Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

mmh hii ya kubaki kisa huna pasi hii??Ilikua zamani.now adays ukijifanya umepoteza pasi ubalozi wako wanaitwa unapewa warranty of removal of unauthorized persons in the country.Pili utakua detained kwa muda usiojulikana.Watakuchukua fingerprints na ndio mwisho wa ndoto zako zoooote.Kuna very big chances za kuwa blacklisted due to sintofahamu ulioisababisha.unafichaje pasi kwenye kiatu wakati ukiwa chini ya ulinzi unapekuliwa mpaka chini ya mapum*u kuitafuta pasi yako.pia watatrace ndege uliokuja nayo uliondoka na pasi ya nchi gani ???mpaka namba na tarehe iliotolewa na nchi ulozotembelea na ukidanganya tu ndio mwisho wako.Hebu tembelea ubalozi wao uone lile bango lao linalosema Canada is a great country.but careful,dont be obssesed kufika huko to the extent ya kucheat coz once caught,you will be shut out in both USA and Canada itself FOR GOOD!!!
Katika vitu ambavyo nilikuwa navifikiria ni kama maelezo uliyoyatoa mama angu hii njia kidogo inautata ndio maana nikasema kuna mawili hapo na pia bahati ya mtu.
Bora ukaingia kiuhalali maana kwa sasa mambo yanazidi kuwa taiti sana.
 
kuna watu wanafikri Canada ni Msumbiji.Yani kizembe tu unapoteza pasipoti???Just like that?? Kwanza,ukiwa unasafiri mfano on Transit na ukatakiwa kupitia nchi fulani, ndege yako ikifika hapo kwenye hiyo nchi,haugongi cha passport wala nini.Unakaguliwa wewe tu na mzigo wao wa mkononi.Hata mabegi yako yaliopo kwenye buti???mi sijui panaitwaje kwenye ndege hayakaguliwi.Unapelekwa kwenye siti sehemu tofauti kusubiri ndege yako.yani kwa vyovyote iwavyo huwezi kuchanganyika na watu waliofika kwao.muda ukifika utakuta mabegi yako kwenye ndege yako hata kama sio hiyo uliokuja nayo.sasa hapo utajificha vipi???ukifika unapoenda ndio utaulizwa pasi wakati wa kuingia ur destination.alaaa wasitufanye mazuzu sisi wakati ni watu wazima na akili zetu
 
kuna watu wanafikri Canada ni Msumbiji.Yani kizembe tu unapoteza pasipoti???Just like that?? Kwanza,ukiwa unasafiri mfano on Transit na ukatakiwa kupitia nchi fulani, ndege yako ikifika hapo kwenye hiyo nchi,haugongi cha passport wala nini.Unakaguliwa wewe tu na mzigo wao wa mkononi.Hata mabegi yako yaliopo kwenye buti???mi sijui panaitwaje kwenye ndege hayakaguliwi.Unapelekwa kwenye siti sehemu tofauti kusubiri ndege yako.yani kwa vyovyote iwavyo huwezi kuchanganyika na watu waliofika kwao.muda ukifika utakuta mabegi yako kwenye ndege yako hata kama sio hiyo uliokuja nayo.sasa hapo utajificha vipi???ukifika unapoenda ndio utaulizwa pasi wakati wa kuingia ur destination.alaaa wasitufanye mazuzu sisi wakati ni watu wazima na akili zetu
Dada segito nakuona..unafanya gud
 
Ndugu zangu Watanganyika mm nawambia nchi za Ulaya kila sehemu wamebana kuhusu wahamiaji hata zile ndoa zetu za usanii ni ngumu sana na hii inatokana na kuwa Raia wenyewe hawataki wageni tofauti na zamani ambavyo serikali ndio ilikuwa inakataa wageni wa magendo sasa inapofikia raia wenyewe hawataki wageni linakuwa ni tatizo kwa raia ndio wakukuficha dhidi ya serikali


Nakumbuka mwaka jana nilikuwa airport nchi flani nikakutana na mtu mmoja tukawa tunapiga story za hapa na pale si unajua wasafiri wakati tunapiga story kwenye TV wakawa wanaonyesha wahamiaji wale wa kutoka Libya kwenda Italy jamaa akanambia dah wanahatarisha maisha sana waafrica nikawambia na mm ni mwafrica kwani watu weusi wengi wa Ulaya au US ktendo cha kuitwa wanaasili ya Africa kwao wanaona kama ni kashifa wanataka waitwe blacks tu wanataka watambulike kwa race si Asili kitu ambacho kinatufanya watu weusi tuonekane tunamatatizo makubwa sana ya akili na ufahamu nimetembea sana nimekutana na watu wengi sana Ukmkuta mchina hata kama China hajawai fika anapenda kwanza atambulike kwa Asili yake kwanza watu wote weupe wanapenda kutambulika na Asili zao kwanza mm nawapenda sana wazanzibar wanajitambulisha kwa Asili zao mfano popote alipo mzanzibar anapenda atambulike kama Mzanzibar japo duniani hakuna nchi inayoitwa Zanzibar kuna Tanzania

Sasa katika mazungumzo yetu na yule dada tulitekutana nae Airport akanambia mm nimetokea Malta ni mfanyakazi wa serikalini akanionyesha passport yake ilikuwa ni Diplomatic pass kwa wenzetu weupe kupata Dip pass si kitu rahisi kama kwetu tu so akanambia kuhusu Malta kwamba wao ndio wenye Sheria rahisi sana kuliko nchi zote za ulaya na ukikaa Malta mwaka mmoja ukiomba uraia si RP wanakupa hasa kwa nchi zilizotawaliwa na waingereza nikashangaa sana akanambia hii ndio njia nyepesi ya Kuingia Ulaya na pia ndani ya kisiwa cha Malta wanataka sana wafanyakazi kutoka nchi zilizokuwa koloni la Uingereza nchi ina watu wachache sana so nguvu kazi ni ndogo sana Malta ina watu laki 4 na nusu tu sasa wanaitaji sana watu sasa njia hii ambayo watu wengi hawaijui kwani ni siri na watu wakijua wataingia kwa wingi na madhumuni yao yatakuwa ni kuingia ulaya baada ya kupata uraia na hii itapelekea Umoja wa Ulaya watawazingua so tukapiga story nying tu


Siku zote wanasema aiwezekani kwenda jela bila ya kupitia mahabusu kwanza mahabusu ni kama katikati ya Uraiani na jela so watu wengi wanataka kwenda Ulaya lakini Mm ningependekeza kabla ya kwenda Ulaya ni vizuri ukapitia nchi yeyote wanayoishi watu wa jamii ya Ulaya ili kupata uzoefu wa kuishi Ulaya moja wapo ni Malta

Faida ya Malta kwanza wanaongea kingereza na Lugha yao jeshini hawaamini ktk namba 3 Uraiani namba 3 ni kama namba ya kuruhusu kufanyika kwa kitu na namba tatu imekuwa namba kipenzi kwa Raia lakini namba tatu ni adui kwa watu au vyombo vya usalama na ulinzi kwa nini nimetumia mfano wa namba tatu kwanza ni ngumu sana kwa Ulaya kupata kazi bila kujua Lugha vizuri ya mwenyeji wenzetu kingereza ukijua au kuto kujua hakiwezi kukuletea mafanikio au kukupunguzia kitu kuanzia maendeleo au kijamii


Sasa unapokwenda nchi ambazo hawaongei kingereza inakuwa ni ngumu sana kumbuka nchi zote zinazoongea kingereza zina sheria kali ya uhamiaji kwa vile wahamiaji wamejaa kwani robo tatu ya dunia wanajifunza au kuongea kingereza na target yao ni kwenda nchi zinazoongea kingereza mfano UK,US ,Canada,Australia ,NZ ni nchi ambazo zimejaa wahamiaji na kufanya hata ajira kuwa ni ngumu sana kwa watu wanaokwenda huko


Tanganyika wanaojua kingereza vizuri ni wachache sana so unataji kwenda kwenye nchi inayoongea kingereza kwanza ukijue vizuri then ndio unahamia nchi ambayo hawaongei kingereza ndio maana nikasema Malta kwni kutafasiri Lugha kwa njia tatu ni Tatizo kwani ukienda Ujerumani kwanza utakitoa kijerumani kukiwekwa kwa kiswahili then ukipeleke kingereza kwanza utajikuta unapoteza maana ya neno husika kwanza ni vyepesi sana kutafasiri Lugha yeyote kutoka kwenye kingereza lakini ukishazidisha Lugha ya tatu ni Tatizo Ukiwa Malta mwaka mmoja utakijua kingereza na kiswahili kitaondoka kwa vile hakuna mtu wa kuongea nae so kingereza ndio kitachukua nafasi ya Kiswahili ktk ubongo wako so kutoa kingereza kwenda Lugha unayotaka ni vyepesi tu kwanza pale Malta wanafundisha Lugha za mataifa mengine so unaweza kuanza kusoma hapo hapo kabla ujaenda kwenye nchi husika


Kwa nini nimechagua Jeshi kwanza ndio njia nyepesi ya kupata uraia nchi nying kupata uraia ni lazima ufanye mtihani ambao unatakiwa upate 70% kwenda juu wengi wanafeli sana mtihani huu lakini ukipitia Jeshini hufanyi mtihani huu ww unapata tu uraia kama ukitaka pia jeshini kwa huku Unasoma chochote gharama ni za jeshi kumbuka wazungu hawaamini Elimu ya Africa so kama umesoma shahada yako utaongezea masters kama ujasoma utatafuta cha kusoma kwani mkataba ni miaka mitano mitano

Nchi nying sana za dunia ya kwanza wanachukua Raia kutoka nchi nyingne lazima uwe ni mkazi halali wa nchi hyo yani upate RP kitu ambacho ni kigumu sana kwa wahamiaji wa kutoka nchi masikini vigezo ni vigumu sana lakini kwa raia wa Ulaya na US wanayo haki ya kufanya kazi au kuishi ndani ya nchi yeyote ya Ulaya au US au Canada na Austaralia
hv mnajua Russia wanatoa uraia kwa mtu yeyote anayetaka kuingia jeshini tena kutoka sehemu yeyote duniani? Russia unapata uraia kwanza ndio unaingia jeshini

Pia faida ya Jeshi kwanza unalipwa mshahara so maisha yako yatayatakuwa ni mazuri pia unapata elimu bure pia jeshi ndio taasisi inayoheshimika dunian so kama utamaliza trust me huwezi maliza mtaa kabla ujapata kazi tena kwa fani uliyoisomea kwa sababu ukipita jeshini vyeti vyako vitaonyesha so mzungu akiona ulikuwa jeshini dah unajua wenzetu wana uzalendo sana so utapata kazi na watakuheshimu sana kazini

Yapo mengi ya kuonge bt mwenye swali ushauri au kuhusu nchi yeyote lakini si Africa coz sina uzoefu na nchi za Africa

Note Katika Wajerumani kumi ukimwambia ww umetoka Tanganyika nane watataka wawe rafiki yako wajerumani wanawapenda sana watanganyika ( Tanzania) Sema serikali yetu imeshindwa kutumia fulsa hii lakini kama watakaa chini na wajerumani wakongea vizuri wanaweza kutusaidia sana kuanzia kimasomo kwa vijana wetu kwenda kusoma huko kuliko hata mwingereza mwingereza hana mapenzi na sisi sana kwani anaona sisi si kama koloni lake kivile yeye anamapenzi na Kenya

Kingine ninachowashauri ndugu zangu kama unakuja huku na kufanikiwa kosa kubwa wanalofanya watu kutoka Africa ni kuoa au kuolewa na watu wa huku ni kosa la kiufundi sana kufanya hvyo hii imepelekea watu wengi kukaa miaka mingi bila ya kwenda Africa kwani ni ukweli usiofichika wazungu ni wabinafsi yani swala la ndugu au jamaa kama sisi kwao hakuna so unajikuta unaiga tabia hyo na kujikuta unashindwa kuwekeza kwenu au kuwasaidia ndugu zako wa Africa

Pia hata watoto mtakao wapata nataka kusema ukweli na nimefanya utafiti juu ya hili kuwa watoto ambao mtu mweusi anazaa kwa kuchangaya damu na watu wa jamii nyingine wanakuwa na roho mbaya sana dhidi ya jamii ya watu weusi wanatamani kuonekana wazungu lakini jamii ya wazungu inawakataa wanajikuta njia panda so wanakuja kwa jamii ya watu weusi lakini wanakuwa na chuki kubwa sana kwa watu weusi lawama zao ni kwa mzazi mweusi kuwa bila ya ww mm nisinge tengwa au kutukanwa so watoto hawa kujua au kusaidia ndugu zao waliopo Africa ni ngumu sana ww fanya uchunguzi tu kwani wanajiona wao si waafrica wanajiona ni wazungu lakini jamii ya wazungu inawakataa

Lakini ukioa mtanzania mwenzio kwani hapo lazima kuja nyumbani Africa mtakuja na kitendo cha nyinyi kuja kinawafanya na watoto wenu wajue umuhimu wa ndugu zenu na kuwasaidia kwani kunakuwa na connection kati ya nyinyi na ndugu na watoto kupitia nyinyi

NO PM (chumbani ) kwani siku zote mazungumzo yanafanyikia Sitting room au sehemu ya wazi chumbani(PM) yanafanyika mazungumzo ya wapenzi tu


Dumelang jme Tembo2 impongo kui Tombstone Piledrive Prishaz wembeee pius1021 cognition


Mrike mwandende impelle Chakochangu Agogo Jr

Richard chotera lusungo Sky Eclat Mfikilwa
Hon Nkundwe 365 bigmind MANCNOO
Mm nataka kujua nauli ya kutoka bongo hadi malta
 
Back
Top Bottom