Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
[emoji121]
BILA SHAKA WEWE NI [HASHTAG]#BRITANICA[/HASHTAG] UMEKUJA KIVINGINE KWA JINA LA #Eng_Mose.

MCHAWI WA TRIP ZETU ZA UGHAIBUNI WEWE!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
mkaushie jombaa... yeye ana jiunga leo ana kuja kukosoa kesho...
[emoji121]
BILA SHAKA WEWE NI [HASHTAG]#BRITANICA[/HASHTAG] UMEKUJA KIVINGINE KWA JINA LA #Eng_Mose.

MCHAWI WA TRIP ZETU ZA UGHAIBUNI WEWE!
[emoji121] [emoji121] [emoji121][/QUOTE
 
Haha.. hili wazo nililitoa zamani mkuu watu wakakataa. Tunawaza namna moja sijui kisa wote wamasai (joking)
Naimani daby, lusungo,stunter, kaveli, shyshii, dr. Adam, segito wa kalenga, mgogoone n. k tulianza mwanzo vizuri tukielekezana mbinu na changamoto za kujilipua. Wenye husda walikuja na kusababisha movement kuwa na mwendo mdogo. Tuna kila sababu ya kumshukuru izzo na lusungo kwa walivyokuwa wameamua kujitoa. Hili la kuwa na whatsapp group ni lizuri sasa tungekubaliana nani alianzishe na vipi viwe vigezo vya mtu kuungwa. Kwa kuanza napendekeza waanzilishi wa kundi wawe daby, lusungo, stunter
 
Kwenye msafara Wa mamba na kenge wamo, tutawajua kwa matendo/maneno yao tafadhali tusonge mbele mkuu lusungo, daby na stunter tunasibiri maelekezo toka kwenu. Lusungo ongea na Izzo arudishe moyo wa kutusaidia.
 
Hi nzuri na iko open
Tatizo ni kuombwa hela Scammers wengi, unaweza kuliwa
Ila asante sana kaka umetupa mwangaza
Nimejaribu kuchimba zaidi ila sijajua kama itawezekana kuwapata wahitaji wawanaohitaji watu bila kulipia. Njia yenyewe ni kuangalia host halafu angalia kwenye comment za watu walishafika kwenye hizo familia. Baada ya hapo jaribu kuangalia ambaye ameandika jina lake kamili. Ukilikuta nenda kalitafute hilo jina google basi utapata na baadhi ya mawasiliano aidha facebook, twiter, linked n. k au waweza kusave picha yake halafu ukatafuta detail kupitia google image
 
Hiki kitu nimekifuatilia sana, na kipindi chote nilichokuwa kimya humu nilikuwa nafuatilia hili suala kwenye mifumo yake ikiwemo kuangalia waliotutangulia jinsi wanavyojiendesha,
 
Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
Daby Umemuelewa Eng Mose? Unakumbuka nilichokwambia?
 
Achaneni nae huyu ndio yule yule tp anaejifanya kubadili Id kila mara nakujifanya kutupinga. Naunga mkono hoja kuwa mfungue gruop la whatssap ili tupange namna ya kukutana na kujuana ili ikiwezekana hata kuwe na uongozi rasmi wa kushuhulikia taratibu hizi na hata kusaidiana kwa vyovyote inavyowezekana.
 
Wakuu naunga saana mkono hilo wazo, Tuunde group la whatsaap, liwe kwa sisi wote wenye lengo moja la kwnda nje kutafuta maisha, Hii itakuwa nzuri sana ktk kujuana vzr, kusaidiana ktk kutimiza malengo yetu. Coz humu jf hata chizi anaweza kujiunga mwnyewe na kuvuruga mipango ya wenye akili timamu kama ilivotokea hapo kwny kurasa za nyuma. imeniuma saaana mkuu wetu izzo kuvunjwa moyo kwani alikuwa tegemeo letu ktk kufanikisha malengo yetu.
 
Asante sana mpendwa
 
Asante sana mpendwa
 
Wazo lako naliunga mkono, kwa sababu bila ya kufanya hivi, itakuwa hawa walijitokeza kutusaidia kina Lusungo, Izzo na wengineo yatabaki hapa. Lakini tukiwa na group tukajiwekea utaratibu mzuri, tukaweka malengo thabiti na nia inawezekana. Kwa mwendo wa kuendelea kujadiliana hapa kuna wahuuni na wenye wivu kuja kutuaribia Uzi.
 
Kwenye msafara Wa mamba na kenge wamo, tutawajua kwa matendo/maneno yao tafadhali tusonge mbele mkuu lusungo, daby na stunter tunasibiri maelekezo toka kwenu. Lusungo ongea na Izzo arudishe moyo wa kutusaidia.

Mkuu Zogoo dk naunga mkono hoja.Lusungo katoa shamba,Izzo katoa utaalamu Na sisi wakulima tufanyie kazi hili shamba (kujilipua nje) watu wengi wamechangia Na bado wanachangia.Ukianza toka mwanzo wa huu uzi
1) tovuti za nchi zinazotoa mafunzo ya Kusoma nje bure www.topuniversities.com
2) Kwa wale wanaotaka kwenda SA dadayetu
Katoa mualiko
3) Wataalamu wa migodi kuajiriwa nje habari zake ziko humu.
4) Watu wanao taka kuhost tovuti(website) ziko
5) wanao taka kwenda Japan habari ziko
6) tovuti za nchi ambazo pasipoti ya Tanzania unaingia bila ya visa Au unapata visa ukifika hiyo nchi
7) tovuti ya kupata (green card lottery)
www.us-departmentofstate.gov.dvlottery
Na habari nyingi zingine sizikumbuki
Tuzifanyie kazi.
Tafadhali msife moyo Watu wengi watatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…