Hii NI tovuti za vyuo vikuu duniani.Programu nyingi ni bure Na zingine unalipia www.coursera.orgOkey, Shukran sana chief. nimeanza kusoma, nataka nimalize module kama nne then nirequest mitihani. please chief kama unaweza nisaidia hicho chuo unachokisema, na kama kuna hiyo technique ya kusoma free.
Kwahyo we umekuja na wazo gani mbadala la watu wabaki kujenga nchi?Jamani msiondoke wote Tanzania Tutabaki na nani? Naona kila mtu anachagua nchi yake sio vizuri sisi ni watoto wa Baba mmoja mkiondoka sisi tutabaki na nani?
Basi mkishahemea naomba mnipe tenda ya kuwajengea nyumba bora na za kisasa kabisa kwa garama nafuu kuanzia mil 32 tu tembelea www.one2onefocus.comTunaenda kuhemea tunarudi kujenga na kuwekeza home.
Fungua uzi wako wa tangazo humu tuache wenye dream zetu za kwenda nje kuhemea,km huna cha kuchangia basi pita kimya kimya usikatishe watu tamaa mkuu.Basi mkishahemea naomba mnipe tenda ya kuwajengea nyumba bora na za kisasa kabisa kwa garama nafuu kuanzia mil 32 tu tembelea www.one2onefocus.com
Boss kalikuwa kautani tu kiongoz don't take it seriousKwahyo we umekuja na wazo gani mbadala la watu wabaki kujenga nchi?
Kuna Wafanya kazi wa serikali na wa NGOs humu ambao wanaona elimu yao na wanachokifanya hakilingani so wakiangalia ng'ambo kuna mambo mazuri hebu washawishi namna ya kubaki Tz
Kuna wafanyabiashara humu ambao nao vitu havieleweki unawa convince vipi wabaki Tz?
Kuna Vijana wamemaliza vyuo hawaajiliwa miaka 5 mpaka sasa nje kuna fursa utawaambiaje wabaki wajenge nchi?
Na je unadhani nchi inajengwa na waliondani ya nchi tuu?kwamba hakuna walio nje ya nchi wanawekeza kwenye nchi zao?
Hayo kwangu ni mawazo ya uoga wa kutothubutu na kuridhika na centi mbili ambazo ukiangalia ulipotoka hakuna chochote ulichofanya ukilinganisha na mtu aliye nje ya nchi kwa miaka miwili.
Sijamkatisha mtu tamaa kaka jamani nimewakumbusha mkienda mje kuwekeza kwenye ujenz sijakukatisha tamaa labda umenielewa vibaya sorryFungua uzi wako wa tangazo humu tuache wenye dream zetu za kwenda nje kuhemea,km huna cha kuchangia basi pita kimya kimya usikatishe watu tamaa mkuu.
Kwahyo we umekuja na wazo gani mbadala la watu wabaki kujenga nchi?
Kuna Wafanya kazi wa serikali na wa NGOs humu ambao wanaona elimu yao na wanachokifanya hakilingani so wakiangalia ng'ambo kuna mambo mazuri hebu washawishi namna ya kubaki Tz
Kuna wafanyabiashara humu ambao nao vitu havieleweki unawa convince vipi wabaki Tz?
Kuna Vijana wamemaliza vyuo hawaajiliwa miaka 5 mpaka sasa nje kuna fursa utawaambiaje wabaki wajenge nchi?
Na je unadhani nchi inajengwa na waliondani ya nchi tuu?kwamba hakuna walio nje ya nchi wanawekeza kwenye nchi zao?
Hayo kwangu ni mawazo ya uoga wa kutothubutu na kuridhika na centi mbili ambazo ukiangalia ulipotoka hakuna chochote ulichofanya ukilinganisha na mtu aliye nje ya nchi kwa miaka miwili.
Hii NI tovuti za vyuo vikuu duniani.Programu nyingi ni bure Na zingine unalipia www.coursera.org
Yapo mafunzo mengi ya fani mbalimbali
Hii NI tovuti za vyuo vikuu duniani.Programu nyingi ni bure Na zingine unalipia www.coursera.org
Yapo mafunzo mengi ya fani mbalimbali
Pakoje huko philipi, lolkama ulishaishi Phillipi shkamoo sana mkuu
Ukiingia humu atleast hakikisha una passport itasaidia zaidi kupata msaada wa haraka, kama huna passoport then safari utakua unajilazimisha tu na itaku cost, safiri kama umeamua kutoka moyoni na sio kwa kuwa umeona watu wanasemaSina pasport, naweza Fanya application then swala la kufatilia passport likafata?
Mkuu hicho kisehemu ni hivi.Wakuu ninajaza form ya kuomba residence permit ila Kuna hili swali nashindwa namna ya kulijibu vizuri
"do you have permission to live in countries other than your country of origin? " if Yes give date...
Natanguliza Shukrani [emoji52] [emoji52]
Mkuu marveljtZa mida wakuu.hivi international driving licence hapa tz wanatoa? Vigezo vikoje
unakabwa na watsotsi peupeee huku majirani wanaanika nguo nje kama hawakuoni.kuskia majibishano ya risasi nh kama vile kelele za ndege kwa wakazi jiran ya airport.huko na kitaa Mitchelsplain hapafaiPakoje huko philipi, lol
Mkuu hujanipata vizuri, yaani hii form najaza ndo ya kuomba hiyo visa pamoja na residence permit...Mkuu hicho kisehemu ni hivi.
"Je umepewa ruhusa ya kuishi nchi nyingine?"
Kama una visa ya hiyo nchi husika imeandikwa "
Valid from 28-5-2017 until 28-05-2018"
Kwa hiyo jibu ni YES Halafu unaandika hiyo tarehe ya kwenye visa uliyopewa.Nito tayari kukosolewa kama sijaeleweka au nimekosea.
Mkuu marveljt
Kama uko Dareslam Nenda Mayfair plaza Mikocheni
Hapo TRA Na kituo cha polisi.
Unawaeleza kwamba unasafiri Kwenda masomoni unahitaji hiyo license.Bei ilikuwa 40K(40,000)Sh Kwa sasa sijui.Unaweza kuulizwa passport,au tiketi ya usafiri au visa Hivi vyote havihitajiki Lakini ni vizuri uwe navyo.
Kila la kheri