaka hanifai. Ndugu zangu wakaanza kumchukia huyu kijana. Cha kushangaza naona mamdogo yuko karibu sana na mchumba wangu nikimuuliza anasema wanashughulikia mambo ya ndoa ye2. Siku moja mawifi zangu (ukweni) wakaniita na kuniuliza hivi huyo ni mamdogo wako kabisa? Nikawajibu ndio. yeye na mamangu ni wa2mbo moja walishangaa na kusema mbona sasa anafanya mambo ya ajabu vile? Nikawauliza mambo gani hayo wakasema nisubiri niolewe kwanza ndo wataniambia coz wanaogopa kuuvunja uhusiano we2. (mimi na kaka yao) katika chunguza yangu nimegundua mamdogo ananichukulia mchumba wangu. Nimuachie mchumba wangu au Nifanyeje??

are you serious hujui ufanyeje?kama unataka kushare na mama yako mdogo endelea,huyo mwanaume hafai tena fisadi mkimbie haraka na umwambie mama mdogo kumbe kweli huyu mwanaume hajatulia nimenyoosha mikono,anakula kuku na yai lake!bora aendelee na kuku!!
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?
afadhali umemshtukia tapeli huyo
 
Back
Top Bottom