SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 827
- 1,707
Ntashukuru na mie ukiniunganisha mkuu.Naomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yako
Barikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntashukuru na mie ukiniunganisha mkuu.Naomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yako
Barikiwa.
Upo sahihi mkuu.Ujinga ni kuishi kinadharia anaetoa gharama za maisha na kuonyesha ugumu wa mtu kukabili izo garama kwa pound 250/week ni mpumbavu na anapaswa kupuuzwa.
Cha muhimu kushinda yote ni uwe na uwezo wa kuwasiliana hapa namaanisha angalau ujue English.
Yeyote mwenye nauli please tafuta host nimechek mf . USA kuna hostels maeneo mbali mbali na bei zao kwa mwezi ni kuanzia dola 500+ then chakula unajitegemea.
Sijui nisemeje ila kwa ufupi huwezi kufanikiwa kimiujiza lazima ujitoe, tafuteni nauli kupata host is not a big deal naweza kuwatafutia host kwenye mtandao watu watakaohitaji kwenda Korea kusini na japani. Hivi vitu vinawezekana jiamini hii Dunia ni yetu sote
Me mwenyewe naskia unaendesha gari la shemeji yakoNasikia hii thread ni ya kitapeli
South Korea kuna jamaa anasoma Seoul university anapasifia saana anasema earning per day ni kama 48000 won ambayo ni kama 95elf ya kibongo. Sema unatakiwa ufanye kazi kweli kweli.Naongelea uingereza nimekupa data, njooni mujaribu, Korea ya kusini nina mashaka.wafilipino wako karibu sana na hapo Lkn wanaenda uarabuni kufanya kazi.uarabuni ni zaidi ya kilomita 6000 hapo Korea kusini si zaidi km 2000.uarabuni wafilipino wanalipwa si zaid us dollar 500 kwa mwezi kwa nn wasiende hapo karibu?
Lunoge lwekianaetaka kusepa na asepe jamani.kuna viumbe wameumbiwa kukatisha wenzao tamaa tu.i wish niwape sumu ili nifute kizazi cha watu waoga duniani shenz zao kabisa
Mbona poa tuThink twice
Mshahara pound 250 kwa wiki
Eeeh Bwana pesa kibaaao yaani laki Saba na nusu kila wiki!!!!
Kwa mwezi million 3 waooooh.
Miaka kumi millioni 30.
Hebu njoo kwenye ukweli kidogo
Kodi ya nyumba pound 50 kwa wiki
Council tax pound 20
Simu pound 5
Chakula kimasikini pound 20
Basi kwenda na kurudi kazi kwa wiki pound 20 saa nyingine huzidi
Kazini inabidi ule at least 10 pound kwa wiki
Hapo tuseme wazazi wako wanajiweza Africa hauna msaada wowote kwao.
Pia Unaweza kuwasiliana kupitia mtandao.
Uweze kupata more inabidi upate kazi masaa 80 kwa wiki au masaa 100 kwa wiki.
Ukiwa na Bahati unaweza Lkn simshauri mwenye milioni 10 atumiye kutafuta safari.bora ukaanze maisha shamba nunua ngombe,mbuzi,n.k baada ya muda utatoka fresh.kazi za agency hazina uhakika upate permanent inachukua muda
Hata Macedonia tunaenda tuuuwoga. Wako ndo umasikini wako,,,,, eti mtu anaogopa kujilipua mara oooooooho nikienda kule sitakuwa na ndugu nitaishije.... Kwani kule unaenda kuishi na wanyama au?? Ukipata fursa jilipue... Sema angalia nchi. Za kwenda yasije yakakukuta,,,,, JILIPUEEEE BHANAAA
Hey what's up!**** u
Safi sana mkuu na hongera, ila usiwahi sana kumwambia khs reward, hiyo normally ni matokeo ya hospitality yako mkuu,Mikakati bado inaendelea Jana baada ya kupata taarifa za mkuu Izzo kujitoa, roho iliniuma lakini haina jinsi as nilikuwa nategemea ntampata mtu wa kuhost kutoka kwake
Sasa usiku kucha nikaumiza kichwa yaani sikupata usingizi kabisa, asubuhi na mapema nikachana kibubu changu laki moja ya kitanzania hivi then nikabeba vyeti vyangu, vya mshua na bibi mkubwa mpaka ofisi za uhamiaji Arusha kupata passports ya kusafiria, yaani pale maswali niliyopigwa mzee acha tyu.....sasa naulizwa passport ya nini kijana mdogo kama wewe embu rudi huko.....asee nilipata moto balaaa, nikawaambia nasafar ya kwenda China kuchukua mzigo next week......Mara nkasikia mbona haujaweka leseni ya biashara yako.....dah yaan nkabembeleza pale ila nachoshukuru kuna form ya mwanzo ile nishajaza, nkapeleka kwa mwenyekiti wa mtaa, nasubir maamuzi yao.
WAKUU HABARI NZURI NI KWAMBA NIMEJIUNGA coachsurfing.com yaani Leo Leo nikampata mdada mmoja wa Canada anaitwa Maya, tuko kwenye discussion naye mwezi April au June mwanzoni anataka kuja ila ameniambia tuendelee wasiliana kwanza atanipa info sijafahamu hili ni kwanini, ila alichoniomba nimrushie picha za
1: Room (muhimu hapa nimemwambia shared bed)
2: sitting room
3: bathroom
4:Garden ( kwetu hamna ni sehem tu ya kuanika nguo na bomba la maji)
5: neighborhood ( uswahilini ila nimemwambia hill)
Yaani hapa bado tunafanya mawasiliano naye na nilikuwa namwambia vipi Mimi nikija kwako, sijui if she will think am too rush.
cc
Dr Adam
Stunner
Lukizo
Daby
Kirikou
Na wakuu wenzangu wote.......
AFU LILE DUBWASHA LILODONDOKA HAPA NAONA JANA NA LEO NLLINAJIPONGEZA SANA.
Asante kwa courage mkuu,Mkuu elewa hii ni WWIII vita ya tatu ya dunia mzee... andaa mbinu za kivita ili uweze kuishi la sivyo utakufa kwa maisha kuwa magumu; pia kila aliyethubutu amefanikiwa tofauti angebaki kama alivyokuwa... hawa ambao hawataki watu wathubutu kufanya maamuzi tuwaache maana hata ukifanya au usipofanya hata kusaidia kwa chochote kile, kwanza tumekutana humu na wengi hatufaamiani ila tunapeana mawazo, wengine wanakuja kuchafua hali ya hewa na kurudi ktk majukumu yao ili hali wengine hawana shughuli za kufanya na elimu wanayo ya kutosha, la kusikitisha zaidi wana toa michango yao pale katika threads za wenzao wao huwa hawataki kuanzisha zao ili kuwapa watu darasa jinsi gani ya kufanikiwa jinsi gani ya kuepuka madhara fulani hawa watu ni wabaya maana ni wabinafsi, wachoyo, wana mawazo mgando ya miaka ya 80s bado wana yaleta mpaka leo bila kutuonesha fundisho lilipo, sasa mtu kama huyu akija kuwa mzazi sijui nini kitatokea kwa familia yake...
Mwisho yule jamaa aliyekuwa anauliza kwenda sudan kufanya biashara... mimi namwambia twende hata somalia congo fureshi tu... maana kuna fursa nyingi sana sehemu yenye vita na hasa fursa ya vyakula kwakua wengi hawalimi na huwa kuna upungufu wa chakula; ila hapa cha kwanza ni kutembelea nchi husika hta kwa njia ya barabara kujilizisha umbali na usalama kwa biashara zako kufika na muda utakaotumia na vitu vingine vya muhimu
maana huwezi enda tu na fulushi lako la bidhaa bila kutambua soko lilipo...
Kumbuka
Hii ni WWIII uoga wako ndio umasikini wako... miluzi mingi... maamuzi ni yako, wakati ni wako, amua sasa...!
Karibu mkuuNtashukuru na mie ukiniunganisha mkuu.
Kujiripua kumesha pitwa na Wakati kwamika hii wazungu wameshastuka ukijifanya wewe ni Msomali umejilipua mzungu anakuitia msomali mwenzako mupate kuzungumza kwenye mahojiano. Kisha huyo Msomali anakutoa nishai anamwambia mzungu kuw awewe sio msomali. Hao Wa-Tanzania waliojiripua mika ya nyuma kwa kutumia Utaifa wa Kisomali katika nchi hzi hapa (USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES.) kwa hivi sasa wazungu wameshastuka huwezi tena kujiripua.Tanzania nchi yetu ni nzuri sana kama una pesa za kufanya biashara yoyote inalipa ili mradi ufanye kazi ndipo utakapo pata pesa ukiwa mvivu hutoweza kupata pesa na ukiangalia ukiwa ugenini ni sawa sawa na mtumwa wa watu weupe utatumika kwa wazungu na kila mwisho wa mwezi pesa unayoipata utaishia kulipa kodi ya kuangalia TV kodi ya Mama malkia wa uingereza kila kitu nchi za nje ni kodi hata ukitaka kwenda (Toilet) unalipa kodi aka (tax pay) utaishia kila mwisho wa mwezi huna pesa na madeni mengi yana kuandama matokeo yake, hata ukiamuwa kurudi nyumbani huna kitu.Asikwambie mtu nyumbani ni kuzuri kuna kila njia ya kuweza kupata pesa ili mradi usivunje sheria za nchi ninaishia hapo kwa leo.
Mkuu Karibu sana Ulaya uje ujionee Mwenyewe usingojee mpaka uambiwe njoo uje ubebe Maboksi na kuwa Mtumwa wa Wazungu.MziziMkavu
Uhamiaji Au kujilipua kamwe hakutwa pitwa Na wakati.Kubadilisha mazingira Au kutoka nje ya box NI faida kubwa Kwa Watu Na Jamii.
Ukienda nje ya nchi utapata Elimu Na pesa Kwa kufanya kazi.Ukirudi Tanzania utaanza kuviona vitu ambavyo Ulikuwa huvioni wala kuvifikiria.
Hizo fursa ambazo ziko Tanzania utaziona baada ya kutoka kwenye BOX.
Mgogoone mimi nimesafiri na kukaa nchi nyingi sana, sisi watanzania tuna roho mbaya sana, wenzetu waliyoko majuu ukifika kwao ukawambia kuwa wewe umetoka nchini kwao watakukaribisha na kukusaidia kupata kazi, work permit, hata ikiwezekena uraia ndio maana wao ni wengi nje ya nchi mfano wakenya, waganda, wanageria..... ila njo wabongo mpigie tu binamu yako kuwa akutumie visting card utamsikia mambo kibao; maisha magumu, usalama, kazi hamna, elimu huna, ninataka kurudi bongo hapa hapalipi. au nenda kichwa kichwa huko nakuambia ataongea na wewe kijapani wala hatakujua, ila fanikiwa uone kila siku anataka mkutane dinner.
Watanzania ni ndugu, wakarimu mdomoni sio kivitendo. nchi ambayo inaongoza kuwa na watu waliyoko nje ni bongo ila sasa tafuta stastics uone kama utazipata. tunavyoishi kinafiki nafiki hapa bongo ndio kinatokea huko nje.
Nimecheka sana ile POST yako ati ULAYA hakufai ilhali wewe ungali umeng'ang'ania huko... wengi wametoka kwa kuja Ulaya kutafuta maisha....Mkuu Karibu sana Ulaya uje ujionee Mwenyewe usingojee mpaka uambiwe njoo uje ubebe Maboksi na kuwa Mtumwa wa Wazungu.
View attachment 485814
Haha...kujaribu tena.
Ok ngoja nikaishi nione kujaribu sitaki