Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?
Mkuu ukipata jibu uniite na mimi
 
Mkuu stunter unachofanya sio fair kabisa.. Unaandikiwa meseji hujibu na ukijibu unajibu shortcut tu..

Please hebu jitahidi kumuelewa kila MTU anaekufuata inbox kwa wazo alilolitoa mdau Izzo...

Au mkuu izzo naomba inipatie namba zako inbox kwangu
 
MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)

Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
Invisible
 
Ndugu zangu. Naomba tuwe makini na pamoja kwenye mambo haya muhimu. Kumbukeni ugeni ni zaidi ya undugu, kama kasoro zinaanza mapema hivi, si sawa. Ukipata nafasi muhimu kama hii, ni vyema kutulia na kumthamini kila mmoja.
 
sasa mbona mkifa huko.....mpaka sisi huku sitimbi tuchangishe pesa ndio mtu aweze kuzikwa huku? hata ya kusafirisha mwili tu kuchangia huko ni shida! ni nn shida!

Mkuu kbosho watuwengi wanao omba msaada mtu akitangulia mpele ya haki ni utamaduni wetu wakuchangiana Na tamaa ya wafiwa.
NSSF-WESTADI Hii ni bima ambayo inanunuliwa
Kwa $300 Kwa mwaka.Mwana diaspora akiukata hiyo bima inalipia kila kitu.
Kwa hiyo omba omba wengi wanaijua Hii BIMA
Lakini wengi wetu tunaikumbuka mpaka yatukute. Wenye kutaka kuijuwa
Www.Tzdiaspora.org
 
I like you brother izzo
Watanzania wote tungekuwa hivi maendeleo yngekuwa rahisi sana ila nchi yetu watu wana roho mbaya ukikaa maofisini ndo utajua

Mkuu watu wenye roho mbaya wako lakini sio wengi Na wenye roho nzuri wako wengi Ila utawaona ukionyesha tabia nzuri Na ukarimu Na hawajitangazi.
Unaanza Na Tabasamu ndio ufunguo wa kuwaona Watu Wema na kuwatakia watu usio wajuwa mema.Kama Lusungo katoa sadaka na Izzo kaongeza na wengi wanazidi kuchangia.
MBARIKIWE WOTE
 
MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)

Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
Mkuu hapa umemaliza kila kitu imebaki utekelezaji tu ikiwa hivyo hakika mambo yataenda vyema nami nakuunga mkono kwa hilo wazo asante sana.
 
Alafu nikitaka kwenda sauzi.kwa gari.nikifika mipakani nitaulizwa tiketi ya kurudia yaani kama kwenye ndege?
South ukiwa na passport inatosha.
Ukienda kwa bus huulizwi return ticket.

Nilienda mwaka juzi kwa bus sikupata usumbufu wowote.

Kama vipi ni PM
 
Maisha hapahapa uswazi. Nendeni lakini mrudi baada ya mafanikio. Raha ya maisha ni wale akina Ngoswe mliosoma nao/ mkiishi naona wakati upo apeche alolo wakuone ukiwa na mafanio wakusifie 😛. Ughaibuni unaishi watu hawana time na wewe labda uwe super star.
 
South ukiwa na passport inatosha.
Ukienda kwa bus huulizwi return ticket.

Nilienda mwaka juzi kwa bus sikupata usumbufu wowote.

Kama vipi ni PM
Mmmmmh... mkuu nauli ya basi ni kiasi gani huu utalii wa ndani ni kwikwi muda mwingine... ila nasikia ukisafiri na wazimbabwe huwa hawataki mazoea kabisa.
 
Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.

Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.

Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.

Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.

Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.

Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.

FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...

kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.

2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.

CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)

2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.

USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.

Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...

2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.

3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,

4. kwenda kwa shughuli za utamaduni

Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....

Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.

Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.

Mtoa mada changamoto kubwa pia ni lugha ya kingereza ambayo tunaona ata kwa baadhi ya wasomi wetu wanasumbuka nayo tofauti na mataifa kama kenya na naigeria ambayo wao wapo vizur kweny lugha.
 
Mimi nimeenda USA mara 5 kihalali, hili halipo straight kama unavyofikiria. Labda ufanye kazi tu bila kibali. Kuoa ni shughuli, and a long process.
 
Back
Top Bottom