Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu hio njia ya Belize ni nzuri na nyepesi sana kwani ni hela yako tu, but baada ya kuingia USA utawaambiaje maafisa wa uhamiaji ? hapo hakuna hatari ya kurudishwa? au njia hio ni halali ???

Mutasha
Kusafiri mpaka Belize ni halali.Ila kutoka Belize kwenda Puero Rico (USA) sio halali.Kama una bahati ndio unazamia.Ukikutana Na uhamiaji utarudishwa Belize Na Kwa bahati mbaya unaweza rudiashwa Bongo.
Nimetoa hayo maoni Kwa wale ambao wanao taka kuzamia kupitia nchi zingine.
 
What's more special in what's up group than this forum? Sijaona umuhimu wa kuhamishia mambo huko?? Ni kujitenga kusikokuwa na tija .

Sio kila member anataka kujulikana ama mawasiliano yake kuwa wazi kwa sababu mbali mbali ikiwepo usalama binafsi.

Kuna mengi yanawezekana kusemwa hapa kwa jukwaa kuliko uko what's up.

Sitegemei matokeo mazuri zaidi kupitia kwa group la whatsup tofauti na hapa kwa huu uzi. Mkiwa kwa group ni members waliojiunga tu ndio mnaoshea lakini hapa yeyote anaweza kuchangia mada kwa muda atakaoona unafaa yeye kufanya hivyo.

Haiwezekani members wote wenye uhitaji huo wa kwenda nje na kupata taarifa wakajiunga.

Group la what's up linaweza kuanzishwa kwa jambo fulani linalohusisha watu wachache tu....pia sio lazima kwani pm inaweza kutumika kufanya hayo yote na sio kama ilivyo apa kwa huu uzi.

Ni mtazamo wangu tu nakubali kupingwa na kukosolewa kwa manufaa ya wengi.

Huu Uzi una viewers zaidi ya 2K then mnafungua group ambalo maximum no ni 256 kwa nini msi share hayo mambo apa kwa huu uzi ili watu wengi zaidi wafaidike????
emoji290.png
emoji289.png
emoji288.png
Mkuu uko sahihi sana sijui kwanini wa Tanzania wengi siku hizi wanapenda mno whatsup group! Na ni kitu gani kinafanya huko kwenye magroup iwe rahisi kuandikwa kuliko hapa
Naomba tuujadili whatsapp huu mjadala please link hiyo ‎Open this link to join my WhatsApp Group: Journey To The West
Wewe umekuta kila kitu kinajadiliwa hapa kwanini sasa hivi unang'ang'ana mjadala upelekwe whatsup group! Wengine hatupendi hizo whatsup group huoni kuwa utakuwa unatubania kujua mambo mengine tofauti na lengo la mwanzisha Uzi.
 
unataka kujua nini kuhusu botswana?
Everything !! kwa mtanzania ambae anaweza kutoka hapa anaweza kufanya biashara za namna gan? Mazingira yao yapoje?huduma zao za jamii,usalama,mzunguko wa hela yao,mtu anaetoka sehem gan nzur ya kufikia namaanisha bei za hotel zipoje,utaratibu ni upi kuingia kule,kuishi kule... LUSUNGO
 
Kutaka kujuana kwa majina halisi na kutoana hofu.


So lengo ni kujuana kwa majina halisi ? Ili iweje? Kuondoana hofu?? Tutafika lakini kwa kuchelewa!

Ukipata hofu mkuu unafunguka hapa hapa unasaidiwa hakuna umuhimu wa hilo li group la Tsup.

Ukichangia hapa unakuwa umesaidia maelfu ya watu tofauti na ukiwa kwa ilo group.

Tupige hatua kwenda mbele na sio kurudi tulikotokea. Kufanya hivyo ni sawa na mtu anaeongeza mwendo kuelekea asikokujua.[emoji288] [emoji289] [emoji290]
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Karibu. Japan mkuu, pesa hipo pahala hapa. Cha kuzingatia kuwa na adabu na eshima kwa kila mtu. Japan ni nchi ya maadili sana. Besides that ukikifaham Kijapan utafanikisha mambo yako zaid. Kila la kheri.
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi

Mkuu Hongera sanaaaaa tu.Muhimu ni kuingia Japan kwanza Halafu Hayo mambo mengine ni wewe tu.Mwenyeji wako atakufungulia mlango ila wewe ndio unafanya ujasiri wa kuendelea.Kama alisema mwanaJF Hapo juu
Maadili Na Nidhamu za waJapani.
Kazi zipo Wanawake wapo vyote hivi vinahitaji ujasiri wako wa kujifunza Kijapani ili ufanikishe malengo yako.
WaJapani Wanasema "domo arigato" Asante sana."Sayonara" Kwa heri
"Ganbarou " kila la kheri
 
Nmeshauliza snaa nchi ya botswana lakin sijapata mrejesho mpka leo

Mkuu wataalam wanao jua mambo ya Botswana hawajatokea.Huu uzi kila mtu anachangia Kutokana Na ujuzi wa kuishi sehemu husika au wamesoma kutoka Kwa rai wa hizo nchi.Kama hujajibiwa ujuwe wengi hatujuwi.Unaweza ingia mitandaoni angalia Botswana unaweza pata Habari nyingi uzitakazo.
Kila la kheri
 
Kwa vile umeuliza si vibaya kukufahamisha ilichouliza kwanza Hongera sana kwa kupata mchongo Japan . Japan ni moja ya nchi zilizoendelea Duniani ikiwa ya 3 kutoka US then China Kwanza jambo la kwanza unapotaka kwenda kutafuta maisha kwenye nchi nyingine cha Kwanza unachotakiwa kuangalia ni Uchumi wa Nchi husika then vinafata vigezo vingine ambayo kwa ujumla ni 5

Kwanza kwa kuamia Japan Kwanza utapata faida 4 ambazo kwa wanaoamia Ulaya magharibi na North America wanapata faida 3 lakini unapoamia nchi yeyote kuna faida ambazo unatakiwa kuzipata faida hizo ni

1 Kiusalama
2 Kiafya
3 Kiuchumi
4 Kijamii (hii inategemea ulipotoka)

Ulaya na America utapata faida 3 nazo ni Usalama, Afya, Uchumi

Wakati Japan utapata faida zote ikiwamo faida muhimu sana ,faida ya Kijamii watu wengi wanadharau faida hii lakini ni Faida kubwa sana kwa watu wenye misingi , hekima na weledi

Japan ni nchi ambayo ni nchi yenye watu wastarabu na wenye maadiri hapo ndipo faida ya Kijamii inapokuja kwani Nidhamu ndio inamjenga mtu , mtu yeyote ambae hana Nidhamu kufanikiwa kwake ni ngumu sana na huwezi kukaa kwa watu wasio na Nidhamu then ww ukawa na Nidhamu

Watu wengi walio Ulaya si nchi za Scandinavia kwani nchi za Scandinavia wana Nidhamu sana nazungumzia Ulaya na America wengi wanaona aibu kurudi kwani wamekijuta wamekaa muda mrefu nje lakini hakuna cha maana wanachoweza kujisifia au kuonyesha nyumbani kwani fedha nying imepotea kwenye starehe tu ndo linapokuja swala la Nidhamu

Yapo mengi ya kukwambia kuhusu Japan lakini ninachotaka kukwambia ni moja ya nchi bora kabisa Duniani kuishi pia kitu ambacho wengi hawajui kuhusu Japan. Japan is restricting immigration. In reality over 95% of applicants are accepted. So, it is just the fact that not many people actually apply.

So uwezekano wa kupata Citizenship ni mkubwa kuliko Ulaya na America kwani wahamiaji wengi wa Japan ni Mongolian kutoka Korea na zamani walikuwa wachina lakini siku hizi Wachina wanakimbilia Canada na USA pia Japan hawataki dual citizenship so watu wengi unakuta japan si chaguo lao wazungu wengi wanataka kuwa na uraia zaidi ya mmoja so kutokana na hilo inakuta Japan si Chaguo lao pili Lugha ya Kijapani watu wengi wanapenda kwenda kwenye nchi zinazoongea Kingereza

Kama nilivyosema Yapo mengi ya kukwambia kuhusu Japan lakini naomba niishie hapo mengine unakwenda kujionea mwenyewe

Note wanawake wa Asia yani wanawake kutoka nchi za Mongalian races yani Japan, China,Korea, Philippines, Malaysia, Taiwan, Singapore wana vivu sana hasa wanapopata mtu kutoka race tofauti na yao kwa hyo kuwa makini sana wanapenda vibaya sana na wapo tayali kujeruhi au kuua kwa ajili ya mwanaume so kuwa makini sana
Duh, asante mkuu hapo kwenye Note pamekaa poa sana
 
IZZO,
ISSANGA FAMILY

naomba mnipe connection za Madagascar..nina shida nako huko
 
Mkuu Hongera sanaaaaa tu.Muhimu ni kuingia Japan kwanza Halafu Hayo mambo mengine ni wewe tu.Mwenyeji wako atakufungulia mlango ila wewe ndio unafanya ujasiri wa kuendelea.Kama alisema mwanaJF Hapo juu
Maadili Na Nidhamu za waJapani.
Kazi zipo Wanawake wapo vyote hivi vinahitaji ujasiri wako wa kujifunza Kijapani ili ufanikishe malengo yako.
WaJapani Wanasema "domo arigato" Asante sana."Sayonara" Kwa heri
"Ganbarou " kila la kheri
Bila kusahau Taima hushide suka-- unavuta bangi?
 
Mkuu Hongera sanaaaaa tu.Muhimu ni kuingia Japan kwanza Halafu Hayo mambo mengine ni wewe tu.Mwenyeji wako atakufungulia mlango ila wewe ndio unafanya ujasiri wa kuendelea.Kama alisema mwanaJF Hapo juu
Maadili Na Nidhamu za waJapani.
Kazi zipo Wanawake wapo vyote hivi vinahitaji ujasiri wako wa kujifunza Kijapani ili ufanikishe malengo yako.
WaJapani Wanasema "domo arigato" Asante sana."Sayonara" Kwa heri
"Ganbarou " kila la kheri

Na wewe uko japan mkuu?
 
Back
Top Bottom