Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

Hatimae nimefungua huu uzi kwa mara nyingne.....nyuzi kama hizi ndo huwa zinanifanya nidate pale napoikosa Jamii forum hewani.
 
Vipi ulifanikiwa kutatua hili tatizo lako?
 
Huenda UKAHITAJI HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Hii ndiyo next project yangu kufungua ofisi ya kurepair simu na kompyuta.

Tafadhali naomba mawasiliano yako uwe mwalimu wangu. In short kwa sasa sijui chochote ila nina uwezo wa kujifunza haraka sababu nina commitment kwenye mambo haya.
Karibu nikufundishe.
 
Mtwara Smart nimeclick link zote hapo juu naona most of them ni za computer repair. tafadhali naomba link za video za phone repair from begginers to advanced. nimezurura u tube kutafta video za phone repair sjaona video za kueleweka.
 
Wakuu ni wapi naweza pata vifaa vya marekebisho ya simu kama oca laminating mashine, microscope kwa Kariakoo.
 
Mkuu vipi kihusu website. Kama tayari, tujulishane
 
Mkuu vipi kihusu website. Kama tayari, tujulishane
Bado, inatakiwa niwe navifaa vya kutosha sitaki kubabaisha nataka iwe complete open online school katika sayansi kuanzia kinder gatten mpaka juu, sitaki kufanya ubabaishaji.

Vifaa vya maabara na na vya kufanyia trouble shooting ni ghali sana bado studio. Mfano oscilloscope ya kiwango cha kati inacheza dola 200-1000, kamera ya kurikodia tutorial dola 800+.interactive board, kuna software kama doods, Adobe ,functional generator, pulze detector, radiation detector nk nikipiga hesabu natakiwa niwe na walau m5+ ndio nifanye kitu hata mtu wa South Africa au kenya aweze kutumia site zangu.

Sijaamua bado kuifanya kuwa kazi (full time job) zaidi ya hobi.
Nadhani nita aanza na you tube tutorial japo nimekutana na pingamizi ya kupata cheap kamera ya walau laki 4 kuanzuta, kutokana na korona kikuu waliniambia huduma za kuagiza vitu zimesitishw na mimi nipo mkoani vifaa vingi havipatikani.

Nilitoa option kwa mtu asie na ujuzi na anataka kujifunza basics awasiliane nami nimuandalie local/low quality video na atahusika mwenyewe gharama ya ku up- load/ kumtumia video.
 
M5000 chai hii mkuu?
 
Hongera sana Mkuu

Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station
 
Hongera sana Mkuu

Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station
No practically ila theoretically yes. SijawahiH fanya experment zozote tangu ni.alize chuo kwa sababu ya changamoto ya vifaa na nafanya kazi tofauti na hayo mambo.
Nafikiri nukifanikisha vifaa ntafanya project nyingi.
Ntaleta hizo design hapa
uende kujaribu kuzifunga(simple transmiter).
Unazungumzia radio station/ mitambo ya kisasa au classical radio transmiter.
 
Hongera sana Mkuu

Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station

Hongera sana Mkuu

Naomba kujua una idea ya vifaa vya kufungua FM radio station
Ili uweze ku design/ kufanya project ya radio receiver & transmiter ina bidi ujifunze/ uzijue component kama inductor,transistor,filter, opam, capacitor, diode, resiator transformer,ic components pamoja na baadhi ya digital components.

Simple transmiter haina complication theoretically naweza kukusaidia namna inavyo fanya kazi(in circuits form) ila sijawahi kuidizaini practically kama nilivytoeleza pale juu kuwa sina vifaa vya practical.

Hata hivyo hurusiwi kurusha mawimbi bila vibali. Kama una nia na hela ununue vifaa vya kufanyia electronics projects kisha ndio upate bridge board/ circuits board halisi na components uunde halisi, utafanikiwa kwa muongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…