Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu, mwaka huu nimeomba scholarship kwenda kusoma Australia, China na UK
Niombeeni nifanikiwe ,nijilipue huko, nafanya kaxi ila haina maslahi na wategemezi lukuki, bora nitokomee huko kwanza
Mkuu naomba nikutafute PM msaada juu y scholarships
 

Mkuu lomayani
Unayosema NI kweli.Ubaguzi Hata Hapa Bongo upo.Watu wengi kwenye huu uzi wamesikia sana tu Matatizo ya nje lakini wanataka wakajionee wenyewe Maana kila mtu anayo bahati yake.Tuonyeshe njia ulioyo tokea ili wengi wetu wakajionee maisha ya majuu.
 
Msikatishwe tamaa na watu wajinga,Mimi nilikuwa na hamu ya kufika USA mungu akanijalia kufika mwaka huu mwanzoni,kwa kweli ile ni duniani nyingine Huduma za Afya ni Bora, nimezunguka kuanzia New York, Indianapolis, Dallas kule ukijituma unafanikiwa kikubwa uwe na malengo,nimekutana na wakenya,wanaigeria, wamexico,wanapiga kazi balaa,tatizo wa watanzania waoga wakujaribu maisha,
 
bro tupe maelekezo muhimu Nasi tukomaeee na sio wore was tz wavivu kupiga kaz
 
Vipi kuhusu faida na changamoto za Canada ukiachilia mbali suala la baridi?
 
Jaman kuna mtu mwenye uzoefu na botswana plz akuje nimuulize maswali,,,
 
[emoji121]
MKUU,

NAMI NANGOJEA MAJIBU YA HILI SWALI.
Owk,asante kwa kuja,,nataka kujua kuhusu botswana,,mambo gan nikienda naweza fanya nikapata hela,,uingiaji wake upoje? Unahitaji visa au ni zile za kugonga tu mipakani?changamoto zake ni zipi kwa mtanzania akifika kule kwa mara ya kwanza,na kam nafanya biashara je naweza fanya biashara ipi nikapata faida,,huduma za kijamii zipoje,usafiri wa ndani upoje??plz
 
Asante brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…