Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
-
- #3,601
Njia zingine ziko rafiki kwa waajiliwa wa serikali, safari za kidini lakini lazima uwe na strong ties Tanzania na MTU yeyote anayefanyakazi kampuni kubwa kubwa hapa Tanzania zenye majina hata wale wazungu pale ubalozini wanazijuwa hawana shida wanakupa viza bila shida yoyote.
Mdogo wangu alikuwa anafanyakazi Swiss air ilikuwa akifika ubalozini anaingiza tu passport take zamu ya kuitwa na councillor ikifika kwenye interview swali lao walikuwa wanamuuliza tu unaenda kukaa muda gani?
Mara ya tatu aliondoka na demu kama mke wake hats makaratasi ya ndoa hawakuuliza na ndio ikawa kimoja mpaka Leo na ni American citizen na anatumia American passport, na amepiga Public health kule yuko mtamu sasa hivi kupita maelezo na ameshawavuta karibu vijana 7 mpaka sasa na ana health center yake analipwa na Federal government, ukifika unaanzia maisha hapo kabla hujapata kazi sehemu nyingine.
Tatizo kubwa wanaotaka viza ya Marekani wengi ni majobless au watu wasio na shughuli maalum za kueleweka na hawana hata kampuni za kuzitumia kama bonye, huu ndio ukweli.
Lakini MTU yeyote anayetoka taasisi ya kueleweka ni lazima wakupe viza.
Note: Watanzania ni wachache sana Marekani ukilinganisha na wahamiaji kutoka nchi zingine za Africa, Waethiopia wanaongoza wamejaa tele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umeongea point kubwa sana!
Shida yetu watanzania ni uvivu na ujuaji unaoleta ubishi.
Kuna binti fulani alipata mchumba Norway akawa anataka aende... aliponijia kuniuliza afanye nini ili apate visa nikamwambia kama ulivyosema hapo juu maana yeye ni jobless!! Nikamuunganisha na jamaa wa kampuni fulani ili amsaidie kupata job contract na salary slip za kupresent ubalozini kuwa ni mfanyakazi wao.... yule demu aliambiwa awape kiasi fulani kumwandalia hizo docs akagoma.
Alivyonicheki tena nikamwambia bila kuwaonesha strong ties zakukufanya urudi hupati visa.
Mwisho wa siku alikwenda ubalozini akaulizwa unafanya kazi gani Hana jibu.... simply wakamwambia mwambie mchumba wako aje yeye visa akakosa.