Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mkuu unavyo sema "cheti cha Lugha" funguka zaidi
Ni Lugha gani?
Kwa Tanzania SGS huwa wanatoa hizo training gharama ni around 1000usdMkuu...
Toa idea yako tafadhali..!
Mkuu unahitaji msaada gani ili ufanikishe cheti cha Lugha?Kingereza, IELTS/TEOFL
Wengi wako njiani Na wengine hawajapata simu au computer kutupa mrejesho lakini wamesha wasali huko waendako.wangapi washaondoka?
Mkuu unahitaji msaada gani ili ufanikishe cheti cha Lugha?
kk unaweza kupata past papers online na kujipima. pia nakushauri ufanye IELTS na si TOEFLKama una softcopy za exams naomba
kk unaweza kupata past papers online na kujipima. pia nakushauri ufanye IELTS na si TOEFL
Mkuu sina softcopy.Muhimu wa hizo test nikukupima uko kiwango gani cha Lugha.Mfano hukufanya vizuri kwenye TOEFL Na chuo ulicho omba wamekukubali.Hicho chuo kitakupangia EASL(English as second Language) programs Na wakati huo huo unaendelea Na masomo yako kama kawaida.Nawajuwa Watu wengi nilio soma nao chuo kutoka nchi nyingi ambazo Kiingereza sio Lugha yao ya kuzaliwa hawakufanya vizuri.Kama una softcopy za exams naomba
Ingia mtandaoni search utakutana na ample examples za hizi mambo.kk unaweza kupata past papers online na kujipima. pia nakushauri ufanye IELTS na si TOEFL
Mkuu ingia hapa www.toefltestsonline.com/practice/testIngia mtandaoni search utakutana na ample examples za hizi mambo.
Haha nilitamani saana hii mitihani ingekuwa inatolewa online lakini sijawahi ona . Mwenye kujua kama ipo atujuze
Hii naona ni practice mkuu. Naulizia online test yaani nifanye mtihani online na nipewe cheti cha toefl .Mkuu ingia hapa www.toefltestsonline.com/practice/test
Hii mitihani inafanyiwa kwenye balozi husika.Hii naona ni practice mkuu. Naulizia online test yaani nifanye mtihani online na nipewe cheti cha toefl .
[emoji3][emoji106]Hii mitihani inafanyiwa kwenye balozi husika.
Watu wengi watachiti kama wakifanyia on line.
Hii naona ni practice mkuu. Naulizia online test yaani nifanye mtihani online na nipewe cheti cha toefl .
Nashukuru kwa kutupa muongozo wa kupata fursaKwa Mara nyingine tena
Schoralship za kusoma nchini ufaransa zipo wazi kabisa kwa walio na sifa
Ni masters na PhD
Usizidi miaka 36
Nauli utapewa
Pesa Ya matumizi utapata
Mwisho wa maombi ni Tarehe 25/5/2017
Nikutuma tu kwa email
Tembelea tovuti ya ubalozi wa ufaransa hapa nchini
Tafadhali wenye sifa naomba zisikose mtu hizi nafasi...!!
Asanteni
Isingekuwa kuna kusumbuana huku. HahaHahahahahaaa unautani wewe, ufanye online?? wanafanyaga pale british council kwa IELTS
Naomba nami hiyo form nijaze kuomba hizi scholarshipsMashimba Son samahani ninaswali.
Katika kupitia hii form ya scholarship za Japan nimekutana na issue ya TOEFL na IELTS na katika maelezo yao naona lugha ya kufundishia ni Japan na hakuna sehemu waliyosema lazima uwe na hizo mambo. Je kwa ufahamu wako kwa mtu ambaye hajafanya hii mitihani ata qualify kuendelea kuapply. Au nikiacha wazi haina neno.
Embassy of Japan in Tanzania - Study in JapanNaomba nami hiyo form nijaze kuomba hizi scholarships
Au nielekeze pa kuzipata