Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ulaya ulaya tu n sio afrika wakati mnalia ukamee huku dawa hakuna n maslhi duni
Mkuu ulaya...sio ulaya tu..kuna ulaya zaidi ya Africa MKUU.. Ushafika Greece? Bulgaria... Yugoslavia..Romania..nk...utatamani urudi Africa mkuu...mm nilikaa kwnza TURKY..nikaona maisha magumu nikajichanganya na wasomali nikavushwa kwenda Greece kupitia BORDER LA MIGUU..kwnza walinipeleka baharini...nikaogopa MAJI..maana kupitia baharini unahitaji roho ya plastic.. Nikakaa Greece mwaka tu..jasho lilinitoka....mkuu ulaya sio ulaya tu..kuna ulaya utaitamani africa
Mkuu lakini kutoboa german si ni mbide tofauti na yule yupo dernmark.
Mkuu jitahidi ukipata shengen viza ya inchi moja..unatembea kote huko..huulizwi passport.. Ni ticket YAKO tu labda EURO 200 au 150...unazunguka shengen countries zote.. Unajionea kwa macho...na usiogope hotel zipo hadi uero 30...kwa siku
 
Korea ya kusini ni pazuri sana ila kuna kitu kimoja kinatufanya watu wengi tushindwe ni lugha nchi nying zilizoendelea lugha ya kingereza si lugha ambayo inamfanya mtu afanikiwe kimaendeleo au kijamii
Yaa south Korea patamu mno ktk asia
 
Mkuu ulaya...sio ulaya tu..kuna ulaya zaidi ya Africa MKUU.. Ushafika Greece? Bulgaria... Yugoslavia..Romania..nk...utatamani urudi Africa mkuu...mm nilikaa kwnza TURKY..nikaona maisha magumu nikajichanganya na wasomali nikavushwa kwenda Greece kupitia BORDER LA MIGUU..kwnza walinipeleka baharini...nikaogopa MAJI..maana kupitia baharini unahitaji roho ya plastic.. Nikakaa Greece mwaka tu..jasho lilinitoka....mkuu ulaya sio ulaya tu..kuna ulaya utaitamani africa

Mkuu jitahidi ukipata shengen viza ya inchi moja..unatembea kote huko..huulizwi passport.. Ni ticket YAKO tu labda EURO 200 au 150...unazunguka shengen countries zote.. Unajionea kwa macho...na usiogope hotel zipo hadi uero 30...kwa siku
Yeah binafsi siku hizi nakata schengen visa hivyo nakuwa free kuzunguka ulaya nnayotaka bila vikwazo... Ni visa nzuri sana.
 
Ukweli ni mbinde kuliko Scandinavian Countries ,Penye ugumu ndipo penye neema.

Ukipata nafasi wewe chukua ,zote ni Umoja wa Ulaya. Danmark inapakana na Ujerumani upande wa kaskasini . Yaani ipo kaskazini ya Ujerumani
.
Uzuri unaweza chukua karatasi la Denmark ukahamia ujerumani au Norway vyovyote upendavyo.... Muhimu karatasi tu la nchi yoyote hapo.....
 
Mkuu ulaya...sio ulaya tu..kuna ulaya zaidi ya Africa MKUU.. Ushafika Greece? Bulgaria... Yugoslavia..Romania..nk...utatamani urudi Africa mkuu...mm nilikaa kwnza TURKY..nikaona maisha magumu nikajichanganya na wasomali nikavushwa kwenda Greece kupitia BORDER LA MIGUU..kwnza walinipeleka baharini...nikaogopa MAJI..maana kupitia baharini unahitaji roho ya plastic.. Nikakaa Greece mwaka tu..jasho lilinitoka....mkuu ulaya sio ulaya tu..kuna ulaya utaitamani africa

Mkuu jitahidi ukipata shengen viza ya inchi moja..unatembea kote huko..huulizwi passport.. Ni ticket YAKO tu labda EURO 200 au 150...unazunguka shengen countries zote.. Unajionea kwa macho...na usiogope hotel zipo hadi uero 30...kwa siku
mkuu naona kama unanitukana tu acha matusi haya mkuu
Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza leo ndo umenitoboa macho.
 
Hapo nenda Dubai.... Dubai ni rahisi mkuu ngoja nimwite lucky sabasaba atupe njia....

Mkuu [HASHTAG]#lusungo[/HASHTAG] na haka kadiploma kangu ka mifugo naweza nikapata kibarua nchi gani japo cha "kuchunga ng'ombe" huko ughaibuni ?
Maana naona naoza tu hapa Morogoro, japo nikapate mtaji wa kufunga shamba langu la mifugo huko.
 
Apart from each and everything ukisafiri bwana unajifunza mambo mengi sana kwenye nchi za watu, nilisafiri Dubai for almost 3 months just to visit and refresh my mind, kitu nilichojifunza kule watu wanafanya kazi kama hawana akili nzuri, watu wanaenda makazini mpaka jumapili, kitu kingine tofauti na matarajio yangu Kule watu wanaishi kwa kujibana sana tofauti na nilivyofikiria kuwa watu wanakula bata sana, Dubai accommodation is very expensive unakuta chumba kimoja wanakaa watu wanne mpaka sita yani humo humo wasichana na wavulana, in short watu wanajinyima ili wa make money, kitu kingine chakula is very cheap n affordable, ukienda Dubai then ukalala na njaa nitakushangaa sana.

Upweke kama ulivyosema ndo challenge kubwa sana, unakuta sometimes unakaa unakumbuka home mpaka unatamani kulia, though kuna access ya wifi that you can do and watch kila kitu kinachoendelea ulimwenguni but still loneliness is there ,marafiki hakuna kabisa, sema ikifika wakati wa kula bata walahi unasahau kama una familiar nyumbani, Dubai is awesome, kuna na malls ya kutisha in short Dubai is the place you should be but sio kwa kuzamia, utaumbuka mchana kweupeee

Kitu kingine wale watu wana sheria kali sana aiseeh, kule hakuna wizi wa kijinga kijinga, waarabu wanapenda sana na kuheshimu dini, ikifika ijumaa tu saa sita kila kitu kinafungwa, maduka yote yanafungwa wanakimbilia msikitini
Staff mwenzangu kanikatisha tamaa sana.Miaka miwil nyuma mimi na rafiki yangu tulipanga kutimkia dubai kwenye kazi za hotel.mwenzangu alikua na akiba ya pesa teyar.ila mimi mfuko wangu haukua vema sana.Basi nikamshauri yeye anze kufanya mikakati ya passport atangulie mimi niendelee kujaza kibubu kwanza.then atanijulisha mazingira yakoje mana kiasi flani nilikua nahofia ubaguzi wa warabu.
Aisee jamaa alifanikisha kila kitu na kazi alipata tukawa tunawasiliana sana na hadi sasa tunawasiliana.baada ya mwaka kibubu kikawa kina pesa ya kutosha.nikamjulisha mshikaj sasa niko vema naanza michakato niwasili dubai.akanielezea kila kitu cha kufanya.sasa kwenye maelezo yake kuhusu medical check up akaniambia nita fail sbabu niliwai ugua kifua kikuu 2010 sababu ya uvutaj wa sigara uliokisiri.kiukwel ndani ya nafsi yangu nimehisi kanikatisha tamaa moja kwa moja.mana nilitaka nianzie na dubai miaka 2 then nijilipue mambele mazima
 
Mkuu [HASHTAG]#lusungo[/HASHTAG] na haka kadiploma kangu ka mifugo naweza nikapata kibarua nchi gani japo cha "kuchunga ng'ombe" huko ughaibuni ?
Maana naona naoza tu hapa Morogoro, japo nikapate mtaji wa kufunga shamba langu la mifugo huko.
Dubai utapata kazi za madukani.... Hotelini.....n.k

Waarabu hawapendi kazi thats why wakuja kule ni wengi sana!!
 
Yeah binafsi siku hizi nakata schengen visa hivyo nakuwa free kuzunguka ulaya nnayotaka bila vikwazo... Ni visa nzuri sana.
Yaa..yaani unazunguka tu...Europe inchi zote 29..isipokiwa UK..haipo..Turkey.. Bulgaria... Nk..
 
Yeah binafsi siku hizi nakata schengen visa hivyo nakuwa free kuzunguka ulaya nnayotaka bila vikwazo... Ni visa nzuri sana.

Ni sawa Mkuu, ila kwa kurahisisha hii Schengen Viza ni nzuri sana.

Kwa mfano unataka kwenda Denmark, ukiwa na Schengen unaanzia Denmark kwanza unagongewa mhuri halafu ndiyo unaweza kuendelea kwenda Norway au Sweden na ukirudi unatokea pale mwanzo yaani Denmark.

Cha muhimu kufahamu ni kwamba Uingereza na Ireland hawashiriki mambo ya Schengen.

Nchi za Bulgaria*, Croatia, Cyprus na Romania* pia hazishiriki mradi wa Schengen lakini hivi karibuni huenda zikaruhusiwa kuingia kwenye mfumo wa Schengen baada ya kutimiza masharti na viwango vinavyotakiwa.
 
mkuu naona kama unanitukana tu acha matusi haya mkuu
Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza leo ndo umenitoboa macho.
Mkuu tusi lipo wapi hapo?mm naelezea baadhi ya ulaya ulivyo..basi tusameheane mkuu...mm huwa sidhamirii matusi MKUU.. Hzo inchi bila michongo maalum huwezi kukaa MKUU..mm nilikimbia hapo...hebu nieleze tusi lipo wapi mkuu
 
Ni sawa Mkuu, ila kwa kurahisiaha hii Schengen Viza ni nzuri sana.

Kwa mfano unataka kwenda Denmark, ukiwa na Schengen unaanzia Denmark kwanza unagongewa mhuri halafu ndiyo unaweza kuendelea kwenda Norway au Sweden na ukirudi unatokea pale mwanzo yaani Denmark.

Cha muhimu kufahamu ni kwamba Uingereza na Ireland hawashiriki mambo ya Schengen.

Nchi za Bulgaria*, Croatia, Cyprus na Romania* hashiriki mradi wa Schengen lakini hivi karibuni huenda zikaruhusiwa kuingia kwenye mfumo wa Schengen baada ya kutimiza mashtri na viwango vinavyotakiwa.
Ni kweli mkuu....
 
Mkuu tusi lipo wapi hapo?mm naelezea baadhi ya ulaya ulivyo..basi tusameheane mkuu...mm huwa sidhamirii matusi MKUU.. Hzo inchi bila michongo maalum huwezi kukaa MKUU..mm nilikimbia hapo...hebu nieleze tusi lipo wapi mkuu
Anajiona alikuwa mshamba. 😀 😀 😀
 
Hahahahah umenichekesha sana na nimekumbuka mbali....

Enzi hizo hata passport walimiliki hao wasomi waloenda na kurudi.... Leo maelfu wanamiliki hadi vijana wakitaa... Wakiweka visa free bongo itahamia London!!

Hahahaa mkuu, leo hii hadi sie vijana wa kitaa tunakula vumbi la Mbagala na passport tumezika uvunguni geto mpaka tunaisahau!

Mvua za mwaka juzi... natoka misele narejea geto uswazi... ile kufungua goli tu, nikatahamaki na kujisemea: "khaaa kumbe nina passport, sa nangoja nini kwenye Bara hili la giza?". Geto limejaa maji mpaka level ya kitanda, gamba la kijani linaelea tu kwenye maji. Siku hiyo nilishinda kutwa nzima nadeki geto na kuanika nyaraka. Uswazini heka heka!

Kweli nawadeiz mpaka masela wa kitaa wanaholdi passport. Kupata channel ya kupaa ndo mbinde kichizi, hasa kwa vijana tunaotokea familia za 'unga robo usicheze mbali'. Otherwise uwe 'msafiri kafiri with nothing to lose' then unajilipua mbele kwa mbele.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom