Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Feedback zitakuja ngoja watu tutulie tujue hata pakuazima motoHaya wadau leteni feedback basi!
Hakuna yeyote aliyekanyaga Windhoek hadi muda huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feedback zitakuja ngoja watu tutulie tujue hata pakuazima motoHaya wadau leteni feedback basi!
Hakuna yeyote aliyekanyaga Windhoek hadi muda huu?
Ebana feedback muhimu babalai, si unajua tena motivation kwa ambao bado wako nyuma, naona kimya kingi hata amasa hamna tena.Feedback zitakuja ngoja watu tutulie tujue hata pakuazima moto
Ni kweli...Ebana feedback muhimu babalai, si unajua tena motivation kwa ambao bado wako nyuma, naona kimya kingi hata amasa hamna tena.
Ahahah.. Ni kweli arifu, Fanya kufamiliarize kwanza mazingira kisha utujuze baada ya kuwa na info zote,Ni kweli...
Sema kutoa feedback wakati hauna hata miezi unaweza kuongopa. Ndiyo yale utaulizwa maswali unashindwa kujibu unaambiwa upo kwa mtogole. Tuwe wavumilivu.[emoji4]
Niulizeni maswali yoyote kuhusu maisha ya Marekani
Mimi nataka nije Marekani ikisha nivuke border kuingia canada je vipi bado uwezekano upo wa kuvuka border?
Kaka kitambo sana ndugu yangu upo?Inawezekana kama una Visa
Kaka kitambo sana ndugu yangu upo?
Karibu sana money stunna.... ulipotea sana....
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nenda marekani mzee Don the Trump kafuta visa unaingia bila visa miezi sitaEurope kumekua kugumu sana kuingia siku hizi, ninaona wadada wengi wanaopata mwaliko wa miezi sita wanaingia online dating wakifika nchi hiyo kwani ni rahisi kukutana na mhusika wakati ukiwa pale, wakishaonana dinner mbili tatu anamweleza kuwa amekuja for visiting na inabidi arudi bongo. Kama date amekolea basi atamfuata bongo na mambo yanaendelea kutoka pale.
hii habar ni kweli au uongo?Nenda marekani mzee Don the Trump kafuta visa unaingia bila visa miezi sita
hii habar ni kweli au uongo?
Donald Trump signs a visa-free travel policy for Tanzania
Mimi nataka kuja kutafuta maisha huko marekani ila sina mwenyeji waweza kuwa mwenyeji wangu?[emoji52]Inawezekana kama una Visa
Mimi nataka kuja kutafuta maisha huko marekani ila sina mwenyeji waweza kuwa mwenyeji wangu?[emoji52]
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Nami nitakaribia huko ninandoto nilale marekani siku mojaKaribu
naomba ushauri if you are familiar with japanEurope kumekua kugumu sana kuingia siku hizi, ninaona wadada wengi wanaopata mwaliko wa miezi sita wanaingia online dating wakifika nchi hiyo kwani ni rahisi kukutana na mhusika wakati ukiwa pale, wakishaonana dinner mbili tatu anamweleza kuwa amekuja for visiting na inabidi arudi bongo. Kama date amekolea basi atamfuata bongo na mambo yanaendelea kutoka pale.
jamani naomba ushauri nataka kwenda japan for a while then ni sehemu gani katika nchi ya japan ni nzuriiiiiiii zaidi mimi nina miaka 25 na nina hold bsc in computer science please naomba ushauriiiiiiii wenu