Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Niwaambie kitu Ujerumani wanajitahidi sana kuwa karibu na makoloni yao yale waliopokonywa na UN baada ya Vita kuu ya kwanza, ambayo ni German East Africa(Tanganyika, Rwanda na B Urundi) , Kameroon na Togo.
Wenzetu waliinyaka kitambo sisi tu Wabongo tulizembea.
 
Niwaambie kitu Ujerumani wanajitahidi sana kuwa karibu na makoloni yao yale waliopokonywa na UN baada ya Vita kuu ya kwanza, ambayo ni German
East Africa(Tanganyika, Rwanda na B Urundi
) , Kameroon na Togo.
Wenzetu waliinyaka kitambo sisi tu Wabongo tulizembea.
Mkuu lakini kutoboa german si ni mbide tofauti na yule yupo dernmark.
 
Mkuu lakini kutoboa german si ni mbide tofauti na yule yupo dernmark.

Ukweli ni mbinde kuliko Scandinavian Countries ,Penye ugumu ndipo penye neema.

Ukipata nafasi wewe chukua ,zote ni Umoja wa Ulaya. Danmark inapakana na Ujerumani upande wa kaskasini . Yaani ipo kaskazini ya Ujerumani
.
 
Niwaambie kitu Ujerumani wanajitahidi sana kuwa karibu na makoloni yao yale waliopokonywa na UN baada ya Vita kuu ya kwanza, ambayo ni German East Africa(Tanganyika, Rwanda na B Urundi) , Kameroon na Togo.
Wenzetu waliinyaka kitambo sisi tu Wabongo tulizembea.
Wewe kweli umeona kwa jicho eagle ambalo wengi hawana access ya kuona hvyo mjerumani akijua umetoka Tanganyika usisema Tanzania sema Tanganyika yani hapo utakuwa rafiki yake na atakusumbua sana mje wote TANZANIA trust me hakuna nchi ambayo mjerumani anaipenda kwa africa kama Tanzania sema serikali yetu imejishwa kujitambua au kuelewa na kutumia nafasi hyo

Ni kuingia nao mkataba nao tu na kuwambia waje wachukue vitu au mali walizozificha then kwa makubaliano ya kutujengea miundombinu na mikoa mf mnawapa mikoa kama Dodoma,Mwanza , Arusha na morogoro wajenge na waisimamie wao kwa kuchukua mali zao walizozificha wakat wanakimbia vita vya kwanza vya dunia
 
Mwandende,Vietnam wanatengeza viatu bora sana pale ukienda ni kiwanja sana yupo Mtanzania pale kazi yake ni kupeleka viatu China na msomari wanafanya vizuri sana hapo Cambodia ndio wanaongoza kutengeneza Saa hizi bora za Matumizi kwa Ulaya viwanda vingi vya Mataifa ya Nje Wakenya ndio wamepata mapema taarifa za Hizo Nchi wana ndege inaenda straight Vietnam kwa mtu mwenye mtaji wa kuanza maisha huko ni bora uende nchi za Asia huko kuliko Ulaya hakuna vitu sana...
Ni kweli mkuu ila mleta Uzi alitaka inchi ya kujilipua..maana YAKE apate na uraia..sasa ni VIZURI ukapata uraia ktk inchi ambazo zina haki za binadamu...hata mkimbizi unathaminiwa mkuu...ndy maana nikamwambiya watu hawajilipui kule...kuna baadhi ya inchi hata za ulaya hupewi stahiki zako kama mkimbizi...na kutoa uraia pia ni ngumu mno..mfano GREECE...Bulgaria..Romania.nk zipo ulaya lakini huwezi pata stahiki kama BELGIUM.. Swiss.. Austria..nk..inchi hizo miaka miwili TU ushapewa makaratasi ya uraia..mm nimekaa ATHENS ..GREECE miaka minne na aijapewa hata kibali cha UKIMBIZI..nikiona police nataka kuvunja miguu kwa mbio...nilipoona hovyo nilijirudia Tanzania..ilikuwa 2011
 
ULAYA KUTAMU 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 hii nchi tutakaobaki ni wachache maana nipo hapa na mzee mmoja miaka takriban 50 na ushee nimemdokezea mikakati yangu ya kulowea majuu nae eti anasema yupo ladhi aitelekeze familia yake nae akajilipue majuu nimecheka kweli kumbe upepo wa JPM si wa kitoto eee.
Mkuu ULAYA ni kwl kutamu..ila wapo watu wana miaka ZAIDI KUMI kule..hawajarudi bongo kwa aibu...hajuwi atasema nn huku...maana miaka yote hiyo hajafanya cha.Maana huku kwao..hata bicycle pia hajatuma...mwishoe anaamua kuwa TEJA..now ulaya imekuwa ngumu mkuu...watu weusi na weupe tumekuwa idadi sawa..
 
Ni kweli mkuu ila mleta Uzi alitaka inchi ya kujilipua..maana YAKE apate na uraia..sasa ni VIZURI ukapata uraia ktk inchi ambazo zina haki za binadamu...hata mkimbizi unathaminiwa mkuu...ndy maana nikamwambiya watu hawajilipui kule...kuna baadhi ya inchi hata za ulaya hupewi stahiki zako kama mkimbizi...na kutoa uraia pia ni ngumu mno..mfano GREECE...Bulgaria..Romania.nk zipo ulaya lakini huwezi pata stahiki kama BELGIUM.. Swiss.. Austria..nk..inchi hizo miaka miwili TU ushapewa makaratasi ya uraia..mm nimekaa ATHENS ..GREECE miaka minne na aijapewa hata kibali cha UKIMBIZI..nikiona police nataka kuvunja miguu kwa mbio...nilipoona hovyo nilijirudia Tanzania..ilikuwa 2011

Halafu German ni super power Nchi za Umoja wa Ulaya. Yeye ndiye aliyebeba mzigo wote wa Euro Curency,
maana wakati hii Euro inaanza fedha yake ndiyo ilikuwa na thamani sana.
 
Mkuu MziziMkavu alikua akifanya ishu za kuwapeleka watu ulaya kwa malipo fulani... Unafika huko wanafanya arrangement ya mwaliko mpaka residence permit....

Wasiliana nae kama bado wanafanya hizo mambo....
Sawa ngoja nimcheki
 
Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu.
Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal, Ivory Coast, Mali, Ghana, Ethiopia, .........
Nimezunguka migodi ya nchi hizi nyingi nimekutana na watanzania wengi na wanafanya kazi nzuri na wanalipwa vizuri kwa average ya USD7000 kwa mwezi ambayo ni sawa na 15M ya Tanzania.

Tukiwa na Watanzania 100 wanaliingizia pato Taifa ya USD700,000 kwa mwezi pesa za kigeni
Tukiwa na Watanania 1000 wataingiza USD 7,000,000.
Tukiwa na Watanzania 10,000 wataingiza USD 70M which is possible for now tuache woga
Kuna mtu nilimuita kuna nafasi ya kazi nilipokuwa mgodi mmoja wa Lumwana kule Zambia wakati ule yeye alikuwa anafanya kazi pale TBS akaniambia hawezi kuiacha familia wakati ule dili za mikutano zilikuwa ziko chart mala leo wako movenpick, kesho Kunduchi beach full usanii lakini nilimwambia usitumainie kazi za dili hakunisikia leo hii yuko chali.

Tulenge kufikisha maexpat 100,000 ambao wataletea Taifa fedha za kigeni 700M USD kwa mwezi ambayo ni sawa na 1.5Tillion Tanzanian shs. sidhani kama kuna zao lolote tunao export lenye kuleta hizi pesa kwa mwezi. If we have failed to export products let us export human skills/resources please. mpaka sasa nimeweza kuwaconnect watu 12 kufanya kazi hizi na wengine mpaka sasa wananizidi hata mshahara but I am proud of this, I want Tanzanian to flood Africa as expats in the mining industry, doctors, IT and accounting. Tusibaki kupigana vikumbo Vodacom, TIGO, Airtel, TRA, Bandarini, huko dili hakuna na zilikuwa siyo halali tutachukia watawala bure. Stand up and get out there.

Huku unafanya kazi week 6 site na week 2 uko home unaendeleza miradi yako na ukiwa site hutumii hata shilingi yako vitu vyote unakuwaprovided mshahara unaukuta nyumbani Tanzania kwenye A/C unakusubiri (very clean money, hakuna kutega dili).

Mimi nilipata kazi kwa ku-apply online application kwa mara ya kwanza AngloGold Ashanti na kutokana na uzoefu niliokuwa nimepata hapo TZ wakanikubali and now I am changing from one company to another, country to country within Africa, sitaki kwenda ulaya au America, huko nitakuwa mtumwa. I like my Africa.
Google makampuni then apply na usiamini au usisubiri kutafutiwa apply ukiamini utapata ila ikitokea amejitokeza mdau kukusaidia it is very fine.

Thanks.
Frank mbise
 
Back
Top Bottom