Kwanza kbla cjaja anza kwanza na hyo nimesoma baadhi ya comment zikisema Malta hawana Ubalozi Tanzania ni kweli Malta wana balozi 6 tu ndani ya Africa ya karbu iko South Africa bt msiwe na shaka ndugu zangu kama tumeamua kusaidiana kupeana njia inabidi kusaidiane kweli ok kwanza someni hyo doc kwanza then ntakuja na ramani kabisaa View attachment 477522View attachment 477522NDIO NATAFUTA jinsi gani niondoke huku bado tunapambana, ma agents bongo hamna
We we uko wapi? Nenda Ofisi za Uhamiaji waambie unataka Fomu za Passport nadhani ni Elf 10 then unafatà maelekezo Majibu ya maswali mengine ili uwashawishi wakupe Pass...unatakiwa ujiongezeAsante nawasanganye maana mi nataka niimilik tuu muda wowote najilipua..na sijui gharama zake
Official elf 50Mkuu fungu kiasi gani..
Ulifanya mtihani wa English proficiency tests kaka ama umedahiliwa bila hiyo?Nipo hapahapa bongo bado nifight. Haya mambo yalinicost kuweka wazi kwa hr na mabosi wangu, unajua mtu mwingine akiona hata admission tu anakuona bonge la mtu na anawaza huyu jamaa akifanikiwa kutoka akirudi sina changu, mwanangu ilinisumbua sana.
Ndio nikaona nifanye ishuzangu kwa kificho siku likitiki nasanuka mazima.
Lakini pia kuna kitu kingine, nilikazania sana kutafuta nafasi za kwenda kusoma uk or usa. Na huko kupata scholarship ni mbinde kwani watu ni wengi sana wanaoomba na competition ni kubwa sana, ukichanganya na zengwe la wizara ya elimu ndio kabisa hutoboi labda uwe mtoto wakishua.
Nimebadili mbinu kufukuzia nafasi kwa nchi za Scandinavia na vinchi vingine vidogo. Kumbuka wadau wameshaliongelea sana hili lakutokea nchi ndogo kama unataka kwenda mbele huko.
Numepata admission University of Twente, Netherlands. Nasubiria maamuzi ya scholarship za WB/JJ.
Pambana mkuu
Ahsante mkuu nilikua nawaza nikuite ktk uzi huu.... Karibu sana...Danya karibu uulize swali kuhusu kwa madiba.nakujibu kwa ufupi.kuhusu vyuo vimejaa kibao.university mpaka hivi vicollege ni wewe na pesa yako tu.kama ni university ni vyema uombe permit pale masaki ubalozi wa south africa hawana shida.pia jua kua huku ni gharama.vyumba bei rahisi au location ni kuanzia rand 800 kuendelea.student accomodation is super expensive yani utakuta hostel ni 1600 rands kwa mwez coz huku ni kodi kwa mwez hakuna vya miez sita hiyo ndo the cheapest one.so jipange sana,excuse mwandiko wangu
Kwanza kbla cjaja anza kwanza na hyo nimesoma baadhi ya comment zikisema Malta hawana Ubalozi Tanzania ni kweli Malta wana balozi 6 tu ndani ya Africa ya karbu iko South Africa bt msiwe na shaka ndugu zangu kama tumeamua kusaidiana kupeana njia inabidi kusaidiane kweli ok kwanza someni hyo doc kwanza then ntakuja na ramani kabisaa View attachment 477522View attachment 477522
Daby
ThanksKwanza kbla cjaja anza kwanza na hyo nimesoma baadhi ya comment zikisema Malta hawana Ubalozi Tanzania ni kweli Malta wana balozi 6 tu ndani ya Africa ya karbu iko South Africa bt msiwe na shaka ndugu zangu kama tumeamua kusaidiana kupeana njia inabidi kusaidiane kweli ok kwanza someni hyo doc kwanza then ntakuja na ramani kabisaa View attachment 477522View attachment 477522
Daby
Thanks mkuuNdugu zangu Watanganyika mm nawambia nchi za Ulaya kila sehemu wamebana kuhusu wahamiaji hata zile ndoa zetu za usanii ni ngumu sana na hii inatokana na kuwa Raia wenyewe hawataki wageni tofauti na zamani ambavyo serikali ndio ilikuwa inakataa wageni wa magendo sasa inapofikia raia wenyewe hawataki wageni linakuwa ni tatizo kwa raia ndio wakukuficha dhidi ya serikali
Nakumbuka mwaka jana nilikuwa airport nchi flani nikakutana na mtu mmoja tukawa tunapiga story za hapa na pale si unajua wasafiri wakati tunapiga story kwenye TV wakawa wanaonyesha wahamiaji wale wa kutoka Libya kwenda Italy jamaa akanambia dah wanahatarisha maisha sana waafrica nikawambia na mm ni mwafrica kwani watu weusi wengi wa Ulaya au US ktendo cha kuitwa wanaasili ya Africa kwao wanaona kama ni kashifa wanataka waitwe blacks tu wanataka watambulike kwa race si Asili kitu ambacho kinatufanya watu weusi tuonekane tunamatatizo makubwa sana ya akili na ufahamu nimetembea sana nimekutana na watu wengi sana Ukmkuta mchina hata kama China hajawai fika anapenda kwanza atambulike kwa Asili yake kwanza watu wote weupe wanapenda kutambulika na Asili zao kwanza mm nawapenda sana wazanzibar wanajitambulisha kwa Asili zao mfano popote alipo mzanzibar anapenda atambulike kama Mzanzibar japo duniani hakuna nchi inayoitwa Zanzibar kuna Tanzania
Sasa katika mazungumzo yetu na yule dada tulitekutana nae Airport akanambia mm nimetokea Malta ni mfanyakazi wa serikalini akanionyesha passport yake ilikuwa ni Diplomatic pass kwa wenzetu weupe kupata Dip pass si kitu rahisi kama kwetu tu so akanambia kuhusu Malta kwamba wao ndio wenye Sheria rahisi sana kuliko nchi zote za ulaya na ukikaa Malta mwaka mmoja ukiomba uraia si RP wanakupa hasa kwa nchi zilizotawaliwa na waingereza nikashangaa sana akanambia hii ndio njia nyepesi ya Kuingia Ulaya na pia ndani ya kisiwa cha Malta wanataka sana wafanyakazi kutoka nchi zilizokuwa koloni la Uingereza nchi ina watu wachache sana so nguvu kazi ni ndogo sana Malta ina watu laki 4 na nusu tu sasa wanaitaji sana watu sasa njia hii ambayo watu wengi hawaijui kwani ni siri na watu wakijua wataingia kwa wingi na madhumuni yao yatakuwa ni kuingia ulaya baada ya kupata uraia na hii itapelekea Umoja wa Ulaya watawazingua so tukapiga story nying tu
Siku zote wanasema aiwezekani kwenda jela bila ya kupitia mahabusu kwanza mahabusu ni kama katikati ya Uraiani na jela so watu wengi wanataka kwenda Ulaya lakini Mm ningependekeza kabla ya kwenda Ulaya ni vizuri ukapitia nchi yeyote wanayoishi watu wa jamii ya Ulaya ili kupata uzoefu wa kuishi Ulaya moja wapo ni Malta
Faida ya Malta kwanza wanaongea kingereza na Lugha yao jeshini hawaamini ktk namba 3 Uraiani namba 3 ni kama namba ya kuruhusu kufanyika kwa kitu na namba tatu imekuwa namba kipenzi kwa Raia lakini namba tatu ni adui kwa watu au vyombo vya usalama na ulinzi kwa nini nimetumia mfano wa namba tatu kwanza ni ngumu sana kwa Ulaya kupata kazi bila kujua Lugha vizuri ya mwenyeji wenzetu kingereza ukijua au kuto kujua hakiwezi kukuletea mafanikio au kukupunguzia kitu kuanzia maendeleo au kijamii
Sasa unapokwenda nchi ambazo hawaongei kingereza inakuwa ni ngumu sana kumbuka nchi zote zinazoongea kingereza zina sheria kali ya uhamiaji kwa vile wahamiaji wamejaa kwani robo tatu ya dunia wanajifunza au kuongea kingereza na target yao ni kwenda nchi zinazoongea kingereza mfano UK,US ,Canada,Australia ,NZ ni nchi ambazo zimejaa wahamiaji na kufanya hata ajira kuwa ni ngumu sana kwa watu wanaokwenda huko
Tanganyika wanaojua kingereza vizuri ni wachache sana so unataji kwenda kwenye nchi inayoongea kingereza kwanza ukijue vizuri then ndio unahamia nchi ambayo hawaongei kingereza ndio maana nikasema Malta kwni kutafasiri Lugha kwa njia tatu ni Tatizo kwani ukienda Ujerumani kwanza utakitoa kijerumani kukiwekwa kwa kiswahili then ukipeleke kingereza kwanza utajikuta unapoteza maana ya neno husika kwanza ni vyepesi sana kutafasiri Lugha yeyote kutoka kwenye kingereza lakini ukishazidisha Lugha ya tatu ni Tatizo Ukiwa Malta mwaka mmoja utakijua kingereza na kiswahili kitaondoka kwa vile hakuna mtu wa kuongea nae so kingereza ndio kitachukua nafasi ya Kiswahili ktk ubongo wako so kutoa kingereza kwenda Lugha unayotaka ni vyepesi tu kwanza pale Malta wanafundisha Lugha za mataifa mengine so unaweza kuanza kusoma hapo hapo kabla ujaenda kwenye nchi husika
Kwa nini nimechagua Jeshi kwanza ndio njia nyepesi ya kupata uraia nchi nying kupata uraia ni lazima ufanye mtihani ambao unatakiwa upate 70% kwenda juu wengi wanafeli sana mtihani huu lakini ukipitia Jeshini hufanyi mtihani huu ww unapata tu uraia kama ukitaka pia jeshini kwa huku Unasoma chochote gharama ni za jeshi kumbuka wazungu hawaamini Elimu ya Africa so kama umesoma shahada yako utaongezea masters kama ujasoma utatafuta cha kusoma kwani mkataba ni miaka mitano mitano
Nchi nying sana za dunia ya kwanza wanachukua Raia kutoka nchi nyingne lazima uwe ni mkazi halali wa nchi hyo yani upate RP kitu ambacho ni kigumu sana kwa wahamiaji wa kutoka nchi masikini vigezo ni vigumu sana lakini kwa raia wa Ulaya na US wanayo haki ya kufanya kazi au kuishi ndani ya nchi yeyote ya Ulaya au US au Canada na Austaralia
hv mnajua Russia wanatoa uraia kwa mtu yeyote anayetaka kuingia jeshini tena kutoka sehemu yeyote duniani? Russia unapata uraia kwanza ndio unaingia jeshini
Pia faida ya Jeshi kwanza unalipwa mshahara so maisha yako yatayatakuwa ni mazuri pia unapata elimu bure pia jeshi ndio taasisi inayoheshimika dunian so kama utamaliza trust me huwezi maliza mtaa kabla ujapata kazi tena kwa fani uliyoisomea kwa sababu ukipita jeshini vyeti vyako vitaonyesha so mzungu akiona ulikuwa jeshini dah unajua wenzetu wana uzalendo sana so utapata kazi na watakuheshimu sana kazini
Yapo mengi ya kuonge bt mwenye swali ushauri au kuhusu nchi yeyote lakini si Africa coz sina uzoefu na nchi za Africa
Note Katika Wajerumani kumi ukimwambia ww umetoka Tanganyika nane watataka wawe rafiki yako wajerumani wanawapenda sana watanganyika ( Tanzania) Sema serikali yetu imeshindwa kutumia fulsa hii lakini kama watakaa chini na wajerumani wakongea vizuri wanaweza kutusaidia sana kuanzia kimasomo kwa vijana wetu kwenda kusoma huko kuliko hata mwingereza mwingereza hana mapenzi na sisi sana kwani anaona sisi si kama koloni lake kivile yeye anamapenzi na Kenya
Kingine ninachowashauri ndugu zangu kama unakuja huku na kufanikiwa kosa kubwa wanalofanya watu kutoka Africa ni kuoa au kuolewa na watu wa huku ni kosa la kiufundi sana kufanya hvyo hii imepelekea watu wengi kukaa miaka mingi bila ya kwenda Africa kwani ni ukweli usiofichika wazungu ni wabinafsi yani swala la ndugu au jamaa kama sisi kwao hakuna so unajikuta unaiga tabia hyo na kujikuta unashindwa kuwekeza kwenu au kuwasaidia ndugu zako wa Africa
Pia hata watoto mtakao wapata nataka kusema ukweli na nimefanya utafiti juu ya hili kuwa watoto ambao mtu mweusi anazaa kwa kuchangaya damu na watu wa jamii nyingine wanakuwa na roho mbaya sana dhidi ya jamii ya watu weusi wanatamani kuonekana wazungu lakini jamii ya wazungu inawakataa wanajikuta njia panda so wanakuja kwa jamii ya watu weusi lakini wanakuwa na chuki kubwa sana kwa watu weusi lawama zao ni kwa mzazi mweusi kuwa bila ya ww mm nisinge tengwa au kutukanwa so watoto hawa kujua au kusaidia ndugu zao waliopo Africa ni ngumu sana ww fanya uchunguzi tu kwani wanajiona wao si waafrica wanajiona ni wazungu lakini jamii ya wazungu inawakataa
Lakini ukioa mtanzania mwenzio kwani hapo lazima kuja nyumbani Africa mtakuja na kitendo cha nyinyi kuja kinawafanya na watoto wenu wajue umuhimu wa ndugu zenu na kuwasaidia kwani kunakuwa na connection kati ya nyinyi na ndugu na watoto kupitia nyinyi
NO PM (chumbani ) kwani siku zote mazungumzo yanafanyikia Sitting room au sehemu ya wazi chumbani(PM) yanafanyika mazungumzo ya wapenzi tu
Dumelang jme Tembo2 impongo kui Tombstone Piledrive Prishaz wembeee pius1021 cognition
Mrike mwandende impelle Chakochangu Agogo Jr
Richard chotera lusungo Sky Eclat Mfikilwa
Hon Nkundwe 365 bigmind MANCNOO
Mkuu mbona hii link haifungukiKwanza kbla cjaja anza kwanza na hyo nimesoma baadhi ya comment zikisema Malta hawana Ubalozi Tanzania ni kweli Malta wana balozi 6 tu ndani ya Africa ya karbu iko South Africa bt msiwe na shaka ndugu zangu kama tumeamua kusaidiana kupeana njia inabidi kusaidiane kweli ok kwanza someni hyo doc kwanza then ntakuja na ramani kabisaa View attachment 477522View attachment 477522
Daby
Mkuu mbona hii link haifunguki
I salute you Mr@izzo !
Ni Kweli mkuu km wapo wajitokeze tujue tunajipanga vipiMimi nachotaka agents anifukishe nchi husika tu, mengine yote juu yangu bado sijapata
Kaka hujui unachokisema mie Nina mshikaji wangu ana uraia wa italy lkn kazi imeshidikana sweden,pia upatikanaji wa kazi hapa ulaya sio kama bongo ujue kwanza hiyo kuna agency ya serikali kila nchi amabyao inashughulika na kukutafutia kazi wewe mkazi wako radhi wakulipe hela hata kama huna kazi wkt wanakutafutia kazi na hata wanaweza kumwambia mwajirj akupe kazi akulipe 20%tu ya mshahara na 80% wanakulipa wao.sasa,kuhusu kutumia euro hiyo sio hoja italy wanatumia euro je mtu amaweza kutoka italy akafanya German?je unajua kila nchi hapa ulaya wana lugha yao?mzee mie niko ulaya huu mwaka 24 kabla ya hapa nimekaa saana German,Italy,Finland na huko kote nilikua natafuta maisha najua sheria za hawa jamaa sikia tu story za vijiwen siku ukifika ndio utajua
Mkuu labda wewe unaweza kumwelewa DUBE maana hata mimi na kuishi kwangu kote Scandinavia nimeshindwa elewa ayasemayo.... Ndo maana nimemuuliza anaishi Sweden au anasimuliwa tuu?Kaka yani hata Kama una nyundo 24 Ulaya inaonyesha haujafunguka kabisa,me nimekuja Ulaya nikiwa dogo sana,siwezi kukwambia kila kitu ndugu yangu,basi jua kitu kimoja kuna wa Italy wanafanya kazi ujeruman na wanaongea kijeruman,pia kuna wajeruman wanafanya kazi france na wanaongea French,na kuna wafaransa wanafanya kazi ujeruman na wanaongea kijeruman,wenzetu wanabebana kutokana na muungano wao wa Ulaya man,angalia history fupi ya Manuel Valls(waziri mkuu wa france)alikuja na familia yake akiwa na uraia wa hispania na wazazi wake walikuwa na uraia wao,wakawa wanafanya kazi france na manuel akasomea hapa mpaka baadaye akapata uraia wa France.Angalia pia waarabu wengi wanapita Italy wanapata uraia na wanaenda france au belgium kufanya kazi bila tatizo kabisa,sasa me nashindwa kukuelewa??sawa kuna agent ya serikali ambayo lazima ujiandikishe hili wakipata offer za kazi wanawasiliana na wewe kutokana na CV yako na wanafanya interview na wewe,wakiona unafaa wanakuunganisha na kampuni iliyotoa offer,na hawa jamaa hawakutafutii kazi bali wewe mwenyewe ndo unatafuta na ukipata unawajulisha hili wakuingize kwenye system yao kwamba unachangia(cotisation) Kama makataba wako ukiisha wanakuwa wanakulipa asilimia kuanzia 80 mpaka 65 kutokana na mshahara na kipindi ulichofanya kazi,nakujibu kuhusu mtu mwenye uraia wa Italy anaweza kufanya kazi ujeruman,yes ndiyo na akawa anakula kama kawaida pesa ya job center Kama hana kazi man,cha muhimu ajiandikishe tu....akiingia kutoka Italy atafute anuani hata kwenye association ambazo zinatoa anuani halafu aanze kufatilia hali zake Kama raia wa umoja wa Ulaya na haja ya kubadilisha kitambulisho,lakin kiukweli sijui kWa nchi za Scandinavia Kama anaweza kufanya kazi,na subiri nikwambia kitu sasa,kWa nchi za ulaya kuna kazi za manispaa wanachukua raia wa nchi yao na yoyote mwenye uraia wa nchi ambazo zipo umoja wa Ulaya,hawa jamaa wanabebana kaka na haya yote nayokwambia siyo stori za kijiweni.
Kwanza kamweneee veyaaaa.....Then asante nimepata kwa kuanza kuulizia swali langu....Je kabla ya kufanya applications kwenye UNIVERSITY ni lazima niendee kwanza Ubalozini au Hakuna ulazimaa.....Then sijui nikufuate PM au maswali yangu yote ni ulizie hapa? Mimi Ghrama sio shida shida ni kupata admission tuuu hayo mengine nitajua!!! Najua applications zinaanza mwezi wa nne! Je nitajuaje matokea ya TZ niliyo nayo yanafaa na kuwa admitted South?Danya karibu uulize swali kuhusu kwa madiba.nakujibu kwa ufupi.kuhusu vyuo vimejaa kibao.university mpaka hivi vicollege ni wewe na pesa yako tu.kama ni university ni vyema uombe permit pale masaki ubalozi wa south africa hawana shida.pia jua kua huku ni gharama.vyumba bei rahisi au location ni kuanzia rand 800 kuendelea.student accomodation is super expensive yani utakuta hostel ni 1600 rands kwa mwez coz huku ni kodi kwa mwez hakuna vya miez sita hiyo ndo the cheapest one.so jipange sana,excuse mwandiko wangu
Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...
kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha wafuatao: BAK kui Isanga family Sky Eclat
Matola MziziMkavu Copenhagen DN Ng'wamapalala Pascal Mayalla Nyani Ngabu rev kishoka Bavaria FaizaFoxy farkhina MfalmewaKiha mwandende Slim5
Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.