Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Kaveli pambana ndugu yangu pambana haswa nasisitiza .....hapa sisi tunaendelea kupambana tu hata tupate chance ya hosting.

Jamaa ukichomoka katusomee ramani.

all the best kaveli tuliza akili jaza form kwa umakini zaidi 10 days hope Ni nyingi

GO KAVELI...!


Thanks a bunch guys. Shukrani kwa dua zenu juu yangu katika hili. Naendelea kupambana ndugu zangu. Naendelea na mchakato wa Application kwa muongozo wa mkuu izzo .

Peace and love. Barikiwa sana wote.

-Kaveli-
 
Thanks a bunch guys. Shukrani kwa dua zenu juu yangu katika hili. Naendelea kupambana ndugu zangu. Naendelea na mchakato wa Application kwa muongozo wa mkuu izzo .

Peace and love. Barikiwa sana wote.

-Kaveli-
Mkuu I wholeheartedly wish you best of luck. I salute your fighting spirit keep moving
 
Kwa wanaohitaji kujengewa nyumba kwa garama poa sisi tutakusimamia kila kitu kazi ni kukukabidhi nyumba yako tembelea www.one2onefocus.com au nichek WhatsApp 0763772636 tunajenga nyumba kuanzia mil 32 material kila kitu juu yetu Fanya kazi nje ya nchi ila usisahau kujenga
 
Mkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
Sasa wew kwa nini unaiquote thread ndefu ,mbona mnakuwa namna hii jamani
 
Reactions: SDG
Kwahiyo hivyo visiwa ni visa free?
 
Kesho naenda kuchukua passport yangu, One step at a time hopefully one day we will reach there

VILLAIN Hongera sanaaaa tu Mkuu.
Nategemea Huu uzi umetufungua macho Watu wengi.Wahenga walisema "Kobe lazima atoe kichwa nje ili aishi" Sisi wengi ni Makobe tunaogopa kutoa vichwa nje bahati mbaya ndio tunakufia ndani.
 
mkuu vipi ile program yako na izzo?

Mkuu, ahsante kwa kuuliza.

Programme yetu mie na izzo inaendelea poa mpk sasa. Bado tupo kwenye mchakato wa Application. Nimeshatoa update, cheki post [HASHTAG]#2522[/HASHTAG] hapo juu.

Tuzidi kuomba Mungu mambo yaende vizuri.

-Kaveli-
 
Kodi ya pango 50
Tax 20
Simu 5
Chakula 20
Transport 20
Kazin kula 10
Umeme 10
Extra labda 50

Total 185.
250 - 185 = 65

Kwa hiyo utakuwa unasave 65 pound. Ambayo ni sawa na laki 165420 per week. Kwa mwezi una laki 6 na kitu.

Aseeeh.
Daby usisahau kuna nyumba ambazo ziko bei chini zaidi ya hapo, na mnaweza mkaishi watu wawili kwa kuchangia mahitaji,
Then kwasiku huwezi kufanya kazi moja, unaweza ukafanya kazi hata 3, na kila kazi kwa lisaa unalipwa zaidi ya 20 elf
 

mkuu naomba tuonane in case upo Dar
 
watanzania wengi walioko nje wana roho mbaya.hawasaidiani kabisaaa.sipendi kudanganya ila bora hata ujitambulishe we mkenya au mganda au mrundi utasaidiwa ila ukijitaja mbongo tu hata pa kukaa hutopata.wanaosaidiana ni nchi zingine.inauma sana.tunashndwa hata na wamalawi?daaah
 
Daby usisahau kuna nyumba ambazo ziko bei chini zaidi ya hapo, na mnaweza mkaishi watu wawili kwa kuchangia mahitaji,
Then kwasiku huwezi kufanya kazi moja, unaweza ukafanya kazi hata 3, na kila kazi kwa lisaa unalipwa zaidi ya 20 elf
Hizo gharama alizoweka hapo ni kubwa mno....
 
Haha kweli mkuu... Si unaona hapa mtu anamkarisha tamaa mwenzie ooh Huku hivi na vile hapohapo yeye bado yupo huko....

Ni kweli usemayo si rahisi mbongo akukaribishe kwake huko Ulaya hapo atakukwepa sana....
 

Mutasha Hongera Mkuu.
Kabla hujaenda nchi husika Tafadhali GOOGLE
Kuhusu hiyo nchi.Visa NI kiasi gani? Je ziko hostel Au wanaziita (backpakers) ambazo NI rahisi mnakuwa Watu watano Au zaidi bei NI ndogo Au unaweza ukalipia kulala Na chakula Kwa kufanya kazi Ktk hiyo hostel.
Ukifika nchi husika swali la kwanza Toka kwa Askari wa uhamiaji "Nini Madhumuni yako kuja hapa" kumbuka ume kwisha i Google hiyo nchi
Mfano utalii Au historia ya mtu maarufu .
Muhimu uwe umebook hotel Au hostel.
Usiseme unakiasi gani cha pesa Lakini lazima uwe na$$$$$ Na kama unayo kadi ya bank ambayo unaweza kutoa pesa Ktk hiyo nchi husika itakusaidia.
 
Km Mwenyezi Mungu atapenda Kivyovyote vile mie lazima nisepe tu, ikiwezekana hata kwa miguu kikubwa uzima in shall ah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…