Tupo CA trying to settle in na hii covidOya wakuu mbona mmekuwa kimya Sana humu mpaka mnaboa wazee
Ulijuaje mkuu!Back in the day... tujikumbushe.
The guy, possibly, was trying to collect many essays from different writers so that he can apply himself.
In other words, the so called 'connection provider' for applicants, was an applicant too to the same scholarship. [emoji23]
Maisha ujanja ujanja!
-Kaveli-
Mzee watu wote walikuaga wanaombea ufanikiwe leo hii umesahau?Hii siredi bado ipogo?
Humu kumejaa 'Connections' za kibabaishaji na ukanjanja tupu!
Buyer Be Aware!!!
-Kaveli-
Daa jamaa nikajuaga yuko 'front' huko as per his experience in contribution na uelewa wake wa kuhusu nje na fursa. Alikuaga na lengo la kuunganisha watu pia nakumbuka ila wadau wapo waliokua wanakatishana tamaa na kukosoa wakimuua kinoma. Mwishoni ikaisha connections zote.Back in the day... tujikumbushe.
The guy, possibly, was trying to collect many essays from different writers so that he can apply himself.
In other words, the so called 'connection provider' for applicants, was an applicant too to the same scholarship. 😂
Maisha ujanja ujanja!
-Kaveli-
Mzee watu wote walikuaga wanaombea ufanikiwe leo hii umesahau?
Na ukapata jamaa yule yuko USA.
Vipi, ushaendaga huko Mambele?
Daa jamaa nikajuaga yuko 'front' huko as per his experience in contribution na uelewa wake wa kuhusu nje na fursa. Alikuaga na lengo la kuunganisha watu pia nakumbuka ila wadau wapo waliokua wanakatishana tamaa na kukosoa wakimuua kinoma. Mwishoni ikaisha connections zote.
Uzi ulinoga sana.
Ila mzee kavelli, unauelewa mzuri mzee baba na unajiamini na kuamini unachoamini. Uko vizuri, na mtafutaye hachoki. Njia za kwenda ni nyingi mno ila nilichogundua ukiwa na pesa asilimia za kufanikiwa kwenda nje ni kubwa mno kuliko njia zingine hizi. hata ukipata mchongo kama ambavyo hapa mjini dsm wengi walivyosepa na wanavyosepa kwenda nje, bado utahitaji pesa kadhaaa kwa hatua husika.
Kutokata tamaa tu.
Aluta continua comrade
Hii namba ni ya nchi gani??maana haina code ya nchiJamani kuna Agent ame jitangaza ktk group fulani huko Cape town SA jamaa yangu ame nipa hii connection km vp walio serious tumtathini huyu Agent. Sa'bu naona humu watu hawatoi taarifa zilizo nyooka,na Tz tulivyo wachoyo wa connection.
Waliopo ktk hilo group hii information watakua wana ijua [emoji116]
Kwa mahitaji ya Visa zenye uhakika kwa nchi kama
Canada[emoji1063]
United states of America [emoji631]
Schengen countries [emoji629][emoji1236][emoji1189][emoji1127] all countries guaranteed[emoji3575]
Inbox or call: 0622006139
Mleta mada alikuwa na lengo zuri sana bahati mbaya kuna watu waliuvamia huu uzi, mmoja wapo ni yule aliyekupa mchongo wa Scholarship, by the way haya mambo yapo sana kwenye travel threads hata ukiwa nairaland, read between the lines, ndani ya thread lazima ukute wawindaji, akili kichwani. Muhimu ni kujipanga hakuna mtu atakupa safari hata siku moja, utapata abc the rest ni kujipangaHumu hapakuwa na 'connection' wala dada yake na connection. Just michosho na miyeyusho!
This thread was put on board kwa malengo fulani fulani. Akili kumkichwa!
Though, kwa angle nyingine, the thread sounds informative for risk-takers, global goers, and the like-minded.
Thanks mkuu for following-up my case from the scratch until end of the movie. cheers...
-Kaveli-
Mkuu Sina uhakika maan ilkuwa Ni December now Ni February ...
Nakubaliana na wewe Usa kuna pesa ila wabongo wameshakariri canada huwambii kituCanada pamekuwa pagumu nako karatasi hazitoki kirahisi,kwa uzoefu wangu America pamoja karatasi kupata ni ngumu pesa ipo,canada Kodi kibao
Popo wengi wamecross border kutoka USA wameshaanza kuharibuCanada pamekuwa pagumu nako karatasi hazitoki kirahisi,kwa uzoefu wangu America pamoja karatasi kupata ni ngumu pesa ipo,canada Kodi kibao
Nakubaliana na wewe Usa kuna pesa ila wabongo wameshakariri canada huwambii kitu
Kivipi mkuu?Thread ya 'connection' uchwara, mixa michongo hewa!
Bongo miyeyusho tu. Full fix.
-Kaveli-
Je bado unaendeleza harakati za kusepa na umefikia wapi mkuu,Thread ya 'connection' uchwara, mixa michongo hewa!
Bongo miyeyusho tu. Full fix.
-Kaveli-