Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mababu zetu ndiyo wametuharibia nchi, kujaza mizindiko isiyo na kichwa wala miguu.
Nikweli mkuu ila wewe unafanya kazi nje na class mate niki kuuliza ulipataje fursa ya kazi au kuna fursa gani huko unasema oooh nahangaika tu na maisha wakati money rate ya bongo na huko tofaouti zaidi ya tsh 1 kwa 5000, na ktk profile picture za whatsap una post magari
 
Mkuu leo ndio nime thibitisha hili baada ya kupiga story na class mate Wangu, yupo uarabuni ana certificate tu ya biashara ya bongo ila ana fanya kazi huko , nilipo muuliza fursa za huko jibu alonipa , ata hamu ya mazungumzo ikaisha hapo hapo, ni bora mtu akae na information zake kuliko kukupa wewe
Usilalamike sana sio kila mtu yupo open kuelezea mambo yake/mishe zake mkuu binadamu wanatofautiana ..

Nia na madhumuni yako kuapata hizo infos haswa ni nini?
 
Mkuu,fafanua kidogo hapa please!
 
Usilalamike sana sio kila mtu yupo open kuelezea mambo yake/mishe zake mkuu binadamu wanatofautiana ..

Nia na madhumuni yako kuapata hizo infos haswa ni nini?
Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
 
Nikweli mkuu ila wewe unafanya kazi nje na class mate niki kuuliza ulipataje fursa ya kazi au kuna fursa gani huko unasema oooh nahangaika tu na maisha wakati money rate ya bongo na huko tofaouti zaidi ya tsh 1 kwa 5000, na ktk profile picture za whatsap una post magari
Alafu walizindika vibaya, yaani walizindika nchi na vilivyomo km watu, wanyama, ndege etc
 
Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
Aalikujibu vipi?
 
Mkuu hiyo usiwaze si binadamu wote wako fair kumpa njia mwenzake afanikiwe ni wachache sana wenye hiyo sacrifice.
Lakini kingine pia inategemea huyo classmate wako mliishi naye vipi na mnaaminiana vipi.
Wako baadhi ya watu pia wakisaidiwa baadae hugeuka na kuwa masnitch.
Kwa mfano unakuta kuna mtu mwingine yuko nje ya nchi lakini kuna dili za ujanja ujanja anazipiga ili kutoboa sasa anaogopa akiziweka wazi unaweza baadae ukawasanua watu dili zake zikabuma.
Kwa hiyo unapokuwa unasaka details kwa mtu fulani ukazikosa usimaind tafuta alternative way ya kupata hizo information.
Penye nia pana njia.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
anayetaka fursa ya kwenda south korea via study visa kuanzia diploma, degree au phd anichek
 
Weka mchoro tuone inakuwaje ...
Tuition Fee $ 2,500
Application Fee $ 100
Flight $ 800 (one way)
Poket Money $ 1,000
Visa application fee $ 80
Certificate Verificatio )Foreign Affairs Tsh.20,000 @
Korea Embassy $ 4 @ Certificate
Agency Cost $ 700
Other cost $ 200
cost for degree and masters
 
Canada
Application fee $75
Tuition fee $12,000 per year
Visa Application fee $150
Biometric fee $85
Medical check up Tshs 400,000
Tuition deposit $1,000 Non Refundable
Ticket cost $1,800
Insuarance $1,000

Msc or Diploma
 
Ndugu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.

Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.

Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.

Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.

Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.

Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.

FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo.

Kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.

2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.

CHANGAMOTO
1. Changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)

2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu, sio zote.

USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.

Jinsi gani utaenda namna ni nyingi. Naorodhesha baadhi hapo chini.
1. Kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo.

2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.

3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali.

4. kwenda kwa shughuli za utamaduni

Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake.

Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.

Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele. Karibuni tusaidiane tujenge taifa letu. Tuwasaidie vijana wakasake fursa.

Kama unaenda kwa kufuata utaratibu bas kila la kheri kama unaenda kupitia magendo au uhamiaji haramu

Bas

Jiandae kutufungulia uzi mwingine wa SITOSAHAU!!
 
Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
Mkuu usiwaze Sana hayo Mambo yapogo Sana ..Kama wewe unataka kuja nnje basi pambana tu kwa namna yako unavyojua wewe ..sisi wengine tulitapeliwa lakini hatukukata tamaa tulipambana Hadi Sasa tupo hapa tulipo, ivyo wewe pigania maisha yako ..huku arabuni pesa ipo Tena Kama siyo mvivu na mtu wa Bata basi utajenga nyumba hapo bongo hata tatu kwa mwaka.
 
Safi mkuu
 
Back
Top Bottom