George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaah!Thread ya 'connection' uchwara, mixa michongo hewa!
Bongo miyeyusho tu. Full fix.
-Kaveli-
Na utapeli juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaah!Thread ya 'connection' uchwara, mixa michongo hewa!
Bongo miyeyusho tu. Full fix.
-Kaveli-
Ulifanikiwa kupitia humu?Ahahaaaah!
Na utapeli juu.
Kwa kiasi kikubwa nilifanikiwa kupitia humu, kipindi uzi ukiwa wa "moto".Ulifanikiwa kupitia humu?
Kwa sasa uko wapi ?Kwa kiasi kikubwa nilifanikiwa kupitia humu, kipindi uzi ukiwa wa "moto".
Kwa sasa uko wapi ?
Kila la heri mkuu unaelekea wapi?Nimetumiwa Medical Request Checkup
Je bado unaendeleza harakati za kusepa na umefikia wapi mkuu,
Nimefuatilia mwanzo mwisho...imenisikitisha sana!
Nilishaachana na Mpango huo.
Napambana kutafuta pesa ya mkate hapa hapa bongo.
Huko ughaibuni tuwaachie wenye uwezo wa kwenda.
-Kaveli-
Ila natamani nikupe process vzuri kwakua naona upo vema sana kwenye english na kujieleza
Sema sijafanikiwa, naweza sema nipo 50%, kila kitu nimefanya mwenyewe.
Ni CANADA, niliomba kusoma Collage(Diploma)
Nikifanikiwa nitakua na uhakika wa njia hii kwa maana hata gharama no ndogo
Mimi kutokana na masuala ya visa kwanchi za ulaya /Marekani..
Nimeona ni bora kuzi target hizi za asia kwanza kusaka michongo japo bado sina connection ya uhakika ndiyo na fetch infos...
Qatar
UAE - Dubai
Singapore
Penye nia pana njia.
-Kaveli-
mkuu ulipataje,na ni kozi gani ambayo inatolewa kwa muda wa miaka 2?
mkuu ulipataje,na ni kozi gani ambayo inatolewa kwa muda wa miaka 2?
Na je ukienda kwa gia ya kusoma utakuwa unapata nafasi ya kufanya kazi za kulipwa mshahara?
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Uwezo unao, ughaibuni utaenda vacation.Nilishaachana na Mpango huo.
Napambana kutafuta pesa ya mkate hapa hapa bongo.
Huko ughaibuni tuwaachie wenye uwezo wa kwenda.
-Kaveli-
Sema kwa sisi watu wenye majukumu hii option bado ni ngumu sana,inawezekana kwa vijana ambao bado hawajaanza majukumu.Kozi zipo kwa vyuo vingi tu ila ada zinalingana kwa Msc na Diploma
Kwa nilivofatilia sana
Canada wao wanakupa Work permit ya miaka 3 baada ya kumaliza chuo then baada ya hapo unaweza kurudi au kuomba PR
Sema kwa sisi watu wenye majukumu hii option bado ni ngumu sana,inawezekana kwa vijana ambao bado hawajaanza majukumu.
Imagine kwa hiyo miaka 2 wakati unasoma watoto wataishi vipi
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
ooh hiyo safi,kwa hiyo sponsorship kwa level ya bachelor haiko?na je ili kupata sponsorship kuna vigezo gani wanahitajiBoss Canada wanaruhusu kufanya kazi masaa 20 kwa wiki kwa mwanafunzi na full time kipindi cha likizo
kima cha chini ni $12 kwa saa
ooh hiyo safi,kwa hiyo sponsorship kwa level ya bachelor haiko?na je ili kupata sponsorship kuna vigezo gani wanahitaji
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
wewe unajigharamia mwenyewe mkuu?Daah boss sijui lolote kwa swala la scholarship maana mimi sijatumia hiyo