dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hahahh! Corona mkuu hiyo kotona bado bongo haijafikaBaba tuombe mungu kotona iishe
Baba tuombe mungu kotona iishe
Daah we mkali brazil una pa kufikiaYani janga la corona likiisha najipanga nikajaribu life Canada lakini kwa kupitia Marekani maana Canada ndio my dream destination.I will go no matter what hata ikibidi kwa njia ya kuunga boda to boda from Brazil to Canada.Nitafika tu.I will die trying.Amen
.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Mkuu vipi kwa mwanafunzi anayehitaji kwenda ulaya kusoma na anataka kujilipua afanyaje ili iwe rahisi kwake hasa kwa nchi kama HispaniaKuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Inawezekana mkuu as kweny kujilipua njia yoyote inatumika ni kama vita tuu huchagui silaha...cha kufanya kwanza upate admission ya chuo then uombe student visa na student visa ni moja ya visa ambayo success rate yake ni kubwa tofaut na visa nyingneMkuu vipi kwa mwanafunzi anayehitaji kwenda ulaya kusoma na anataka kujilipua afanyaje ili iwe rahisi kwake hasa kwa nchi kama Hispania
Naomba kujua baadhi ya hizo njia mkuu ili nijipange mapemaInawezekana mkuu as kweny kujilipua njia yoyote inatumika ni kama vita tuu huchagui silaha...cha kufanya kwanza upate admission ya chuo then uombe student visa na student visa ni moja ya visa ambayo success rate yake ni kubwa tofaut na visa nyingne
Wakuu msaada barua ya mwaliko mana migration wanataka hio proof of travel ili wanipe passport
Baada ya corona kwenda ng'ambo itakuwa rahisi sana. Naamini watalegeza sera zao za uhamiaji.
Wewe tu na nauli yako.
Sent using iphone pro max
South Africa ni mahali pa kwenda?? Ukikutwa na dogodogo, au sabb yyte isiyo na mashiko unanyunyizwa petrol na kupigwa kiberiti fasta!!Waambie unaenda kutembea south Africa au nchi yoyote ambayo haiitaji visa plus hotel bookings!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji Visa ya Canada, nafanyaje mkuu?Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Visa ya Canada napata?Kuhusu visa