Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Aisee kuna jamaa yangu mmoja aliniambia ukiwaambia unatoka na tanzania, na hili wakuelewe basi itabidi uwape lecture haswaa.... Na sijui utatumia reference gani maana mlima kilimanjaro wanafahamu unapatikana kenya.
Mkuu wapi nawwza kuishi nakupata kazi European country na Asian country na kuna urahisi wa kupata visa?
 
Aisee kuna jamaa yangu mmoja aliniambia ukiwaambia unatoka na tanzania, na hili wakuelewe basi itabidi uwape lecture haswaa.... Na sijui utatumia reference gani maana mlima kilimanjaro wanafahamu unapatikana kenya.
Wase***ng* sana wakenya yaani watuwahi mapema wakautangaza mlima wetu upo kwao dunia nzima ikawajua.
 
Mkuu ni kweli... Uhamiaji hawatoi passport bila reason.... Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.


Mkuu lusungo hongera uzi mzuri, una manufaa sana pia.

Hii kitu ya kuhangaishwa na passport imenishtua, it's not right kuhangaishwa Mtanzania halisi. Ni vizuri kuwa careful since the right to have a passport as a Tanzanian was abused before, lakini they can tell, inapokuja suala la kugundua mzawa na asie mzawa. Kila mtanzania ana ya haki kuwa na passport ya Tanzania bila kunyanyaswa.
 
karibuni Basel (uswizi)...ila huku ukitaka kula nchi uwe umepiga shule...niko swiss tropical inst....

....ulaya imekua chungu sana kwa waosha vyombo na wazamiaji....maana sharia za nchi za ulaya zimekua tight sana ...maana wana monitor terrorism....maana kumejaa waarabu ulaya....

.....sasa hivi ukitaka kuula....nenda shule tu....ili ukubalike kokote....

....Btw.....home is always better.....singewashauri watu wawe na mtizamo wa kukimbilia ng'ambo....kwani bado kuna ubaguzi mkubwa wa kimfumo(institutional racism).....kwa hiyo ni bora nyumbani TZ....ni bora kubanana nyumbani kuliko ng'ambo....

..madada zetu wengi wanaishia kupiga umalaya ng'ambo...na wanapigwa hadi nyuma...kisa eti maisha bora!!kuuza utu sababu ya maisha bora!!....ama kuoshea wazungu vyoo!!...no please....
 
Asante sana mkuu Kui

Binafsi nimefarijika sana kukuona hapa! Karibu ushee nasi uzoefu...... Karibu sana sana!!
 
Reactions: kui
Zama zimebadilika kaveli, enzi hizo unazamia kwa meli tena meli yenyewe ya wagreec au waitaly wakikunyaka pona yako upige mbizi
 
Mkuu wewe ulisomea mambo gani mpaka ukaula uswis?
 
Yah Dubai lakini waarabu si rafiki sana kufanya nao kazi

mimi nina mipango ya kuanzia Luxermburg hii nchi nimeona bado ina masharti mepesi sana hata ya utoaji kazi vipi hapo mkuu
 
Madagascar vipi wakuu

Na yenyewe ni visa free country kwa mbongo au?
Yaa..pale ni viza free mkuu kwa tanzanian passport holder..

mkuu hapafai..pana njaa hatari..
.halafu cha ajabu ukifika wanakuita muafrica...
wao wanajiona sio waafrica..

Nimekaa Antananarivo pale...kwnz hawajuwi English wanaongea kimashangaa...au French kwa mbali...

Ukifika pale ndy utajuwa Tanzania tumepiga hatua kiasi gani ktk Africa yetu hii...
kuanzia chakula chao ni kibovu..
hata chumvi hawaweki kwny chakula,
...hata ugali hawaujuwi..
Wao ni wali tu..

kuna siku tulihangaika kusaka unga wa ugali shoprite zote hawajuwi...

ila papuchi inje nje mkuu,
kule ukiwa disco...ukiona mwanamke kavaa viatu virefu means anauza..

wewe uliza bei tu..hiyo .ndy style yao..

kile kisiwa wafaransa kibao wanakuja kula raha tu na kuondoka..

Ila cha kushangaza pale mtu akifa...anawekwa kwenye shelfu ndani ya nyumba ila inajengwa makaburini....

kwa hyo wakimuweka maiti kwenye shelfu....then baada ya mwaka wanakuja kufunguwa ile nyumba wanachukuwa maiti wanacheza nayo mziki..
tena mziki mkubwa unafunguliwa makaburini.
watu wanajaa kushuhudia maiti wanavyocheza nayo mziki.na ndugu wanakuwa na bajeti hiyo ya sherehe hiyo kila ikifika mwaka maiti itatolewa wanacheza nayo ngoma na kuibadilisha nguo.

Then inarudishwa kwenye shelf wanafunga wanaondoka....

wanaamini wasipofanya hivyo maiti itawaletea mikosi....

rais wao fulani alifukuzwa na wanainchi kwa mawe kama mwizi...akakimbilia mafichoni south..
rais alikuwa na uwanja wake wa ndege mwenyewe na pesa inaingia mfukoni kwake..
Kapiga sn pesa huyo jamaa.

mkuu hapafai pale...Tanzania yetu ni marekani...nyumba zao zipo milimani na mabondeni tu...

Mafuriko daily.
Madagascar vipi wakuu

Na yenyewe ni visa free entry kwa mbongo au?
 


This's an eye opener. Ubarikiwe mkuu.
Nikiongeza hapo kwenye jeshi. It’s one of the best ways kupata uraia kwenye nchi za mbele. Hakuna figisu wala mahangaiko yasiyo na msingi.
And the best part iko kwenye shule, mtu ni akili yake tu, serikali inalipa gharama.
 
izzo. Mkuu hao wa kujitolea Malta wanapatikana kwa njia gani?
Kama kuna website tuwekee
 
Ina maana blacks wanaweza aminika jeshini huko mbele mkuu? Mfano Norway wanaweza kukuchukua black?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…