Ndugu zangu Watanganyika nimekuwa kimya kwa sababu nakamilisha baadhi ya mambo kuhusu project yetu changamoto inayonikuta ni kuweza kuwashawishi juu ya usalama wa wageni wkati mm sipo eneo la tukio yani wanakaa miezi 3 Africa then mm sipo eneo la tukio kumbuka wanaokuja ni kati ya miaka 18 - 25 so ni bado watoto au vijana pili inatakiwa nijiCommit mm kuwa Responsible kwa lolote
Kumekuwa na watu wanazungumzia vigezo mm ninavyojua ni
1 Kuwa eneo salama (Kiafya na Kiusalama)
2 Kujua lugha ya mawasiliano ambayo ni kingereza
3 kuanzia vyumba viwili yani chumba na sebure
4 Kama unafamilia basi wasizidi watu 5 ikiwamo na ww
5 Choo kizuri na kisafi
6Kuwepo na mtu wa kushinda na kumtembeza mgeni sehemu mbalimbali
Vigezo ni hvyo vya kuanzia vinaweza kubadilika kutokana na mahitaji coz Wageni wanaokuja ni kutoka familia za middle class so unaweza kujiuliza middle class za ulaya ni kipato aina gani kwa mwezi au mwaka wengi ni wanafunzi wa vyuo na wafanyakazi lakini project hii tunaanza na wageni vijana umri miaka 18-25 na wanatoka Malta , Canada na USA next round itakuwa Denmark ,Norway na Sweden
Changamoto inayonikabili ni hyo niliyoeleza hapo juu
Kuhusu namba za simu nimezipata kwa wale waliotuma na zinafanyiwa kazi hili kujiridhisha
Sasa niwaulize nyinyi Project hii ilikuwa ni kwa ajili ya watu walio Single kwa ajili ya kutengeneza mahusiano kumbuka wazungu ukishamwambia umeoa au unamahusiano tu bhasi hato kuwa karibu na ww kwani wanaheshimu sana ndoa za watu
na mahusiano ya watu
So kwa wale wenye mahusiano itabidi wachukue jinsia yao kwa maana kama ni mwanaume utachukua mwanaume mwenzio kama ni mwanamke chukua mwanamke mwenzio
Note ;Si lazima muwe na mahusiano ya kimapenzi hata mahusiano ya kirafiki yanatosha sana kwa kuanzia
Pia watanganyika ni mabingwa wa kuwa wabishi pale unapotongoza na kukataliwa mna mtindo wa kulazimisha naomba huduma hyo isiwepo hata kidogo kama kakupenda atakwambia mwenyewe aina ulazima wa kulazimisha kitu
update.....
Kuna group la Whats app na Telegram la Kazi na kupeana michongo ya kazi ,vyuo na mambo yote kuhusu kusafiri na kwenda kusoma au kufanya kazi kwa Ulaya , America na Ocenia ni group la watu wa huku huku nje na linawanachama zaid ya 1000 kutoka nchi nilizozitaja so nitaomba ruhusa ya Admn kama wanaweza kuadd watu kutoka Africa kama akinikubalia nitaweka namba hapa then mtajoin
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike