Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Amenitumia contact zake niziwekee humu ili mnisaidie nisije nikapigwa jamani hali yenyewe ngumu
Hapana vuta subra kidogo ni mapema sana. Mshenga wako mkuu ni mzee izzo na msaidizi wake ni kaka yako lusungo, sisi wazee wa baraza tutatia timu ikionekana tatizo ni sugu zaidi. Vuya subra kidogo ili uusome mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…