Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Njia zingine ziko rafiki kwa waajiliwa wa serikali, safari za kidini lakini lazima uwe na strong ties Tanzania na MTU yeyote anayefanyakazi kampuni kubwa kubwa hapa Tanzania zenye majina hata wale wazungu pale ubalozini wanazijuwa hawana shida wanakupa viza bila shida yoyote.

Mdogo wangu alikuwa anafanyakazi Swiss air ilikuwa akifika ubalozini anaingiza tu passport take zamu ya kuitwa na councillor ikifika kwenye interview swali lao walikuwa wanamuuliza tu unaenda kukaa muda gani?

Mara ya tatu aliondoka na demu kama mke wake hats makaratasi ya ndoa hawakuuliza na ndio ikawa kimoja mpaka Leo na ni American citizen na anatumia American passport, na amepiga Public health kule yuko mtamu sasa hivi kupita maelezo na ameshawavuta karibu vijana 7 mpaka sasa na ana health center yake analipwa na Federal government, ukifika unaanzia maisha hapo kabla hujapata kazi sehemu nyingine.

Tatizo kubwa wanaotaka viza ya Marekani wengi ni majobless au watu wasio na shughuli maalum za kueleweka na hawana hata kampuni za kuzitumia kama bonye, huu ndio ukweli.

Lakini MTU yeyote anayetoka taasisi ya kueleweka ni lazima wakupe viza.

Note: Watanzania ni wachache sana Marekani ukilinganisha na wahamiaji kutoka nchi zingine za Africa, Waethiopia wanaongoza wamejaa tele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa umeongea point kubwa sana!

Shida yetu watanzania ni uvivu na ujuaji unaoleta ubishi.

Kuna binti fulani alipata mchumba Norway akawa anataka aende... aliponijia kuniuliza afanye nini ili apate visa nikamwambia kama ulivyosema hapo juu maana yeye ni jobless!! Nikamuunganisha na jamaa wa kampuni fulani ili amsaidie kupata job contract na salary slip za kupresent ubalozini kuwa ni mfanyakazi wao.... yule demu aliambiwa awape kiasi fulani kumwandalia hizo docs akagoma.

Alivyonicheki tena nikamwambia bila kuwaonesha strong ties zakukufanya urudi hupati visa.

Mwisho wa siku alikwenda ubalozini akaulizwa unafanya kazi gani Hana jibu.... simply wakamwambia mwambie mchumba wako aje yeye visa akakosa.
 
Mimi nina uwezo wa kusaidia watu humu kupata US Viza lakini naogopa mwisho wa siku humu watakutangaza ni tapeli.

Mtu anayejuwa kingereza vizuri ukimwambia fomu inabidi ajaziwe hapohapo anakuhisi wewe ni tapeli hata Mimi zamani nilidhani hivyo, kumbe zile fomu zina technics zake za ujazaji.

Kwa mfano Sheghen viza kwangu ndio viza rahisi kwangu ukiwa na cash tu maana wao wanahitaji documents tu, hata Canadian viza haina shida ukiwa na cash unatengezewa karatasi zilizosimama unang'oa viza kama umesimama.

Canada inahitaji sana raslimali watu ila huwa sielewi ni kwa nini Watanzania hii fursa tumeshindwa kuitumia kikamilifu, tena zamani wajanja wote waliotaka kuingia Marekani walipitia Canada kwanza then wakaingilia na border viza kabla Osama hajaharibu utaratibu wa maisha na sept 11 yake.

Kuna Wahindi Fulani niliwachongea mchongo wa Canada waliingiza passport za familia nzima golini kwa invitation moja na wote wamepata viza. Tatizo naliona pale Toronto wabongo wengi hawajielewi.

MTU yeyote anayekutana na magumu Leo kutusua kwenda mbele mnapaswa kumlaani Osama bin Laden kwa nguvu zote, tuliowahi kwenda mamtoni kabla sept 11 haikuwa kama sasa, hata London tulikuwa tunapita na BA free kutoka Heathrow kwenda Gatwick airport bila transit viza. Maisha yalikuwa ni mazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daby amekueleza kuhusu mwaliko hapo juu.

Ila hakikisha huyo mchumba ana kazi ya maana na ataweza kukusaidia kipindi chote unapokuwa upo kule.

Wewe pia uwe na kazi inayoeleweka au hata ya kutumia ili ikusaidie pale utakapoomba viza.

Lakini unapokuwa kule unakuwa unajijenga kidogokidogo kwa kusoma mji anaoishi, kazi zinapatikana vipi, vyuo na kadhalika.

Katika mambo mengi ambayo yatakusadia wewe ni huyo mchumba kuwa anafanya kazi na sio kuja kuwa mtegemezi wako wewe ambae bado ni mgeni huko.
Mkuu Richard nashukuru kwa mwongozo. Je Aina gani ya Visa itakuwa Muhimu kwangu Kama Visit Visa SI Ina mda wake wa kuisha.

Na suala la ties Ni Muhimu Sana. Nadhani hapa nitatumia my documents.

Ila naona Spouse Visa ipo vizuri ila Ina masharti kibao. Na inachukua hata mwaka. Kuipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina uwezo wa kusaidia watu humu kupata US Viza lakini naogopa mwisho wa siku humu watakutangaza ni tapeli.

Mtu anayejuwa kingereza vizuri ukimwambia fomu inabidi ajaziwe hapohapo anakuhisi wewe ni tapeli hata Mimi zamani nilidhani hivyo, kumbe zile fomu zina technics zake za ujazaji.

Kwa mfano Sheghen viza kwangu ndio viza rahisi kwangu ukiwa na cash tu maana wao wanahitaji documents tu, hata Canadian viza haina shida ukiwa na cash unatengezewa karatasi zilizosimama unang'oa viza kama umesimama.

Canada inahitaji sana raslimali watu ila huwa sielewi ni kwa nini Watanzania hii fursa tumeshindwa kuitumia kikamilifu, tena zamani wajanja wote waliotaka kuingia Marekani walipitia Canada kwanza then wakaingilia na border viza kabla Osama hajaharibu utaratibu wa maisha na sept 11 yake.

Kuna Wahindi Fulani niliwachongea mchongo wa Canada waliingiza passport za familia nzima golini kwa invitation moja na wote wamepata viza. Tatizo naliona pale Toronto wabongo wengi hawajielewi.

MTU yeyote anayekutana na magumu Leo kutusua kwenda mbele mnapaswa kumlaani Osama bin Laden kwa nguvu zote, tuliowahi kwenda mamtoni kabla sept 11 haikuwa kama sasa, hata London tulikuwa tunapita na BA free kutoka Heathrow kwenda Gatwick airport bila transit viza. Maisha yalikuwa ni mazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inanoesha una uzoefu lakini watu wengi wanapenda kutumia watu wawasaidie lakini Mara nyingi Bei zimekuwa juu na wakati mwingine una lipa mwanzo kabla ya kupata visa so inakuwa changamoto kwa wadau wengi.

Nakweli schengen visum ni rahisi mno kama una maelezo yakueleweka na mshiko mnene. Ni rahisi mno kupewa visa na ni rahisi mno kunyimwa visa! Tofauti na Canada ambapo kama umekamilika ktk docs ni nadra kukunyima visa wale jamaa.

Wengine wanalia na UK visa ilhali wenzao twaenda kama kariakoo...

Ila ktk yote jambo kuu litalomfanya mtu apate visa kirahisi nje ya issue za ndoa ni kupresent ushahidi mzito kuwa una sababu za kukufanya urudi bongo.
 
Mkuu inanoesha una uzoefu lakini watu wengi wanapenda kutumia watu wawasaidie lakini Mara nyingi Bei zimekuwa juu na wakati mwingine una lipa mwanzo kabla ya kupata visa so inakuwa changamoto kwa wadau wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wengi hufanya hivyo coz wabongo hamuaminiki!! Nimesaidia watu kuja Denmark kama Au pair bila tozo yoyote but walipopata walichokitaka na nyodo zikaanza!!

Wengine husaidiwa ila akishapata visa tu hela ya watu halipi!! Sasa why usiwalipe ilhali ukijua visa ni uhakika?
 
Ni kweli mkuu, Kama uliwasaidia Basi sijambo jema mtu kutokulipa. Mara nyingi inaleta ugumu wa watu wengine kusaidiwa.

Mkuu lusungo nitakucheki naona mambo ya Aupair una experience nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Richard nashukuru kwa mwongozo. Je Aina gani ya Visa itakuwa Muhimu kwangu Kama Visit Visa SI Ina mda wake wa kuisha.

Na suala la ties Ni Muhimu Sana. Nadhani hapa nitatumia my documents.

Ila naona Spouse Visa ipo vizuri ila Ina masharti kibao. Na inachukua hata mwaka. Kuipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize una miaka mingapi na umefanya nini cha maana mpaka leo hadi uone kusubiri siku 365 kwamba ni nyingi? Hivi hujui kuna wanaosubiri Magufuli amalize miaka yake 10 ili na wao wagombee watimize ndoto zao? Wewe mwaka mmoja ili utimize ndoto zako unaona mwingi? Watanzania tujifunze kuwa na malengo ya muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inanoesha una uzoefu lakini watu wengi wanapenda kutumia watu wawasaidie lakini Mara nyingi Bei zimekuwa juu na wakati mwingine una lipa mwanzo kabla ya kupata visa so inakuwa changamoto kwa wadau wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyau mmoja tulimsaidia kumpenyeza msafara wa foreign affairs kudadeki alivyopata viza niliambiwa tu mwanangu mmoja wa KLM pale airport kwamba ameliona jina la mshikaji kwenye orodha ya wasafiri walioondoka na KLM ya jana yake usiku. Alituachia manyoya na ni lawama kwa watu inaonekana umekula pesa yao na wakati lengo lako lilikuwa kusaidia tu.

Down payments ni lazima, if you don't take risk usijaribu hata chembe kufikiria mambo haya ya safari.

Mimi nafanyabiashara na watu sijawahi kuonana nao hata siku moja, natuma pesa natake risk na mambo yanakwenda vizuri tu. Ila cha msingi jiridhishe kwanza kabla ya kufanya uamuzi wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize una miaka mingapi na umefanya nini cha maana mpaka leo hadi uone kusubiri siku 365 kwamba ni nyingi? Hivi hujui kuna wanaosubiri Magufuli amalize miaka yake 10 ili na wao wagombee watimize ndoto zao? Wewe mwaka mmoja ili utimize ndoto zako unaona mwingi? Watanzania tujifunze kuwa na malengo ya muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu subira Ni Muhimu nadhani nitangalia na Huyu girlfriend wangu yupo vipi maana hawachelewi kubadilika mwisho ikala kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mnakimbia nchi hii ambayo neema zinamwagika kila uchwao!
Mara Dreamliner
Mara SGR
Mara Chato international airport
Mara viwanda kila kona na ajira za kumwaga
 
Huu uzi nimeupenda sana na natamani sikumoja na mimi niende ulaya kutafuta maisha, lakini kuipata fursa hiyo naona kwangu ni changamoto kubwa hasa kwa mtu kama mimi ambaye elimu yangu tu ni form four na kiingereza cha ugoko nitakwenda kufanya kazi gani! Nabaki kutamani tu na kuishia kusoma comments za watu.
 
Wasiliana na nyani Ngabu ukapige boksi
 
Back
Top Bottom