good news comrade izzo we are here to serveDah wadau naona thread imepoa au watu mmeshasafiri nini????????????
I have good newz for you nimewasiliana na zile taasisi nilizo sema kwenye project number 2
So mwezi wa 5 Tanganyika mnaweza pata ugeni wa vijana wa 5 kutoka nchi pendwa ya Malta wa tatu wadada na wawili ni wakaka sasa kuhusu kuhost natafuta mtu mwaminifu wa kumuunganisha nao wakija yeye ndio awapokee na kuwatafutia host kama itawezekana
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
dua zangu kwako mkuu, ufanikiwe tuongeze idadi ya maprof tzAsante mkuu hapo scandnavia pananifaa sana ngoja nikaze huku nikisindikiza na maombi iko siku itawezekana. Baraka tele kwako
Naomba niku Pm mkuuAsante kwa kunitia moyo Kaveli, hata mimi ni mkulima mwenzio lakini nakutia moyo usikubali kusurrender tafuta hicho unachokihitaji mpaka kionekane. Kama siyo leo utapata kesho...kila la kheri.
We nowmaMi nifight ya botswana nataka nipate kidemu cha kibotswana nikioe nipate karatasi then natokomea mbele mpaka sasa nimeshaanza kujifunza lugha ya setswana november safari inaanza nimeplan niache na kazi maana maisha ya kusubiri kiinua mgongo yalikuwa ya mababu zetu siyo leo ni kutiana umasikini tu, nikiingia zangu Dernmark au Australia miaka kumi nikirudi bongo nafungua hospitali kubwa sana then narudi tena chimbo kuzisaka ninahasira mie.
Ooh nifanyie mpango hapo kwenye kufagia nijeKama kufagia...kubeba maboksi... Kutunza watoto, wazee na wasiojiweza n.k
Kwanini za undergraduate hamna?Japan zipo za PhD South korea mpaka nicheki na wadau
Scandnavia Zipo za Denmark
Norway
Sweden
America zipo za Canada na US
Kiwango cha elimu kusomea ni Masters na PhD
Sharti ufanye mtihani wa kingereza score ni kuanzia 70%
Ni full Scholarship kuanzia nauli ya kwenda na kurudi kwenu kwa mwaka mara mbili maradhi na pocket money kila mwezi
Thank you much much mkuu, ubarikiwe in advanceThere is nothing as great as pursuing your studies in Canada. For those who do not have the idea, Canada is among the countries with the most appealing and professional colleges. The history of education in this country has been on top of the game for years. If your wish is to join one of the credible universities in Canada, then you should not hesitate to apply for a free scholarship.
Here are 10 universities/colleges that offer free scholarships for students in Canada:
http://www.scholarsworld.org/10-best-universities-colleges-in-canada-offering-free-scholarships/
Kabisa mkuu.... Mungu atie wepesiUlisha fanya kazi hyo kwa kipindi gani?
kama ni mzoefu kweli maana mambo ya ujanja ujanja wa Watanganyika na uongo uongo ndio yamefanya passport ya bongo kutoka free visa nchi 153 mwaka 1961-1980 kupungua mpaka nchi zisizozidi 71 tena zote za kijinga kijinga yenye maana ni Hong Kong na Malaysia tu
Kama kweli naweza kukuunganisha kwani unaweza kufanya hata biashara wao kila kichwa kila siku anatoa dola mia kila siku kwa mwaka wanaweza kuja mpaka 30 au zaidi ya hapo
Bt hapa tuna Project yetu tunaifanya tunataka mpaka kufikia mwaka 2025 vijana karibu 100 au zaidi wawe wameshatoka Tanganyika na wawe wanatuma dola tu huko makwao kwani wenzetu chanzo kimojawapo cha nchi kupata fedha za kigeni ni kupitia raia wao waliopo nje
So hii si biashara bali tuna mipango
Prishaz
Shukran pia mkuuThank you much much mkuu, ubarikiwe in advance
Jukwaa la diaspora is the solutionJamani mm natoa ushauri tu munaonaje tukanzisha group lA wahtsapp ili tuzane zaidi