Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

wanaotaka kuzamia sauz,karibuni capetown.mje na hela ya kuchangia geto kama laki moja na nusu kwa miez mitatu,hela ya kula kama laki na nusu pia.msibebe cash.weka ktk tembocard kama laki tano.utakaa poa kwa miez mitatu.mimi nitawasaidia kuwapa watu wa kujichanga nao.msosi ni ugali na chicken shushia na kingsley cola baridiii.nadhan ndan ya miez mitatu utakua umeshakua mwenyeji.msiogope kitu.kwa maswali naomba uliza hapa not pm.
 
msiogope wala msikatishwe tamaa na wanga waliojaa humu ndani.kama una nia thabit njoo utafute maisha kwenye nchi za watu utatoka.mimi mtoto wa kike nilianza kwa trump kisha ndio nikadondoka sauz.huwez amini nimeosha kuanzia magari mpaka maiti.hakuna kazi nilioacha ikanipita kama inaingiza hela.tokeni bongo.hakuna ishu zaidi ya kupiga mizinga na kungojea ugali wa shkamoo.muda si mrefu nitahama nchi ila napenda niwasaidie wataopenda kabla sijaondoka.tokeni bongo mfunguke akili.
 
Hongera sana.!
 
Good segito.

Unaelekea wapi kwasasa
 
Nakuaminia Segito... Nafurahi sana ninavyokuona kule kwenye nyuzi mbalimbali unavyosaidia watu.... Ubarikiwe....
 
Axnte xana mkuu,tunataka watu wnye moyo kama wewe ili kusaidiana,na mtu unamweleza ukwel nin kinahitajka kushare kabla hajaanza xafar!!

Jaman wale wanaota ndoto za kwa madiba fursa nyngne imefunguka.

Much respect to you
 
[emoji121]
WAKUU,

SAMAHANI KIDOGO,
WALA SI KWA NIA MBAYA ILA NI VEMA KUULIZA.

HIKI KIPENGELE CHA KUPEANA WATU WA KUCHANGIA GHETTO HICHO "HAPIGWI" MTU HAPO HADI AKARUDI BONGO KWA MIGUU KUPITIA BODA YA MSUMBIJI,
AKATOKEA MTAMBASWALA MTWARA??

NAULIZA TU WAKUU KUHUSU MIRADI YA UDUFUAJI HAPO!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Mkuu hata mimi nalikuwa naiwazia sana hii nchi japo siijui vyema British virgins island pesa yake inathamani gani?
Pia swala la ajira likoje nchini?
Tangu uzi huu umeanza sijaona mdau yoyote akiizungumzia kabisa.
 
Reactions: Qj_
Ubarike sana.

Vp ukitaka kuanzisha biashara ya barber shop sehemu iliyochangamka kibiashara.

Unatakiwa na capital kiasi gani.

Barikiwa sana.

- Chindo -
 
Reactions: Qj_
="segito wa kalenga, post: 20340494, member: 243378"]msiogope wala msikatishwe tamaa na wanga waliojaa humu ndani.kama una nia thabit njoo utafute maisha kwenye nchi za watu utatoka.mimi mtoto wa kike nilianza kwa trump kisha ndio nikadondoka sauz.huwez amini nimeosha kuanzia magari mpaka maiti.hakuna kazi nilioacha ikanipita kama inaingiza hela.tokeni bongo.hakuna ishu zaidi ya kupiga mizinga na kungojea ugali wa shkamoo.muda si mrefu nitahama nchi ila napenda niwasaidie wataopenda kabla sijaondoka.tokeni bongo mfunguke akili.[/QUOTE]
hongera malkia wa nguvu ,,maisha Ni kujaribu nani popote thumb up ,,,,
 
Mkuu hata mimi nalikuwa naiwazia sana hii nchi japo siijui vyema British virgins island pesa yake inathamani gani?
Pia swala la ajira likoje nchini?
Tangu uzi huu umeanza sijaona mdau yoyote akiizungumzia kabisa.

Dr.adams
British Virgin Islands NI visiwa vinne uko
merekani ya kati.Wanatumia US$.Uchumi wao mkubwa NI mabank Na usajili wa meli za nchi nyingi pamoja Na utalii.Passport ya Tanzania unapata visa ya siku 30 ukiwasili airport.
 
Asante saana mkuu kwa ushauri mzuri
 
Dr.adams
British Virgin Islands NI visiwa vinne uko
merekani ya kati.Wanatumia US$.Uchumi wao mkubwa NI mabank Na usajili wa meli za nchi nyingi pamoja Na utalii.Passport ya Tanzania unapata visa ya siku 30 ukiwasili airport.
Mkuu huko ndo pakwenda kabisa.
Pamenishawishi sana Daby vipi twende huko ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…