Kigezo cha umri kimenitesaEmbassy of Japan in Tanzania - Study in Japan
Ingia hapo. Kubwa uwe umezaliwa 1996 kuja mbele. Kila kitu kipo hapo form n.k ukishindwa uliza hapa hapa
Poa mkuuKigezo cha umri kimenitesa
Nashukuru sana ndugu
Naweza kukuoa ili niwe nakuja USA kukutembelea!Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
Hongera mkuuMimi nipo Stockholm kwa zaidi ya half decade ntaeleza badae Ni kwa njia gani waweza tumia but briefly Kuna timu ya mpira huku inaitwa Kilimanjaro ipo under Athuman Machupa Na Shekhan Rashid and co wanaweza kusaidia pia kuwaleta wabongo huku. lusungo
Tembea na fursa baba....Naweza kukuoa ili niwe nakuja USA kukutembelea!
asanteMkuu Saplaiz
Toka uzi ulivyo anzishwa Na Mkuu Lusungo sijaondoka Ktk hili jukwaa.Hata wafitini walivyo chafua hali ya hewa Na Mkuu Izzo akasita kuendelea Na programs hivyo vyote nimevisoma.Kwa bahati nzuri tu wafitini wameweza kutusaidia kuwaona WaTanzania wengi NI wakarimu,wazalendo Na hawana roho za Kwa nini.Kwa wanao taka kuwa kwenye magroup ni sawa tu:
Mimi nipo tayari ni dactari nina pesa account hyo amount uliosema naomba email tuanze mchakato nije.msiogope wala msikatishwe tamaa na wanga waliojaa humu ndani.kama una nia thabit njoo utafute maisha kwenye nchi za watu utatoka.mimi mtoto wa kike nilianza kwa trump kisha ndio nikadondoka sauz.huwez amini nimeosha kuanzia magari mpaka maiti.hakuna kazi nilioacha ikanipita kama inaingiza hela.tokeni bongo.hakuna ishu zaidi ya kupiga mizinga na kungojea ugali wa shkamoo.muda si mrefu nitahama nchi ila napenda niwasaidie wataopenda kabla sijaondoka.tokeni bongo mfunguke akili.
Mkuu mi nipo humo ila sijapata mswedish wa kunifundisha....?ni PM bhas wako tushareYes sure.. nimejifunza kiswedish kupitia hello talk sasa hivi nipo intermediate level.
Mkuu umemwangalia huyu agent kwenye data base ni wa kweli na wengine wamtumie huyo bwana.
Aiseee too bad tayari nipo bongo. Kwasasa nimebase Kigoma. Ila nicheck tuone nakusaidiajeMimi nipo tayari ni dactari nina pesa account hyo amount uliosema naomba email tuanze mchakato nije.
Sidhani kama kuna kazi ambayo akili haitumikiKazi zilizopo huko nyingi ni za Mikono na chache za kutumia akili.
Indonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mkapa, vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.Nani mwenye idea kuhusu fursa zilizopo Indonesia?