Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,492
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema.
Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop
Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician
Profesional Nilisomaga Diploma Ya Clinical Medicine Lakin Mapenz Na Fikra Zangu Zipo Kwenye Electronics Tangu Mtoto, So Hata Nilipokuwa Chuo Bado Niliwekeza Nguvu Kwenye Electronics Ingawaje Nasoma Medicine.
Leo Ningependa Ku Share Na Nyinyi Experience Na Mbinu Na Ningependa Wengine Wajifunze Jinsi Ya Ku Run Phone And Computer Repair Business.
1. TAMBUA NA JIFUNZE BASIC ELECTRONICS KJKM
Hiki Ndio Kitu Kikubwa Kuliko Vyote, Kwa Maana Mafundi Wengi Hawajui Haswaa Kufanya Motherboard Repair Wanasingizia Motherboard Imeunguaz But Motherboard Haijawahi Kuungua Na Haitaungua, Kwa Maana Motherboard Ina IC Zaid Ya 50 + Other Eletronics Component Ambazo Sio Rahis Zote Kupiga Short.
Wanafanya Hivyo Kwa Sababu Hawajui Na Hicho Ndicho Kinachofanya Motherboarx Repair Iwe Most Paid Job Kwenye Repair Business.
Nitajifunzaje?
Kujua Electronics Kunaanzia Na Kuipenda Na Kuchezea Vifaa
Kwa Repair Kwanza Tambua Motherboard Component Na IC, Capacitors, Drivers, Mosfet Etc.
Pia Tambua Na Hivi
JINSI YA KUTUMIA MULTIMETER
JINSI YA KUUNGA COMPONENTS (SOLDERING & DESOLDERING)
SHORT CIRCUIT & NORMAL CIRCUIT
JINSI YA KUSOMA SCHEMATIC DIAGRAM
Vitu Vyote Utavipata Google Na Yourube So Tumia Internet Vizuri Na Tools Zipo Baadhi Cheap Sana, Mfano Multimeter Ni Elfu 8 Tu Kariakoo, Soldering Iron Cheap Ni Elfu Kumi Tu Kariakoo
Means Ukiwa Na Is 20k Basic Tools Zote Utazipata.
2. USIOGOPE KUWEKEZA KWENYE VIFAA
Vifaa Vipo Vingi Na Vinalipa Ila Vifuatavyo Ni Vifaa Basic Ambavyo Mimi Ninlmetumia Na Naamini Vinatumik Sana Katika Kazi Hizi.
MULTIMETER
SOLDERING STATION
LCD SEPARATOR
LAPTOP
ANT STATIC WRAP
BENCH POWER SUPPLY (30V, 10A)
HAND TOOLS (SCREWS, Etc)
USB VOLTMETER
REPAIR MICROSCOPE (Advanced Users)
Etc.
Mimi Nimepiga Hesabu Kwa Vifaa Hivyo Kariakoo Unavipata Kwa 1 Million Vote (Toa Microscope)
Always Kumbuka Vifaa Vinajilipa.
3. UAMINIFU, UAMINIFU, UAMINIFU.
Hapa Ndipo Mtihani Unapoanzia Maana 90% Ya Mafundi Ni Waongog Na Sio Waaminifu, Wanaiba Sana Vifa Vya Wateja Wao Na Wanatakaga Watanguliziwe Pesa Hatay Kama Kazi Imegoma, Wakishachukua Pesa Wanaanza Sound
Jitahid Usiwe Kama Hao, and Kuwa Mkweli Na Muaminifu
Mimi Ofisini Kwangu Ni 24 Hour's Muda Wa Kusubir Baada Ya g Hapo Mteja Atarudishiwa Kifaa Chake, Kama Imeshindikana Imeshindikana Tu, La Sivyo Kiwe Kinataka Spair Imeagizwa Na Mteja Akakubali Kusubir.
4. JIFUNZE UTOAJI HUDUMA NA KAULI SAHIHI
Wateja Ni Kama Mtoto Au Mpenzi Anahitaji Lugha Na Kauli Nzuri Ili Arudi Tena, Tambua Aina Za Wateja Wako Na Jua Jinsi Ya Kuongea Nao, Tengeneza Mazingira Rafiki Kwa Wateja Kufika, Mimi Kwangu Nimefanya Haya
UCHANGAMFU
KINYWAJI WAKATI MTEJA ANASUBIRI KIFAA CHAKE
USAFI WA OFISI
FOMU YA MREJESHO (Mteja Atatuambia Kuhusu Huduma Zetu)
HUDUMA YA BURE KUFUATA NA KURUDISHA KIFAA (DELIVERY)
5. JITANGAZE KIDIGITALI
Tengeneza Akaunti Katika Mitqndao Ya Kijamii
INSTA, FB NA TWITTER, WhatsApp Business Acount.
Hii Itqkusaidia Sana Kwa Maana Ulimwengu Wa Sasa Asilimia Kubwa Ya Wateja Wanapatikana Online., Kwanzoni Inakuwaga Ngumu Ila Baadae Inakaa Sawa Na Utaona Kawaida.
6. ITANUE BIASHARA YAKO.
Unaweza Kuiongezea Vitu Kama Spair Za Laptop Na Simu Kama Charger, Battery, Vioo Na Storage Device, Zinasaidia Kukuza Mtaji, Na Kuifanya Biashara Yako Kubwa.
Pia Unaweza Kufanya ON SITE IS BASED REPAIR (Unaenda Kurekebisha Kifaa Alipo Mteja) Au REMOTE SERVICE (Unamuelekeza Mteja Anatuma Kifaa, Unarekebisha Na Wewe Unamtumia)
USEFUL SITES KWA WANAOTAKA KUJIFUNZA
Youtube: SORIN REPAIR SCHOOL, LOUIS ROUSMAN NA IFIXIT
Electronics repair school
This course is essential for anyone involved in repair and maintenance of electronic systems and equipment! Let's have some fun fixing random things :)
Louis Rossmann
I teach Macbook component level logic board repair from a common sense, everyman's perspective. I try to make it seem viable, and entertaining. I also go ove...
iFixit
Want to know how to replace that cracked screen on your phone? Or maybe you want to know if the newest gadget is worth the sticker shock? Then you’ve come to...
STS Telecom
Hey everyone. I post repair related content and sometimes some off-topic stuff. If you like my videos, please consider contributing: ▶ Tip via PayPal: https:...
ElectroBOOM
Want to learn subconsciously while being entertained? Then subscribe!! Follow me on twitter: https://twitter.com/ElectroBOOMGuy and Facebook: http://www.face...
Software Za Simu:
Technical Computer Solutions
Description Welcome To Your And My Channel Technical Computer Solutions Muhammad Waqar Khan is a young addicted YouTuber who is a founder of Technical Comput...
Google.
Wanaohitaji Software Za Kuflash Na Ku Unlock Simu
CRACKED VERSION ONLY
Download Kwenye Hii Link Ya Google Drive
Kwa Wasio Wavivu Kusoma Vitabu Unaweza Kupitia Vitabu Hapo Chini
MOST PAID JOBS
1. Motherboards Repair
2. Screen Replacement
3. Data Recovery
4. Windows Instalation
5. Phone Unlocking & Flashing
Tuendeleze Mjadala
ASANTENI
SOMA HAPA CHINI DARASA LIMEANZA
Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) Introduction
Habarini Ndugu Wanajf Baada Ya Uzi Wa Wa Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1609441/ Nilipata Jumbe Nyingi Sana Kila Mtu Akihitaji Mwanga Wa Kujifunza Hii Kitu Nikaona Sio Mbaya Kama Tutaanzisha Darasa La Laptop Repair Humu At Least Vipindi Vitatu...
Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)
TUIFAHAMU BIOS MENU NA UMUHIMU WAKE KWA SOFTWARE REPAIR (PART 1 EP01) Habari Wanandugu. Ni Ijumaa ya kwanza leo ya somo letu la laptop repair, na katika part 2 hii tutaangalia SOFTWARE Issues Tu. Tujue Kidogo Nini...
Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) PART 2 EP01: Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge
PART 2 EP01 Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge. Wasalaam Wanandugu: Tumekutana Tena Katika Darasa Letu Huru La Laptop Repair, Na Part 2 Hii Tutakuwa Tunaangalia Matatizo Ya Hardware Tu. Tuanze Kwanza Na Utangulizi Wa Laptop Kwa Siku Ya Leo...