Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
10000 to 15000 hapa unakutana na vikorokoro vingi sana.Ndio shingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10000 to 15000 hapa unakutana na vikorokoro vingi sana.Ndio shingapi?
Vipi na kutuma mikoani inawezekana10000 to 15000 hapa unakutana na vikorokoro vingi sana.
Vipi ulifanikiwa kutatua hili tatizo lako?Msaada tafadhali, nimekwama kabisa kupata bootkey ya hii simu ili nitumie miracle box au gsm alladin ku unlock, ni itel it 2160 ya batani. Pia ni nilitaka nijaribu kutumia SP flash tool na spd research tool lakini nimeshindwa kupata pac file. Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali
Karibu nikufundishe.Hii ndiyo next project yangu kufungua ofisi ya kurepair simu na kompyuta.
Tafadhali naomba mawasiliano yako uwe mwalimu wangu. In short kwa sasa sijui chochote ila nina uwezo wa kujifunza haraka sababu nina commitment kwenye mambo haya.
Upo mkoa gani mkuu?Karibu nikufundishe.
Mtwara Smart nimeclick link zote hapo juu naona most of them ni za computer repair. tafadhali naomba link za video za phone repair from begginers to advanced. nimezurura u tube kutafta video za phone repair sjaona video za kueleweka.Hongera Saana mkuu kwa kuja huku, mimi nakushauri usijikite sana kwenye vitabu utapata uvivu; tumia video za youtube kwa case ya hardware utakuwa nondo sana, unaamua kuwa kipind hiki unahangaika na tatizo fulani la pc tu, kwa mfano unaweza kuanza na kujifunza kusoma schematic diagram mbalimbali.
kwa hardware mcheki huyu babu wa UK
![]()
Electronics repair school
This course is essential for anyone involved in repair and maintenance of electronic systems and equipment! Let's have some fun fixing random things :)www.youtube.com
Mkuu vipi kihusu website. Kama tayari, tujulishaneMkuu kama ulishindwa kuelewa electronics basis unahitaji msaada, tuwasiliane nikuandalie tutorial ya kiswhili(electronics science ie digital electronics,analogue electronics,digital components) mi ni mfizikia sio sio injinia ila electronics theory tumeichapa sana hivyo vitu kama semiconductor devices havinipi shida.
Mafundi wengi hawataweza kuelewa mother board kwa sababu it is purely science nao waliishia 7.
Hata hivyo nina mpango wa kuanzisha website ambapo nitatoa msaada wa hizo kitu kwa lugha nyepesi hata mtu alie ishia la 2 aelewe na aboreshe kazi yake.
Bado, inatakiwa niwe navifaa vya kutosha sitaki kubabaisha nataka iwe complete open online school katika sayansi kuanzia kinder gatten mpaka juu, sitaki kufanya ubabaishaji.Mkuu vipi kihusu website. Kama tayari, tujulishane
M5000 chai hii mkuu?Bado, inatakiwa niwe navifaa vya kutosha sitaki kubabaisha nataka iwe complete open online school katika sayansi kuanzia kinder gatten mpaka juu, sitaki kufanya ubabaishaji.
Vifaa vya maabara na na vya kufanyia trouble shooting ni ghali sana bado studio. Mfano oscilloscope ya kiwango cha kati inacheza dola 200-1000, kamera ya kurikodia tutorial dola 800+.interactive board, kuna software kama doods, Adobe ,functional generator, pulze detector, radiation detector nk nikipiga hesabu natakiwa niwe na walau m5000 ndio nifanye kitu hata mtu wa South Africa au kenya aweze kutumia site zangu.
Sijaamua bado kuifanya kuwa kazi (full time job) zaidi ya hobi.
Nadhani nita aanza na you tube tutorial japo nimekutana na pingamizi ya kupata cheap kamera ya walau laki 4 kuanzuta, kutokana na korona kikuu waliniambia huduma za kuagiza vitu zimesitishw na mimi nipo mkoani vifaa vingi havipatikani.
Nilitoa option kwa mtu asie na ujuzi na anataka kujifunza basics awasiliane nami nimuandalie local/low quality video na atahusika mwenyewe gharama ya ku up- load/ kumtumia video.
M5 soryM5000 chai hii mkuu?
Nimerekebisha, nilimaanisha milioni 5M5000 chai hii mkuu?
Hongera sana MkuuBado, inatakiwa niwe navifaa vya kutosha sitaki kubabaisha nataka iwe complete open online school katika sayansi kuanzia kinder gatten mpaka juu, sitaki kufanya ubabaishaji.
Vifaa vya maabara na na vya kufanyia trouble shooting ni ghali sana bado studio. Mfano oscilloscope ya kiwango cha kati inacheza dola 200-1000, kamera ya kurikodia tutorial dola 800+.interactive board, kuna software kama doods, Adobe ,functional generator, pulze detector, radiation detector nk nikipiga hesabu natakiwa niwe na walau m5+ ndio nifanye kitu hata mtu wa South Africa au kenya aweze kutumia site zangu.
Sijaamua bado kuifanya kuwa kazi (full time job) zaidi ya hobi.
Nadhani nita aanza na you tube tutorial japo nimekutana na pingamizi ya kupata cheap kamera ya walau laki 4 kuanzuta, kutokana na korona kikuu waliniambia huduma za kuagiza vitu zimesitishw na mimi nipo mkoani vifaa vingi havipatikani.
Nilitoa option kwa mtu asie na ujuzi na anataka kujifunza basics awasiliane nami nimuandalie local/low quality video na atahusika mwenyewe gharama ya ku up- load/ kumtumia video.
No practically ila theoretically yes. SijawahiH fanya experment zozote tangu ni.alize chuo kwa sababu ya changamoto ya vifaa na nafanya kazi tofauti na hayo mambo.Hongera sana Mkuu
Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station
Hongera sana Mkuu
Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station
Ili uweze ku design/ kufanya project ya radio receiver & transmiter ina bidi ujifunze/ uzijue component kama inductor,transistor,filter, opam, capacitor, diode, resiator transformer,ic components pamoja na baadhi ya digital components.Hongera sana Mkuu
Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station