Mkuu hapo ni vizuri uangalie mifano ya kujaza hizo forms au waulize ubalozi husika kuhusu hicho kipengele.Mkuu hujanipata vizuri, yaani hii form najaza ndo ya kuomba hiyo visa pamoja na residence permit...
Mkuu unaweza kwenda ofisi nyingine ya TRA unalipia hizo forms Halafu ndio unakwenda polisi wanakupa leseni.Mkuu TRA walihama hapo mayfair, vp unaeza kwenda TRA yoyote,
Mkuu unaweza kwenda ofisi nyingine ya TRA unalipia hizo forms Halafu ndio unakwenda polisi wanakupa leseni.
Karibu mkuuThanx Brother. next week nalifanyia kazi hili.
Mkuu ingia hapa www.campusexplorer.comKama kuna mtu ana uzoefu na USA,kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma degree ya kwanza je course ipi inalipa kwa USA,ingawa yeye alitaka kusoma Marketing,
Kanada ni rahisi kupata PR kama umesoma huko. Lazima uwe na Bachelor's ili uombe PR viza.Jamani kuna mtu yeyote anayejua taratibu za kupata short term training canada au japan na kukubalika kupata resident permit
Mkuu, mwaka huu nimeomba scholarship kwenda kusoma Australia, China na UK
Niombeeni nifanikiwe ,nijilipue huko, nafanya kaxi ila haina maslahi na wategemezi lukuki, bora nitokomee huko kwanza
Mimi nataka kwenda Denmark. Naomba jinsi ya kuingia na fursa zilizopo huko zisizohitaji elimu.yaani nguvu kazi.
Yaaani unavyoongea utadhani unaona harakati zangu, inafika sehemu unakomaa sura kwa kuwaza.Wewe na mimi hatupishani. Kadegree kangu kamoja tu wategemezi kibao siishi kwa raha mjini kila saa simu za kuombwa hela tu. Nimeomba scholarship Norway China na Sweden. Zikigoma naenda kujisomesha. Mwaka jana nilipata chuo ila nikawa nategemea mpaka scholarship....sasa mwaka huu nikikosa scholarship naenda kujisomesha mwenyewe nauza ki mark x changu kisha naunganisha na mpunga mwingine huyoooo China kujisomesha nikifika huko mambo itajipa tu. Kuna jamaa yangu kaenda mwaka juzi kwa kujisimesha kajilipia ada semester ya kwanza tu ya pili akapata scholarship na sasa muda ambao hayupo darasani anafundisha vitoto vya kichinia Kiingereza anapiga mpunga wake safi wa kama mabank teller watanne kwa hapa Dar. Kaka tuondoke tupotee kama miaka mitano hivi kisha ndo turudi maana ndugu wa hapa bongo hatutaendelea
Mkuu, kubadilisha major sio rahisi kwa njia yako. Kwanza itabidi uanze upya na itakugharimu pesa nyingi hata kama utakuwa raia wao.Asante sana mkuu tokyo mimi ni graduate wa education in science na napenda kuishi canada nimejaribu kuomba vyuo lakini gharama naona ni kubwa sana na scholsrship siqualify kwa sababu GPA yangu ni 3.4 lower second hivyo nimeoba option ni kupata training fupi hasa ya vocational jobs ambayo itaniwezesha kupata kazi canada au jyhapan au scandnavian countries ili nikisettle nisome medicine au nursing au lab science nikiwa nimepata uraia au permanent residence please naomba yeyote mwenye information anisaidie
Salam Kaka Izzo. Naomba kukukumbusha kuhusu vile vyuo vya kusoma usalama wa afya kazini OSH. Pia kuhusu jambo nilikujulisha awali.Mkuu mm sijibu PM kama nilivyosema toka mwanzo kuhusu Chuo
Ni Chuo kizuri lakini si best hiki unasoma free lakini ukitaka cheti baada ya kumaliza courses inakutaka utumie hela kwa ajili ya shipping ya cheti lakini cheti chake si cha thamani sana Kwani kila kitu unafanya ww so uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana kwani baada ya course unatakiwa kufanya mtihani na unatakiwa u score 70% out of 100 % lakini bado nabaki pale pale uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana
kwani bado mitihani inakuwa pale pale yani unaifanyia kwenye computer then kama utashindwa kuscore 70% unaweza kurudia tena kufanya tena mtihani tena ambao unakuwa the same so credibility ni ndogo sana
Chuo ninachozungumzia mm ni kama hvyo hyo na mtihani ni kama hvyo hvyo lakini mtihani wa mwisho unakwenda kufanyia ubalozini au kwenye centre watakayokuchagulia wao so uwezekano wa kucheat unakuwa hakuna chuo hiko unalipia lakini kuna technique ya kusoma bure 100% free
Yaani nimependa ushauri wako shukurani mkuu ; lakini pia naomba nikuhulize kuhusu na upande wa Wakina dada kazi huko siko vp kama unafahamuYaaani unavyoongea utadhani unaona harakati zangu, inafika sehemu unakomaa sura kwa kuwaza.
hebu mkuu weka sawa hiyo ya China au Japan ada zao shilling ngapi za kibongo ili tuanze kukomaa kuzitafuta.