Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
BILA SHAKA WEWE NI [HASHTAG]#BRITANICA[/HASHTAG] UMEKUJA KIVINGINE KWA JINA LA #Eng_Mose.
MCHAWI WA TRIP ZETU ZA UGHAIBUNI WEWE!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]