Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza


Mkuu izzo
Mimi moja kwa moja kwenye hoja, nina uzoefu na "hosting". Ni jambo jema sana unalofanya. Kwa kuongezea tu, wenzetu (kutoka nchi za magharibi) ni waaminifu. Tukiwaonesha uaminifu kwa hakika watafanya zaidi kwa ajili yetu.

Kaka ...
 
Shukrani sana izzo , Sikuweza kuquote comment yako ili kuepusha usumbufu kwa member wanaotumia simu,
turudi kwenye topic,
Hata jua litoke mvua inyeshe, lakini unapaswa utambue kuwa una jukumu kubwa sana la kuhakikisha huo mkakati wa hao vijana unakamilika na wanaikanyaga ardhi ya Tanganyika,
Trust me utakuwa shujaa wa kuleta mapinduzi ya kuwakomboa vijana wengi zaidi na pia kuitangaza Nchi yetu,
Labda wewe utuambie unahisi ugumu upo wapi mpaka unasita kuwaleta?
Hebu anza kujadiliana nasi, huenda labda kukaa kwako nje ya nchi kumekukosesha data na kumekufanya uamini labda kuna vikwazo lakini kiualisia hakuna
 
mkuu asante kwa kunitag, hii exchange program tulikua nayo chuo kwenye shirika fulani though was not much interested walikua wanakaa kwenye nyumba maalummpk muda waounafika wa kuondoka
Asante kwa kutujuza ila si mbaya kutupa sasa connection Watanganyika tushike fursa even hosting Izz
 
Mkuu izzo
Mimi moja kwa moja kwenye hoja, nina uzoefu na "hosting". Ni jambo jema sana unalofanya. Kwa kuongezea tu, wenzetu (kutoka nchi za magharibi) ni waaminifu. Tukiwaonesha uaminifu kwa hakika watafanya zaidi kwa ajili yetu.

Kaka ...
Tupe uzoefu wako mkuu ili tukupigie makofi wish tutanufaika wengi nataraji nondo za maana kutoka kwako.
 
Siku zote huwa nakukubali sana mkuu...atwambie kweli wasiwasi wake ukowapi sisi tumejidhatiti bwana hatutamwangusha kwa upepo huu sizani kama kuna mtu atachezea bahati.
 
twasubiri kwa hamu sana mkuu lusungo
Ni hivi kuna mtandao wa kutafuta hosts duniani..

Huu mtandao ni rahisi zaidi kukutanisha na hosts mbalimbali duniani kote...

Kuupata ni rahisi kama unatumia ios au android tafuta hiyo program inaitwa COUCHSURFING hii ni msaada mkubwa mno kukukutanisha na marafiki.

Daby izzo @Dr.adamsfaida Richard etc
 
Siku zote huwa nakukubali sana mkuu...atwambie kweli wasiwasi wake ukowapi sisi tumejidhatiti bwana hatutamwangusha kwa upepo huu sizani kama kuna mtu atachezea bahati.
point ya izzo nmeielewa unajua.ye ndo.anatake risk kubwa aisee anaweza tokea cnn(fake news) koz hatujuani humu kama alivyosrma.......ila kila kitu kina solution nadhan anaweza tupanga vijana tukaanzisha hata chama cha kuvolunteer taking care of this people which is.legal na inasaidia hata kulegalize hii makitu...asije mzungu akaamka usiku akakuta mwamba anaforce game dushelele limesimama[emoji1] [emoji1] ps mi nilipata bahati ya kutembelea amsterdam na "delft" kama miezi mitatu mwaka juzi dah maisha yakanishinda aisee...niliona ela yake ngumu af nkaona kama mtu ukiwa na career waweza tafuta bongo ukala gtyme mbele kama una rafiki.....koz mifano tunaiona ndugu zetu majority wanakaa hadi miaka kumi wakirudi wanarudi nyumba za wazazi hata family hawana...maybe thats just my opinion ila nmeipenda.hii mada na mengi yalioandikwa ni kwrli tupu
 
Ndugu zangu watoa ushauri tunawashukuru saana. Binafsi nimefarijika kuwaona mpo nasi hapa kutusaidia namna ya kupenya. Asanteni kwa hilo lusungo izzo na wengineo. Niseme tu kwa maelezo yenu kutoka nje na kufanikiwa kupata paper sio kazi nyepesi kama wengi tulivyokuwa tunategemea au tulivyoaminishwa na maagent tuliokutana nao. Labda walitaka tuwape pesa then turudishwe airport turudi bongo tuendeleze hii hali ngumu.

Najua bado mnaendelea kutushauri njia za kupita ila naomba nitoe changamoto zinazotugharimu sisi kama wahitaji msaada. Binafsi ningeshakuwa Scandinavia siku nyingi maana mipango nilianza kitambo since 2015. Lakini nilikosa miongozo nilijua ni sawa na kwenda kenya tu maana nimekaa kaa kenya. Ok Nikianza na njia ya kwanza ya izzo ya malta changamoto zake hizi hapa kwa sisi waendaji....

1. Kupata host agent wa kuaminika. Kama mnavyojua kuna maagent wazinguaji kama kina britanicca binafsi alitaka kunipiga nikamgundua mapema. Maagent tunaokutana nao wanamilolongo mingi hawapo serious hasa wa bongo. Laiti kama tungewapata maagent watushughulikie visa na sehemu ya kufikia kwa muda hukk nchini malta tungejilipua hata kuanzia kesho au kesho kutwa. Lakini maagent wengi ni wa Asia countries kama oman, Qatar, dubai n.k

2. Ni namna ya kupata visa na namna ya kuendelea kuishi ukishafika nchi ya watu. Kama mnavyojua visa zinataratibu zake za kuipata. Na rahisi ni tourist kwa malta kwa mtu kama mim niliye na passport tu. unakuta unayo passport na vipesa vyako vipo mkononi. Suala linakuja sasa je uombe visa ya tourist ama! Na ukishaipata ukifika malta utumie mbinu gani kuishi maana visa ikiisha utaishi maisha ya shida ya kukimbizana na polisi na hatimaye utarudishwa kama izzo alivyosema. Tukija kwenye mtu wa kukuinvite.. huko malta unakuta hauna mtu na ukisema ukae hotelini au upange huku ukiwa na tourist visa mpaka umalize miezi si utakuwa unatumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho kitashindikana kukimudu ukitegemea haufanyi kazi maana aina ya visa haikuruhusu! Binafsi hii ni changamoto maana njia ya malta Nimeipenda saana. Hapa mtu ukipata invitation inakuwa ni rahisi kidogo. Na bado akikuinvite muda si utaisha? Je paper zitapatikanaje?

3. Kuna suala lingine hili la ndoa au uchumba mmeliongea saana lakini sio simple brethren kihivyo. Online dating ni kazi saana hata mtu wa nje kukujibu text au call yako ni kazi. Sometimes ni kubahatisha. Je na visa yake ipoje inahitaji criteria gani? ni mbinu gani zingine kuwakamata hawa watu? Kwenda na tourist visa ukiwa na lengo la kuhook kwa lifemate ya visa yako? Je ukikosa! Ingawa kwenye kutafuta tunatake risk ila tunatakiwa kujiuliza hayo maswali. Ukikosa kwa huo muda si itakuwa ni kazi bure! !.

Halafu izzo naomba utoe ufafanuzi juu ya hiyo visa ya uchumba. Inapatikana kupitia criteria zipi.
 
asante mkuu, asante sana ngoja nichungulie nione hii fursa mkuu lusungo ngo
 
mawazo constructive mkuu Daby ngoja nikunje miguu hapa nisubiri ideas
 

Hii option nzuri[emoji122]
 
Ngoja niweke kigoda chini...mkuu izzo njoo tunakusubiri
 
Mkuu daby suala zima la hosting usihangaike na madalali.... Pakua app ya couchsurfing utapata hosts wengi mno mno kwa nchi yoyote upendayo... Kisha anza urafiki na mahojiano... Hao watakusaidia sana!!
 

Mkuu izzo

Mimi niko tayari kuwa-host

Kaka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…