Bwana Kilimo
Member
- Dec 26, 2016
- 12
- 12
Kati ya hizo sehemu tatu ulizotaja, ikitokea kuchagua; Australia is the best! Wishing you all the best.Mkuu, mwaka huu nimeomba scholarship kwenda kusoma Australia, China na UK
Niombeeni nifanikiwe ,nijilipue huko, nafanya kaxi ila haina maslahi na wategemezi lukuki, bora nitokomee huko kwanza
Hii ndio shida yetu wabongo!Mkuu, mpaka muda huu naisi kuwa sina Bahati ya kwenda Ulaya, nikamilika kila kitu tatizo Barua ya mualiko tu nashindwa kupata , mabest zangu ambao wa Ulaya kila ukimwambia anakuzungusha tu, mwisho unakata tamaa.
mkuu kama utaweza kunisaidia Naomba unifuate PM tuongee vizuri sawa.
HahahaaaaaaHahahaha umenichekesha hapo kwa kibibi...
Mkuu ingependeza ukitueleza mchakato mzima wa safari yako na ulipo leo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishajitambulisha sana binamu ila wengi wakawa hawaelewi kabisa kuhusu Tz wanajua wakenya,wasouth na wanaigeria ,so nikaona sio issue ,maaana wengi walikua wananiuliza are you from kenya,najibu yes,lol
Mpaka nikawa naji feel inferior sometimes but ilinibid niikane nchi yangu tu kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anaweza tuma toka nchi yoyote ile??? Tafadhali mkuu, Nipunguzie kazi ya kwenda google kwa kuniambia zaidi!!Worldremit.... Inaingia direct kwa tigopesa au Mpesa ukipenda.... Na ni cheap mno
Wewe upo nchi gani? Worldremit imetapakaa kwingi sana.... Ndio agent anaemuua Western union kwa sasa... Hela ambayo WU wangekuchaji dola 100 wao ni dola 10 tuu.Mtu anaweza tuma toka nchi yoyote ile??? Tafadhali mkuu, Nipunguzie kazi ya kwenda google kwa kuniambia zaidi!!
Kwahyo mkuu nikifika majuu naweza kuhamisha mkwanja kutoka akaunti yangu ya NMB kwenda akaunti ya nchi niliyoenda?MoneyGram na western Union ndo zipo common sana. Ila Dunia imekuwa rahisi in term of technology. unaweza fanya bank transfer kwa kuhamisha fedha kutoka A/C moja let say A kwenda B in foreign country..
Bado nipo Tanzania mkuu ila nna mpango wa kwenda kufanya kazi AustraliaWewe upo nchi gani? Worldremit imetapakaa kwingi sana.... Ndio agent anaemuua Western union kwa sasa... Hela ambayo WU wangekuchaji dola 100 wao ni dola 10 tuu.
Kwa nini Australia na siyo UK mkuu?Kati ya hizo sehemu tatu ulizotaja, ikitokea kuchagua; Australia is the best! Wishing you all the best.
Nikipata UK nataenda ila kwa sasa ama aiming for Australia. Napapenda tuKwa nini Australia na siyo UK mkuu?
Duh nimekupenda bure aisee,,,ukitaka kwenda niambie twende wote tukafie hukoBinafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
UK utalala kwenye nje kwenye mabox wewe kule maisha magumu sana pesa hakuna,vibarua hakuna kazi za box mpaka upitie kwa dalali hata kama unaenda kusoma inabidi uwe upo fresh sana kwenye swala la pesa.Nikipata UK nataenda ila kwa sasa ama aiming for Australia. Napapenda tu