Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

mama mdogo kaona wanamiminika tu home kaona isiwe tabu nae ajisevie mmoja
 
Hahahaha hivi Nothing4Good = Good4Nothing??Just curious....!
 
kama sikosei hii hadithi nilishawahi kuisoma kwenye Habari leo hivi!, nadhani atakuwa ameikopi huko, ili atupotezee muda wa kujadili hadithi za magazetini. so far ushahidi wa post zake za awali unamhukumu.
 
kama sikosei hii hadithi nilishawahi kuisoma kwenye Habari leo hivi!, nadhani atakuwa ameikopi huko, ili atupotezee muda wa kujadili hadithi za magazetini. so far ushahidi wa post zake za awali unamhukumu.

umeshtuka eeh, huyu kwanza tulishaconclude ni dume. Thread zake za kimtego mtego tu, halafu mwepesi kusahau
 

Duh ndo kusema huwekei mayai kwenye kapu moja.
 
muache mamamdogo wako na awe mbali sana na wewe

pia mripoti kwa ndugu zake
 
huu sasa umekuau ukumbi wa stori za kutunga. Nami nna yangu. Jana nimeota nimelala na mlinzi mmoja wa gadafi, alikuja kujificha tz baada ya kukimbia libya. Je nimwambie waifu, au ataona wivu? Nishaurini

katu usithubutu kumwambia, ataona wivu na anaweza kukuacha bure. Vp lakin ulifanikiwa kutoa bikra japo kindotoni? Nasikia ikikomaa shughuli ya kuinyofoa sio ya mchezo.
 

Mshukuru huyo mama mdogo kwa kukuonyesha ubazazi wa huyo b/f wako mapema....then sepa!
 
hahaha eti kuweni waelewa sisi au wewe unayejichanagnya masikini kila unavojitahidi kujitetea ndio unaharibu
 

Hapo kwenye red. ulimi uliteleza alitaka kusema "tunashughulikia mambo ya harusi yetu"
huyo mchumba hakufai na hana hata chembe ya aibu na ni mchafu wa tabia...haina tofauti tukisema amechakachua mama mzazi...maana mama mdogo ni sawa na mama yako mzazi. usimlaumu mama mdogo alaumie huyo mchumba kwa kukosa adabu
 
mi nahisi anaona watu wote humu JF akili zao kama zake pumbavu na kila tunavomjibu anajiona yeye ndio mshindi
Still bado anarudi na kutetea anachokisema akiona ni sawa i just don't understand what are his intentions akitoka hapo ataanza kulaumu wanaume wabaya
 
Ilikuwa ni Plan B baada ya mama mdogo kuanza kutoa neg comments. potezea hiyo Michelle
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?
 
kuhusu wa mkataba niliahirisha kutokana na maushauri yenu. A'm in a very real trouble I need help. Niwape hongera wale waliokutana na mpenz mmoja na huyo huyo makemisty yao yakaendana. Hawajui adha 2nazopata sie wengine. Full kizunguzungu.

Nothin4good ka vipi niPM, let's talk in private, nina mengi wana talk wt u. But onl if u ar serious.
 
Kweli dunia ina mambo!!

Nothing4good, hebu tulia. Ukifanya papara hii dunia itakufundisha, na somo lake sio rahisi hata kidogo, na mara nyingi madhara yake ni kifo.

Inawezekana hata hii stori hapa juu ni ya kutunga kutokana na jinsi unavyojichanganya humu ndani.

Usifikiri kila anayekuja hapa jamvini (JF) hana kazi au ana muda wa kuchezea.. Wengine tunakuja kujifunza, kuelimishwa na kupata maono mapya.

Umepotezea muda wana jamvini. Lakini, hebu tulia.. Hakuna mtu anayekufa kwa kukosa mwanaume kama akitulia.
Nakushauri ujipe likizo ya kutofanya mawasiliano na wanaume, na pia anza kuhudhuria nyumba za ibada..Jisonge karibu na Mungu. Yeye pekee ndio anajua shida zako. Haijalishi dunia inakuona wa ajabu kiasi gani. Mpe nafasi na atakusamehe na kukuponya na matatizo yako na kukupa tumaini jipya.

Hujachelewa,huna haja ya kukimbilia maisha. Hebu jiamini,jithaminishe na fikiria mambo ya maendeleo na hata utafute kozi fupi fupi kama bado hujaajiriwa.
 
pole saani.ni kweli huyo kijana hakufai manake kutembea na kuka na yai pia ni tabia isiyovumilika
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

Michelle labda hayo yakuibiwa na mama yake mdogo alishayajua ndio akawa anatafuta suluhisho la fasta, ingawa sijui huko aliandika nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…