Shyshii
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 439
- 542
Amenitumia contact zake niziwekee humu ili mnisaidie nisije nikapigwa jamani hali yenyewe ngumu
Jamani anasema hivi kuhusu jinsi ya kuomba visa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amenitumia contact zake niziwekee humu ili mnisaidie nisije nikapigwa jamani hali yenyewe ngumu
naomba uwasiliane na izzo au lusungu kwanzaAmenitumia contact zake niziwekee humu ili mnisaidie nisije nikapigwa jamani hali yenyewe ngumu
Nahisi kuwa anataka kukutapeli kupitia hao anaowaita mawakala, kuwa makini. Wakikuomba hela njoo hapa kabla ya kuingia kichwa kichwa.View attachment 484337
Jamani anasema hivi kuhusu jinsi ya kuomba visa
[emoji573][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573] Mungu awe pamoja nawe dadayangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

ni wazo zuri ndugu ila tusiweke kuibiwa mbele,tuweke mafanikio zaidi ingawaje vinaenda sambambaNahisi kuwa anataka kukutapeli kupitia hao anaowaita mawakala, kuwa makini. Wakikuomba hela njoo hapa kabla ya kuingia kichwa kichwa.
Mwenyewe napata wasiwasi ila amesema alhamisi atanitumia mkataba wa kazini wazo zuri ndugu
Hapana vuta subra kidogo ni mapema sana. Mshenga wako mkuu ni mzee izzo na msaidizi wake ni kaka yako lusungo, sisi wazee wa baraza tutatia timu ikionekana tatizo ni sugu zaidi. Vuya subra kidogo ili uusome mchezoAmenitumia contact zake niziwekee humu ili mnisaidie nisije nikapigwa jamani hali yenyewe ngumu
Mwenyewe napata wasiwasi ila amesema alhamisi atanitumia mkataba wa kazi
pamebaki siku moja tu. usife moyo. Mungu aliye hai atajifunua kwako.Mwenyewe napata wasiwasi ila amesema alhamisi atanitumia mkataba wa kazi
Mawakala tena?, isije kuwa tumekutana na wahuni wa Nigeria!
Hiyo English sasa, kwa ushauri usitoe chochote wala kutuma chochote mkuu.View attachment 484337
Jamani anasema hivi kuhusu jinsi ya kuomba visa
Kweli vile hakipo sawa kabisaHiyo English sasa, kwa ushauri usitoe chochote wala kutuma chochote mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jicho la 3Hiyo English sasa, kwa ushauri usitoe chochote wala kutuma chochote mkuu.
Hivi New Zealand wanatumia dollar au?