Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Mkuu lakini kutoboa german si ni mbide tofauti na yule yupo dernmark.Niwaambie kitu Ujerumani wanajitahidi sana kuwa karibu na makoloni yao yale waliopokonywa na UN baada ya Vita kuu ya kwanza, ambayo ni German
East Africa(Tanganyika, Rwanda na B Urundi) , Kameroon na Togo.
Wenzetu waliinyaka kitambo sisi tu Wabongo tulizembea.
Korea ya kusini ni pazuri sana ila kuna kitu kimoja kinatufanya watu wengi tushindwe ni lugha nchi nying zilizoendelea lugha ya kingereza si lugha ambayo inamfanya mtu afanikiwe kimaendeleo au kijamiiOooh, vizuri! Vp kuhusu Korea ya kusini
Mkuu lakini kutoboa german si ni mbide tofauti na yule yupo dernmark.
Wewe kweli umeona kwa jicho eagle ambalo wengi hawana access ya kuona hvyo mjerumani akijua umetoka Tanganyika usisema Tanzania sema Tanganyika yani hapo utakuwa rafiki yake na atakusumbua sana mje wote TANZANIA trust me hakuna nchi ambayo mjerumani anaipenda kwa africa kama Tanzania sema serikali yetu imejishwa kujitambua au kuelewa na kutumia nafasi hyoNiwaambie kitu Ujerumani wanajitahidi sana kuwa karibu na makoloni yao yale waliopokonywa na UN baada ya Vita kuu ya kwanza, ambayo ni German East Africa(Tanganyika, Rwanda na B Urundi) , Kameroon na Togo.
Wenzetu waliinyaka kitambo sisi tu Wabongo tulizembea.
Ni kweli mkuu ila mleta Uzi alitaka inchi ya kujilipua..maana YAKE apate na uraia..sasa ni VIZURI ukapata uraia ktk inchi ambazo zina haki za binadamu...hata mkimbizi unathaminiwa mkuu...ndy maana nikamwambiya watu hawajilipui kule...kuna baadhi ya inchi hata za ulaya hupewi stahiki zako kama mkimbizi...na kutoa uraia pia ni ngumu mno..mfano GREECE...Bulgaria..Romania.nk zipo ulaya lakini huwezi pata stahiki kama BELGIUM.. Swiss.. Austria..nk..inchi hizo miaka miwili TU ushapewa makaratasi ya uraia..mm nimekaa ATHENS ..GREECE miaka minne na aijapewa hata kibali cha UKIMBIZI..nikiona police nataka kuvunja miguu kwa mbio...nilipoona hovyo nilijirudia Tanzania..ilikuwa 2011Mwandende,Vietnam wanatengeza viatu bora sana pale ukienda ni kiwanja sana yupo Mtanzania pale kazi yake ni kupeleka viatu China na msomari wanafanya vizuri sana hapo Cambodia ndio wanaongoza kutengeneza Saa hizi bora za Matumizi kwa Ulaya viwanda vingi vya Mataifa ya Nje Wakenya ndio wamepata mapema taarifa za Hizo Nchi wana ndege inaenda straight Vietnam kwa mtu mwenye mtaji wa kuanza maisha huko ni bora uende nchi za Asia huko kuliko Ulaya hakuna vitu sana...
Mkuu ULAYA ni kwl kutamu..ila wapo watu wana miaka ZAIDI KUMI kule..hawajarudi bongo kwa aibu...hajuwi atasema nn huku...maana miaka yote hiyo hajafanya cha.Maana huku kwao..hata bicycle pia hajatuma...mwishoe anaamua kuwa TEJA..now ulaya imekuwa ngumu mkuu...watu weusi na weupe tumekuwa idadi sawa..ULAYA KUTAMU 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 hii nchi tutakaobaki ni wachache maana nipo hapa na mzee mmoja miaka takriban 50 na ushee nimemdokezea mikakati yangu ya kulowea majuu nae eti anasema yupo ladhi aitelekeze familia yake nae akajilipue majuu nimecheka kweli kumbe upepo wa JPM si wa kitoto eee.
Katika wazungu ambao wanapenda blacks ni Scandinavians...hawabagui tofauti na Germany.. Greece..nkKumbe mkuu uwaga wanasema et wanaroho za ajabu ajabu
Kweli mkuuUlaya kutamu ukienda bado ukiwa kijana kama 22-24 hivi na huna majukumu mengi.
Ukitulia unapiga kazi miaka 10 maximum na mambo yote yanakuwa mswano.
Mzizi mkavu anafanya ishu gani? Fafanua nahitaji hudumaMkuu hata posta kuna watu wanashughulika na hii kitu... Ukimpatia pesa anakufanyia yote...
MziziMkavu pia hufanya hizo mishe
Ni kweli mkuu ila mleta Uzi alitaka inchi ya kujilipua..maana YAKE apate na uraia..sasa ni VIZURI ukapata uraia ktk inchi ambazo zina haki za binadamu...hata mkimbizi unathaminiwa mkuu...ndy maana nikamwambiya watu hawajilipui kule...kuna baadhi ya inchi hata za ulaya hupewi stahiki zako kama mkimbizi...na kutoa uraia pia ni ngumu mno..mfano GREECE...Bulgaria..Romania.nk zipo ulaya lakini huwezi pata stahiki kama BELGIUM.. Swiss.. Austria..nk..inchi hizo miaka miwili TU ushapewa makaratasi ya uraia..mm nimekaa ATHENS ..GREECE miaka minne na aijapewa hata kibali cha UKIMBIZI..nikiona police nataka kuvunja miguu kwa mbio...nilipoona hovyo nilijirudia Tanzania..ilikuwa 2011
Hii issue ya kafara iko India mkuuBut nasikia kuna baadhi ya nchi waafrika wanafanywa makafara? Hii imekaaje?
Mkuu MziziMkavu alikua akifanya ishu za kuwapeleka watu ulaya kwa malipo fulani... Unafika huko wanafanya arrangement ya mwaliko mpaka residence permit....Mzizi mkavu anafanya ishu gani? Fafanua nahitaji huduma
STUNTER
Sawa ngoja nimchekiMkuu MziziMkavu alikua akifanya ishu za kuwapeleka watu ulaya kwa malipo fulani... Unafika huko wanafanya arrangement ya mwaliko mpaka residence permit....
Wasiliana nae kama bado wanafanya hizo mambo....
Frank mbiseLusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.
Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.
Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.
Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).
Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.
Thanks.