Ulisha fanya kazi hyo kwa kipindi gani?
kama ni mzoefu kweli maana mambo ya ujanja ujanja wa Watanganyika na uongo uongo ndio yamefanya passport ya bongo kutoka free visa nchi 153 mwaka 1961-1980 kupungua mpaka nchi zisizozidi 71 tena zote za kijinga kijinga yenye maana ni Hong Kong na Malaysia tu
Kama kweli naweza kukuunganisha kwani unaweza kufanya hata biashara wao kila kichwa kila siku anatoa dola mia kila siku kwa mwaka wanaweza kuja mpaka 30 au zaidi ya hapo
Bt hapa tuna Project yetu tunaifanya tunataka mpaka kufikia mwaka 2025 vijana karibu 100 au zaidi wawe wameshatoka Tanganyika na wawe wanatuma dola tu huko makwao kwani wenzetu chanzo kimojawapo cha nchi kupata fedha za kigeni ni kupitia raia wao waliopo nje
So hii si biashara bali tuna mipango
Prishaz