Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu thread yako ni nzuri sana ila shida ipo katika mamo kadhaa:-
1.Jisi gai aweza kupata sponsor kwa kila nchi mfano USA, UK ,SA , Canada,Demark etc
2.Niandae fedha kiasi gani kama auli ya kuweza kufika mojawapo ya nchi hizo?
3.Je balozi wa nchi hizo walioko hapa nchini kwetu na yule wa kwetu aliyeko nchi husika waawezanipa financial support?
4.Ni shuguli zipi za mikono na za akili ambazo mtanzania unaweza kwenda ukaajiriwa huko?
 
Jamani kuna Agent ame jitangaza ktk group fulani huko Cape town SA jamaa yangu ame nipa hii connection km vp walio serious tumtathini huyu Agent. Sa'bu naona humu watu hawatoi taarifa zilizo nyooka,na Tz tulivyo wachoyo wa connection.
Waliopo ktk hilo group hii information watakua wana ijua 👇

Kwa mahitaji ya Visa zenye uhakika kwa nchi kama
Canada🇨🇦
United states of America 🇺🇸
Schengen countries 🇩🇪🇸🇪🇳🇴🇮🇸 all countries guaranteed✈️
Inbox or call: 0622006139
 
Thanks alot mkuu, barikiwa!
 
Daahh so ukapoteza hiyo opportunity ??
 
Jamni wekeni namba group lishaundwa tayari..ili group la uzi maoni ushauri na mambo mengine ili tufanye mambo kwa wakati naata kupeana document za hpa na pale..tufanye hvyo jmni muda wa maneno akuna jmni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya siyo fresh kutuma na kuexpose number za simu humu kama vipi post hiyo link hapa kila mtu ajoin anayetaka
 
Tusaidiane aisee mwenye link ya group la telegram au WhatsApp atume humu tushare experience mazee mbongo kunanuka njaa tupu sasa hivi , Hali si Hali
 
Lingeundwa group la telegram alaf inatumwa link hapa kila mtu ajiunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…