Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu hio njia ya Belize ni nzuri na nyepesi sana kwani ni hela yako tu, but baada ya kuingia USA utawaambiaje maafisa wa uhamiaji ? hapo hakuna hatari ya kurudishwa? au njia hio ni halali ???

Mutasha
Kusafiri mpaka Belize ni halali.Ila kutoka Belize kwenda Puero Rico (USA) sio halali.Kama una bahati ndio unazamia.Ukikutana Na uhamiaji utarudishwa Belize Na Kwa bahati mbaya unaweza rudiashwa Bongo.
Nimetoa hayo maoni Kwa wale ambao wanao taka kuzamia kupitia nchi zingine.
 
Mkuu uko sahihi sana sijui kwanini wa Tanzania wengi siku hizi wanapenda mno whatsup group! Na ni kitu gani kinafanya huko kwenye magroup iwe rahisi kuandikwa kuliko hapa
Naomba tuujadili whatsapp huu mjadala please link hiyo ‎Open this link to join my WhatsApp Group: Journey To The West
Wewe umekuta kila kitu kinajadiliwa hapa kwanini sasa hivi unang'ang'ana mjadala upelekwe whatsup group! Wengine hatupendi hizo whatsup group huoni kuwa utakuwa unatubania kujua mambo mengine tofauti na lengo la mwanzisha Uzi.
 
unataka kujua nini kuhusu botswana?
Everything !! kwa mtanzania ambae anaweza kutoka hapa anaweza kufanya biashara za namna gan? Mazingira yao yapoje?huduma zao za jamii,usalama,mzunguko wa hela yao,mtu anaetoka sehem gan nzur ya kufikia namaanisha bei za hotel zipoje,utaratibu ni upi kuingia kule,kuishi kule... LUSUNGO
 
Kutaka kujuana kwa majina halisi na kutoana hofu.


So lengo ni kujuana kwa majina halisi ? Ili iweje? Kuondoana hofu?? Tutafika lakini kwa kuchelewa!

Ukipata hofu mkuu unafunguka hapa hapa unasaidiwa hakuna umuhimu wa hilo li group la Tsup.

Ukichangia hapa unakuwa umesaidia maelfu ya watu tofauti na ukiwa kwa ilo group.

Tupige hatua kwenda mbele na sio kurudi tulikotokea. Kufanya hivyo ni sawa na mtu anaeongeza mwendo kuelekea asikokujua.[emoji288] [emoji289] [emoji290]
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Karibu. Japan mkuu, pesa hipo pahala hapa. Cha kuzingatia kuwa na adabu na eshima kwa kila mtu. Japan ni nchi ya maadili sana. Besides that ukikifaham Kijapan utafanikisha mambo yako zaid. Kila la kheri.
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi

Mkuu Hongera sanaaaaa tu.Muhimu ni kuingia Japan kwanza Halafu Hayo mambo mengine ni wewe tu.Mwenyeji wako atakufungulia mlango ila wewe ndio unafanya ujasiri wa kuendelea.Kama alisema mwanaJF Hapo juu
Maadili Na Nidhamu za waJapani.
Kazi zipo Wanawake wapo vyote hivi vinahitaji ujasiri wako wa kujifunza Kijapani ili ufanikishe malengo yako.
WaJapani Wanasema "domo arigato" Asante sana."Sayonara" Kwa heri
"Ganbarou " kila la kheri
 
Nmeshauliza snaa nchi ya botswana lakin sijapata mrejesho mpka leo

Mkuu wataalam wanao jua mambo ya Botswana hawajatokea.Huu uzi kila mtu anachangia Kutokana Na ujuzi wa kuishi sehemu husika au wamesoma kutoka Kwa rai wa hizo nchi.Kama hujajibiwa ujuwe wengi hatujuwi.Unaweza ingia mitandaoni angalia Botswana unaweza pata Habari nyingi uzitakazo.
Kila la kheri
 
Duh, asante mkuu hapo kwenye Note pamekaa poa sana
 
IZZO,
ISSANGA FAMILY

naomba mnipe connection za Madagascar..nina shida nako huko
 
Bila kusahau Taima hushide suka-- unavuta bangi?
 

Na wewe uko japan mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…