NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Mkuu ukipata jibu uniite na mimiNataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?
InvisibleMAXCENCE MELLO/INVISIBLE
NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)
Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi
1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie
AUSTRALIA & NEW ZELAND
CANADA
EUROPE
FAR EAST & ASIA
MIDDLE EAST
USA
LATIN AMERICA
2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician
Pia kutakuwa na threads za Job offers
na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted
3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
Sawa ngoja nimcheki
Ndugu zangu. Naomba tuwe makini na pamoja kwenye mambo haya muhimu. Kumbukeni ugeni ni zaidi ya undugu, kama kasoro zinaanza mapema hivi, si sawa. Ukipata nafasi muhimu kama hii, ni vyema kutulia na kumthamini kila mmoja.Mkuu stunter unachofanya sio fair kabisa.. Unaandikiwa meseji hujibu na ukijibu unajibu shortcut tu..
Please hebu jitahidi kumuelewa kila MTU anaekufuata inbox kwa wazo alilolitoa mdau Izzo...
Au mkuu izzo naomba inipatie namba zako inbox kwangu
sasa mbona mkifa huko.....mpaka sisi huku sitimbi tuchangishe pesa ndio mtu aweze kuzikwa huku? hata ya kusafirisha mwili tu kuchangia huko ni shida! ni nn shida!
I like you brother izzo
Watanzania wote tungekuwa hivi maendeleo yngekuwa rahisi sana ila nchi yetu watu wana roho mbaya ukikaa maofisini ndo utajua
Nilipata Manchester University, Coventry University, University of Sheffield (UK). Sasa hivi nimepata University of Twente, unconditional na Institute of Water Education -IHE- Conditional (Netherlands)
Mkuu hapa umemaliza kila kitu imebaki utekelezaji tu ikiwa hivyo hakika mambo yataenda vyema nami nakuunga mkono kwa hilo wazo asante sana.MAXCENCE MELLO/INVISIBLE
NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)
Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi
1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie
AUSTRALIA & NEW ZELAND
CANADA
EUROPE
FAR EAST & ASIA
MIDDLE EAST
USA
LATIN AMERICA
2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician
Pia kutakuwa na threads za Job offers
na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted
3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
South ukiwa na passport inatosha.Alafu nikitaka kwenda sauzi.kwa gari.nikifika mipakani nitaulizwa tiketi ya kurudia yaani kama kwenye ndege?
Mmmmmh... mkuu nauli ya basi ni kiasi gani huu utalii wa ndani ni kwikwi muda mwingine... ila nasikia ukisafiri na wazimbabwe huwa hawataki mazoea kabisa.South ukiwa na passport inatosha.
Ukienda kwa bus huulizwi return ticket.
Nilienda mwaka juzi kwa bus sikupata usumbufu wowote.
Kama vipi ni PM
Samahani simu itakuwa imezingua sikufanya makusud mkuu Dady.sorry si unajua masimu haya bila lock ikikaa mfukon inajiamria yenyeweMkuu vipi unatuharibia uzi
Mtoa mada changamoto kubwa pia ni lugha ya kingereza ambayo tunaona ata kwa baadhi ya wasomi wetu wanasumbuka nayo tofauti na mataifa kama kenya na naigeria ambayo wao wapo vizur kweny lugha.Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...
kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.
Ndugu wana JF