Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nilifanikiwa ndugu zangu
Mungu awabariki nanyi mfanikiwe
Kama kuna mtu atataka muongozo Kwa ajili ya kujiunga masters na PhD huku nilipo
Mkuu namimi naomba muongozo nataka nikasomee Masters
 
Hizo namba za tz zote zilizowekwa ni feki, watu wanaopokea wengine wapo mbeya wengine wanasambaza mitungi ya ges, namba nyingine zimefungiwa. Hamna kitu hapo
Mkuu mbona majuzi tu hapa walikuwa wanatangaza kwenye redio ya clouds kwamba kuna fursa za kazi nchi za kiarabu hasa hasa Saudia tena na namba wakatoa, nadhani sio feki kama unavyosema
 
Mkuu mbona majuzi tu hapa walikuwa wanatangaza kwenye redio ya clouds kwamba kuna fursa za kazi nchi za kiarabu hasa hasa Saudia tena na namba wakatoa, nadhani sio feki kama unavyosema
Hizo zilizowekwa hapo kwenye hiyo thread hiyo uliyoiona
 
Mkuu mbona majuzi tu hapa walikuwa wanatangaza kwenye redio ya clouds kwamba kuna fursa za kazi nchi za kiarabu hasa hasa Saudia tena na namba wakatoa, nadhani sio feki kama unavyosema

Mkuu nenda jukwaa la kazi Wapo hao watu sio matapeli mkuu au nitupie no zao hapa
 
kaka salm! naimani mwaka tumeuanza vyema.... naomba kukumbusha, na kukuomba ktk List ya watu 7 ulio aidi kuwasaidia mwaka huu... nami niwemo
 
mkuu naomba kukumbusha January ndio hii 2018... tusaidiane... tukasome huko ughaibuni
 
mkuu jeshi huwa wanaumri maalumu wa kujuunga au kwa ulaya ni tofauti
 
Kiongozi sikatai.

Maisha ni popote unaweza kutoka.

Lakini!?

ITALY!

Hapana.

Kipande kile kuanzia ITALY, UGIRIKI, UTURUKI, pande ngumu sana.

Pande zile wanaziweza wenyewe Wazee wa MADUDE

Mkuu Italy Kulikoni?
Mbona unatutisha?
Mbona nasikia Italy maisha Poa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…