Mkuu kwahiyo badala ya namba nne nini kifanyike? Tueleze ndicho tunachohitaji...Wewe njoo ujaribu hiyo number 4 huku UK uone kama hukuishia jela. Wenye nchi yao wameshaamka na wanaujua ujanja huu ndani nje. Siku hizi kuoa huku sio process rahisi kabisa.
Mkuu kwahiyo badala ya namba nne nini kifanyike? Tueleze ndicho tunachohitaji...
Hii ni kwaajili ya wengine si mimi maana kwa umri na nilipofika pananitosha.
Yeah, mkuu. Wanajua mtu ukifika ughaibuni hela uNaokota tu, sasa pale anavyo ona ndiyo sivyo ana amua kuaribu, unarudi kutoka kazini utakuta chumba kimesafishwa. Na ulaya ya sasa tofauti na yazamani, hali ya kiuchumi imebadirika duniani kote, kwa hiyo tunaenda kutafuta maisha, tuwe na negative mind, inaweza kutujenga kisaikolojia, pindipo pale mambo yanapoenda kinyume na matarajio.Yote ya yote wabongo muda mwingine tunawakatisha waliopo mbele kutusaidia. Unakuta unamsaidia mtu mwisho wa siku anakuibia au anafanya mambo ya kishenzi mbele na wewe mwenyeji wake unabakia kulaumiwa . Huu ni upuuzi ni kuwaharibia wengine wanaohitaji misaada kama hiyo. <br /><br />Ila wito wangu. Kwa walio mbele binadamu wanatofautiana. Kosa la mmoja lisiwe la kufanya ushindwe kusaidia kiumbe kingine chenye roho ya ubinadamu kisicho na hatia. Naamini kuna ambao wanasaidiwa na wanafanya vizuri. All in all nikuwa makini tu hasa kwenye kumjua unamsaidia ikiwezekana uwe na baadhi ya docs zake.
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Mkuu ni kweli... Uhamiaji hawatoi passport bila reason.... Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.
ungetafuta mtu akusaidie usikate tamaa mapema... mimi nilianza tafuta nikiwa sekondari nilishindwa vigezo vingi nikajaribu tena nikashindwa mara ya tatu rafiki yangu alitoka likizo UDSM nami nimetoka likizo nikamwambia kuhusiana na pass akanieleza utalatibu mpaka yeye alivyofanikiwa na mimi nikiwa mwaka wa mwisho nikafanya vile so ikawa namaliza chuo na pigiwa simu kuchukua mzigo wangu....Wangefanya hivyo.siku nyingi ningekuwa sauzi.walinipa form zao zile.zina maswali hatari.zikazichoma moto.
Nyerere alitupa kaeshima kidogo kipindi hicho tukaonekana na sisi tuna dharau kumbe tuna hitaji....Kwl mkuu...miaka hiyo ya 90 ilikuwa Tanzanian passport holder unaringa tu.. UK....SCANDINAVIAN.. countries.... Tunaingia tu entry..wakawa wanakuja wasomali na wahindi hata Nigerians wanapewa passport wanaingia ..tu.ulaya...kibaya zaidi Nigerians wanabebea MADAWA... na wahindi na wasomali wakifika tu Airport wanaongoza REFUGEES DESK...wanasema mm ni msomali au muhindi. nimenunuwa passport Tanzania...naomba UKIMBIZI....ndy chanzo cha wazungu kukasirika...tukaekewa VIKWAZO CHA VIZA...inchi hizo...nina maana yote ni sababu ya PASSPORT kuwa ZINATOKA kama NJUGU
Kama anakufanyia na mpango wa long stay visa kabisa nenda hiyo hela ni ndogo but kama ni kwenda tu mengine ujijue mwenyewe hiyo hela kubwa usimpe.Kuna mtu nimeona anaulizia Agent, kuna mzee namfahamu kapeleka jirani zangu wengu uswizi na ndie najaribu kujipanga anipeleke. Ila bajeti yake ni $4000. Km yupo agent mnamjua ambaye ni cheap kiasi naomba tupeane connections
Wekeni contacts za hao watu ili watu waweze kuwasiliana nao wenyewe na wajiridhishe piaKuna mtu nimeona anaulizia Agent, kuna mzee namfahamu kapeleka jirani zangu wengu uswizi na ndie najaribu kujipanga anipeleke. Ila bajeti yake ni $4000. Km yupo agent mnamjua ambaye ni cheap kiasi naomba tupeane connections
Kuna mtu nimeona anaulizia Agent, kuna mzee namfahamu kapeleka jirani zangu wengu uswizi na ndie najaribu kujipanga anipeleke. Ila bajeti yake ni $4000. Km yupo agent mnamjua ambaye ni cheap kiasi naomba tupeane connections
Yeah, mkuu. Wanajua mtu ukifika ughaibuni hela uNaokota tu, sasa pale anavyo ona ndiyo sivyo ana amua kuaribu, unarudi kutoka kazini utakuta chumba kimesafishwa. Na ulaya ya sasa tofauti na yazamani, hali ya kiuchumi imebadirika duniani kote, kwa hiyo tunaenda kutafuta maisha, tuwe na negative mind, inaweza kutujenga kisaikolojia, pindipo pale mambo yanapoenda kinyume na matarajio.
Ukifika baada ya muda unajisalimisha polisi unaomba hifadhi ya ukimbiziKama anakufanyia na mpango wa long stay visa kabisa nenda hiyo hela ni ndogo but kama ni kwenda tu mengine ujijue mwenyewe hiyo hela kubwa usimpe.
Brother nadhani tahitaji ruhusa yake, ila kapeleka watu zaidi ya kumi naowafahamu na wameshaishi huko km miaka kumi sasaWekeni contacts za hao watu ili watu waweze kuwasiliana nao wenyewe na wajiridhishe pia
Kwa mimi naelewa uswisi tuu kuhusu nchi zingine nadhani inabidi kuuliza zaidiUswisi tuu, au nchi yoyote? leta info zaid
ungesaidia kutaja na hizo website ulizosema mkuuUlizaa swali hapo hapo no inbox
Njoo basi inbox tuongee.
Kuna jamaa yupo korea. Alichukua mkopo ofisini kwake akapotea ila alipofika ikabidi ajirudi aombe msamaha akaulipa