Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Katika vitu ambavyo nilikuwa navifikiria ni kama maelezo uliyoyatoa mama angu hii njia kidogo inautata ndio maana nikasema kuna mawili hapo na pia bahati ya mtu.
Bora ukaingia kiuhalali maana kwa sasa mambo yanazidi kuwa taiti sana.
 
kuna watu wanafikri Canada ni Msumbiji.Yani kizembe tu unapoteza pasipoti???Just like that?? Kwanza,ukiwa unasafiri mfano on Transit na ukatakiwa kupitia nchi fulani, ndege yako ikifika hapo kwenye hiyo nchi,haugongi cha passport wala nini.Unakaguliwa wewe tu na mzigo wao wa mkononi.Hata mabegi yako yaliopo kwenye buti???mi sijui panaitwaje kwenye ndege hayakaguliwi.Unapelekwa kwenye siti sehemu tofauti kusubiri ndege yako.yani kwa vyovyote iwavyo huwezi kuchanganyika na watu waliofika kwao.muda ukifika utakuta mabegi yako kwenye ndege yako hata kama sio hiyo uliokuja nayo.sasa hapo utajificha vipi???ukifika unapoenda ndio utaulizwa pasi wakati wa kuingia ur destination.alaaa wasitufanye mazuzu sisi wakati ni watu wazima na akili zetu
 
Dada segito nakuona..unafanya gud
 
Mm nataka kujua nauli ya kutoka bongo hadi malta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…