Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Hongera kwa mwanzisha uzi huu na wachangiaji. Binafsi nimejifunza mengi na nimeimarisha mpango mkakati wangu wa kujilipua 2019 mungu akipenda.
 
Kama una softcopy za exams naomba
Mkuu sina softcopy.Muhimu wa hizo test nikukupima uko kiwango gani cha Lugha.Mfano hukufanya vizuri kwenye TOEFL Na chuo ulicho omba wamekukubali.Hicho chuo kitakupangia EASL(English as second Language) programs Na wakati huo huo unaendelea Na masomo yako kama kawaida.Nawajuwa Watu wengi nilio soma nao chuo kutoka nchi nyingi ambazo Kiingereza sio Lugha yao ya kuzaliwa hawakufanya vizuri.
Mkuu fanya hiyo test haina ugumu wowote kama umemaliza shule ya sekondari.bofya hapa www.ets.org
Kila la kheri
 
kk unaweza kupata past papers online na kujipima. pia nakushauri ufanye IELTS na si TOEFL
Ingia mtandaoni search utakutana na ample examples za hizi mambo.


Haha nilitamani saana hii mitihani ingekuwa inatolewa online lakini sijawahi ona . Mwenye kujua kama ipo atujuze
 
Hii naona ni practice mkuu. Naulizia online test yaani nifanye mtihani online na nipewe cheti cha toefl .
Hii mitihani inafanyiwa kwenye balozi husika.
Watu wengi watachiti kama wakifanyia on line.
 
Hahahahahaaa unautani wewe, ufanye online?? wanafanyaga pale british council kwa IELTS
Hii naona ni practice mkuu. Naulizia online test yaani nifanye mtihani online na nipewe cheti cha toefl .
 
Kwa Mara nyingine tena
Schoralship za kusoma nchini ufaransa zipo wazi kabisa kwa walio na sifa
Ni masters na PhD
Usizidi miaka 36
Nauli utapewa
Pesa Ya matumizi utapata
Mwisho wa maombi ni Tarehe 25/5/2017
Nikutuma tu kwa email
Tembelea tovuti ya ubalozi wa ufaransa hapa nchini
Tafadhali wenye sifa naomba zisikose mtu hizi nafasi...!!
Asanteni
Nashukuru kwa kutupa muongozo wa kupata fursa
Hii haina kigezo cha lugha ? Kuna zingine zinalimit vyeti vya kizungu
 
Mashimba Son samahani ninaswali.
Katika kupitia hii form ya scholarship za Japan nimekutana na issue ya TOEFL na IELTS na katika maelezo yao naona lugha ya kufundishia ni Japan na hakuna sehemu waliyosema lazima uwe na hizo mambo. Je kwa ufahamu wako kwa mtu ambaye hajafanya hii mitihani ata qualify kuendelea kuapply. Au nikiacha wazi haina neno.
Naomba nami hiyo form nijaze kuomba hizi scholarships
Au nielekeze pa kuzipata
 
Back
Top Bottom