Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Okey, Shukran sana chief. nimeanza kusoma, nataka nimalize module kama nne then nirequest mitihani. please chief kama unaweza nisaidia hicho chuo unachokisema, na kama kuna hiyo technique ya kusoma free.
Hii NI tovuti za vyuo vikuu duniani.Programu nyingi ni bure Na zingine unalipia www.coursera.org
Yapo mafunzo mengi ya fani mbalimbali
 
Jamani msiondoke wote Tanzania Tutabaki na nani? Naona kila mtu anachagua nchi yake sio vizuri sisi ni watoto wa Baba mmoja mkiondoka sisi tutabaki na nani?
Kwahyo we umekuja na wazo gani mbadala la watu wabaki kujenga nchi?
Kuna Wafanya kazi wa serikali na wa NGOs humu ambao wanaona elimu yao na wanachokifanya hakilingani so wakiangalia ng'ambo kuna mambo mazuri hebu washawishi namna ya kubaki Tz
Kuna wafanyabiashara humu ambao nao vitu havieleweki unawa convince vipi wabaki Tz?
Kuna Vijana wamemaliza vyuo hawaajiliwa miaka 5 mpaka sasa nje kuna fursa utawaambiaje wabaki wajenge nchi?
Na je unadhani nchi inajengwa na waliondani ya nchi tuu?kwamba hakuna walio nje ya nchi wanawekeza kwenye nchi zao?
Hayo kwangu ni mawazo ya uoga wa kutothubutu na kuridhika na centi mbili ambazo ukiangalia ulipotoka hakuna chochote ulichofanya ukilinganisha na mtu aliye nje ya nchi kwa miaka miwili.
 
Boss kalikuwa kautani tu kiongoz don't take it serious
 
That's true bro!..
For example, Currently we have more than 1500 medical doctor roaming around street unemployed since 2014..
For sure there is no hope in Tanzania
Let's spread brotherz n sisters
 
Habari za masiku humu. Bila shaka harakati zinaendelea vyema sana.
Naomba kwa mwenye msaada asaidie kwa hili. Nilisajili ngo pale iliyokuwa wizara ya maendeleo ya jamii mwaka 2014. Mdogo mdogo tunajikongoja na tunapata vifund kidogo kidogo kwa kuminyana Sana.

Kuna Call for proposal wametoa watu WA Swedish Institute lakini wanataka ukiapply uwe na partner org kutoka Sweden manake form mtajaza kwa pamoja. Sasa mwenye channel atusaidie.

Harakati ziendelee kama kawa.
 
Wakuu ninajaza form ya kuomba residence permit ila Kuna hili swali nashindwa namna ya kulijibu vizuri
"do you have permission to live in countries other than your country of origin? " if Yes give date...
Natanguliza Shukrani [emoji52] [emoji52]

97373408b91cdf828f66d886d94df73c.jpg
 
Za mida wakuu.hivi international driving licence hapa tz wanatoa? Vigezo vikoje
 
Mkuu hicho kisehemu ni hivi.
"Je umepewa ruhusa ya kuishi nchi nyingine?"
Kama una visa ya hiyo nchi husika imeandikwa "
Valid from 28-5-2017 until 28-05-2018"
Kwa hiyo jibu ni YES Halafu unaandika hiyo tarehe ya kwenye visa uliyopewa.Nito tayari kukosolewa kama sijaeleweka au nimekosea.
 
Mkuu marveljt
Kama uko Dareslam Nenda Mayfair plaza Mikocheni
Hapo TRA Na kituo cha polisi.
Unawaeleza kwamba unasafiri Kwenda masomoni unahitaji hiyo license.Bei ilikuwa 40K(40,000)Sh Kwa sasa sijui.Unaweza kuulizwa passport,au tiketi ya usafiri au visa Hivi vyote havihitajiki Lakini ni vizuri uwe navyo.
Kila la kheri
 
Mkuu hujanipata vizuri, yaani hii form najaza ndo ya kuomba hiyo visa pamoja na residence permit...
 
Mkuu marveljt
Kama uko Dareslam Nenda Mayfair plaza Mikocheni
Hapo TRA Na kituo cha polisi.
Unawaeleza kwamba unasafiri Kwenda masomoni unahitaji hiyo license.Bei ilikuwa 40K(40,000)Sh Kwa sasa sijui.Unaweza kuulizwa passport,au tiketi ya usafiri au visa Hivi vyote havihitajiki Lakini ni vizuri uwe navyo.
Kila la kheri

Mkuu TRA walihama hapo mayfair, vp unaeza kwenda TRA yoyote,
 
Back
Top Bottom