Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Group la whasapp tunasaidiana kwa kupeaana habari na taarifa mbalimbali zitakazotusaidia kuweza kufanikiwa kupata na hatimaye kufanya kazi nje ya nchi, tazama pale inavyopendeza kijana anayeishi nje ya nchi miaka na miaka hata kama ni michache ambaye ameshapata exposure ya kutosha akimsaidia kijana aliye nchini anayehitaji kupata exposure hio kuliko kua na akili mgando kwamba maisha ni hapa hapa nchini.

Group la whasapp lipo, karibu Pm kama una mlengo sawa na niliyoandika hapo juu nikupatie. Sababu ya kufanya hivi ni kuzuia watu wasio na maana wanaoingia tu kwa sababu zao zingine, link is supposed to be shared na watu trusted na sio kuweka ovyo kila mtu aingie tu.

Pia nakukaribisha wewe ambaye una exposure ya nje ya nchi au uko nje ya nchi, unaweza kua msaada sana kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao

HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.

dah..pole sana Mkuu., ONE DAY YES..
UMEANDIKA KWA HISIA SANA
 
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Mkuu vipi kwa mwanafunzi anayehitaji kwenda ulaya kusoma na anataka kujilipua afanyaje ili iwe rahisi kwake hasa kwa nchi kama Hispania
 
Inawezekana mkuu as kweny kujilipua njia yoyote inatumika ni kama vita tuu huchagui silaha...cha kufanya kwanza upate admission ya chuo then uombe student visa na student visa ni moja ya visa ambayo success rate yake ni kubwa tofaut na visa nyingne
 
Naomba kujua baadhi ya hizo njia mkuu ili nijipange mapema
 
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Nahitaji Visa ya Canada, nafanyaje mkuu?
 
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Visa ya Canada napata?
 
Back
Top Bottom