Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nilishaachana na Mpango huo.

Napambana kutafuta pesa ya mkate hapa hapa bongo.

Huko ughaibuni tuwaachie wenye uwezo wa kwenda.

-Kaveli-

Ila natamani nikupe process vzuri kwakua naona upo vema sana kwenye english na kujieleza

Sema sijafanikiwa, naweza sema nipo 50%, kila kitu nimefanya mwenyewe.

Ni CANADA, niliomba kusoma Collage(Diploma)

Nikifanikiwa nitakua na uhakika wa njia hii kwa maana hata gharama no ndogo
 
Shukrani mkuu. Ukifanikiwa kwa 100%, usisite kushare nasi. cheers...

-Kaveli-
 
Mimi kutokana na masuala ya visa kwanchi za ulaya /Marekani..
Nimeona ni bora kuzi target hizi za asia kwanza kusaka michongo japo bado sina connection ya uhakika ndiyo na fetch infos...

Qatar
UAE - Dubai
Singapore

Penye nia pana njia.

-Kaveli-
 
Screenshot_20210630-111904_Samsung Internet.jpg

Canada wamenipa Visa ya Kusoma kwa miaka 2

kaveli
 
mkuu ulipataje,na ni kozi gani ambayo inatolewa kwa muda wa miaka 2?
Na je ukienda kwa gia ya kusoma utakuwa unapata nafasi ya kufanya kazi za kulipwa mshahara?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Kozi zipo kwa vyuo vingi tu ila ada zinalingana kwa Msc na Diploma

Kwa nilivofatilia sana

Canada wao wanakupa Work permit ya miaka 3 baada ya kumaliza chuo then baada ya hapo unaweza kurudi au kuomba PR
 
Sema kwa sisi watu wenye majukumu hii option bado ni ngumu sana,inawezekana kwa vijana ambao bado hawajaanza majukumu.
Imagine kwa hiyo miaka 2 wakati unasoma watoto wataishi vipi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sema kwa sisi watu wenye majukumu hii option bado ni ngumu sana,inawezekana kwa vijana ambao bado hawajaanza majukumu.
Imagine kwa hiyo miaka 2 wakati unasoma watoto wataishi vipi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Boss Canada wanaruhusu kufanya kazi masaa 20 kwa wiki kwa mwanafunzi na full time kipindi cha likizo

kima cha chini ni $12 kwa saa
 
Back
Top Bottom