Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nini kimemfanya huyo raia wa italy akose kazi Sweden?

CC: Jimena
 

Mzeee haya bana lkn mimi nchi zote hizo unazozitaja kasoro hispania tu mie nimeishi najua kuliko wewe unaopewa story.ni sawaswa na tanzania bara na zanzibar watu wa mataifa mengine hawajui kama ukinunua Tv Zanzibar kuleta dar unalipa ushuru wkt ni nchi moja,kila nchi inaweka maslahi yake mbele mzee,sawa utafika hizo nchi za ulaya utaongea lugha gani?nimekuuliza unachujua proces ya kupata personal number ulaya?maana bila hiyo kitu ulaya kote huwezi fanya kazi je unajua vingezo vya kuipata?mzee naijua ulaya vizuri saana maana nimesota saana Europe kabla sijatoboa sio rahisi kama watu wanavyofikilia
 
 
365 PE ni kuzuri pia kwa shughuri ingawaje mzunguko wa fedha upo chini hata vitu bei sio kubwa pale kama magari used,mashine na matrekta pana umbali mrefu tuu kutokea Jozi ni rahisi kufanya shughuli ya kilimo Tanzania maana ardhi ipo tuu kule ni ishu Ardhi ni ya watu kwa asilimia kubwa serikali haikugawii Ardhi kama huku ukiwa na vifaa unaweza kuomba eneo ulime na ukapewa au kununua...
 
Wanakuambia lete mkataba sasa mkataba utaotoaa wapi wakati Sheria zimebadikika mwajiri akupi mkataba mpk uwe na registration number toka tax agency,tax agency nao hawakupi number mpk uwape contract umenielewa hapo?
Hivi raia wa italy hawezi sajiliwa Sweden kama mkaazi as ni EU citizen? Mkuu hivi Sweden unayoongelea ni hii tunayoijua sisi au ipi? Upo Sweden kweli au unasimuliwa?
 
Daktari. Adam faida kuna sehemu nilikusoma kuwa utakua na Tsh 10 million nakushauri kwa nini usifanye mchakato wa kwenda Australia na hiyo pesa mbona ni nyingi na kwa fani yako kule unatoboa kuliko kwenda tena Botswana au sijakusoma vizuri na huko ni Rahisi tuu kwenda pia
 
Sorry mzee nasimuliwa tu na mshikaji wangu yuko huko
 
Hivi raia wa italy hawezi sajiliwa Sweden kama mkaazi as ni EU citizen? Mkuu hivi Sweden unayoongelea ni hii tunayoijua sisi au ipi? Upo Sweden kweli au unasimuliwa?

Nasimuliwa tu mzee na mshikaji wangu yuko huko
 
bila kumkatisha tamaa,hawezi kwenda Australia kirahisi hivyo hasa kwa pesa hio maana nauli ni zaidi ya $1200 tena inategemea na season mpaka huko.

Australia wamekaza sana kuhusu kujiripua.
Anaweza kwa njia kwenda kusoma kwa kupata scholarship, maana kwenda kujisomesha pesa ndogo hio.
 
afebris shida bongo mnajibana na kusema hiki kitu hakiwezekani kwa kuwa taarifa hamna mimi kuna bwana mdogo nikitaka contact zake ntapata hajasoma aliishia form four tuu akikuja SA akipopata nauli karudi Tanzania akafanikisha mambo ya Visa nakumbuka Ticket alikatiwa SA airways kutokea Tanzania akaenda SA then huko ukiwa Tanzania vitu vingi ni vigumu na haviwezekani ila ukitoka utajua nachokisema..niwe na 10million nishindwe kwenda Australia duu
 
Hakuna wakati nimejisikia mwito wa kujilipua katika maisha yangu kama sasa tangu nipate akili,hawamu hii inanipa mawazo ya kujilipua kuliko wakati mwingine wowote,tatizo ninamwenzangu tayari,tunakoenda tunaweza kuwa kama zimbabwe ingawa hatuombei hayo yatufike,roho inaniuma sana.
 
Jamani naendelea kuomba kuhusu yeyoye anayejua nataka nikasome south africa muongozo wenu tafadhari anaejua anisaidie
 
Kwenye nyekundu hapo, ushapata admission tayari sasa wizarani ulifuata nini mkuu? Fafanua kidogo hapo.
Wizara ni agent wa scholarahip za nchi nyingi na baadhi ya mashirika. Ukimaliza kufanya online application wanakutaka uprint form zako na baadhi ya docs uzipeleke wizarani. Pale wanafanya nomination. Jamaa wakimaliza mchujo wao huko wanakujulisha kuwa umepita awamu hiyo au umekwama. Kama umepita wanakutaarifu hatua inayofuata. Mara nyingi watu wanakwama hapo hatua ya nomination kutoka waizara yetu pendwa inayolea vilaza
 
Mi lifikiria kwenda ila sijui nifanyeje na nianzie wap elimu form four naomba ushauri nifanyeje
 
Kweli jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…