Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Hii ndo maana ya kuitwa great thinker...Ubarikiwe popote ulipo. Sina experience ya maisha katika nchi za ulaya kwani nilienda USA kwa ajili ya masomo..na shule ilipoisha nilirudi kwa sponsor/government...na Muda mrefu umeshapita sasa. Lakini kwa Africa hii....Naijua kiasi.
Mkuu ni Watanganyika tu ndio wazito kupeana Blue print ya mafanikio lakini wenzetu wa Kenya au West Africa wanapeana sana maujanja mm nina uzoefu mkubwa sana wa nchi nying na hii ni kutokana na majukumu yangu nilishawai kuongea na wajerumani waliniambia kuwa kama Tanganyika wangekuja kuongea na CC juu ya mali tulizoziacha kuja kuzichukua kwa exchange ya kuwajengea miundombinu yote unayoijua wako tayali lakini sijui kama serikali ya Tanganyika walishawai kuwaza juu ya hili jambo
 
Ivi kutuma hela Tanzania naweza tumia njia gani zaidi ya money gram na western union?
 
Mkuu, mpaka muda huu naisi kuwa sina Bahati ya kwenda Ulaya, nikamilika kila kitu tatizo Barua ya mualiko tu nashindwa kupata , mabest zangu ambao wa Ulaya kila ukimwambia anakuzungusha tu, mwisho unakata tamaa.
mkuu kama utaweza kunisaidia Naomba unifuate PM tuongee vizuri sawa.
No hapa hapa baba
 
Mkuu ni Watanganyika tu ndio wazito kupeana Blue print ya mafanikio lakini wenzetu wa Kenya au West Africa wanapeana sana maujanja mm nina uzoefu mkubwa sana wa nchi nying na hii ni kutokana na majukumu yangu nilishawai kuongea na wajerumani waliniambia kuwa kama Tanganyika wangekuja kuongea na CC juu ya mali tulizoziacha kuja kuzichukua kwa exchange ya kuwajengea miundombinu yote unayoijua wako tayali lakini sijui kama serikali ya Tanganyika walishawai kuwaza juu ya hili jambo
uko sahihi mkuu. wabongo wengi hawatoi taarifa za mafanikio kwa wenzao na hata akitoa atakutisha tu ili usijaribu...(nafikiri hiyo ni hulka ya ubinafsi na siyo wote wanataka mtu afanikiwe kupitia njia hiyo hiyo...)! kitu kingine ni serikali iliyopo madarakani kutojitambua...wakati nchi nyingine wana facilitate vijana wao wakasome ng'ambo lakini kwa tz ni kinyume chake...hawajui kwamba vijana wanapotoka kwenda kutafuta, ni tija kwa nchi yenyewe kwani itapata wataalam Plus remittance (fedha inayotumwa nyumbani kwa ndugu na jamaa)...Licha ya kuwa Mjerumani alikuwa mkoloni katili, lakini nafikiri ndo true friend wa Tanzania. Hata linapokuja suala la misaada, hana masharti magumu kama nchi nyingine...Lakini bahati mbaya viongozi hawana upeo wa kuliona hilo! Nasikia nyumbani wanajenga standard gauge Railway (SGR)...sijui kwa nini hawajawa-consult wajerumani wasaidie...
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Wanatumia lugha gani?
 
Visiwa vingi ambavyo Africa au Europe ambavyo vina watu weusi hata kama hawa a uraia wa nchi za Ulaya uwa wakiona watu wanatoka bara La Africa wanawaita waafrica na wakati rangi moja kasoro Zanzibar tu,visiwa hivyo Kama Madagascar,Comoros,Reunions([emoji632]),Mauritius etc,lakin pia Madagascar inaweza ikawa njia pia ya kuingia visiwa vya Reunions na ukaanza maisha hapo au ukajiongeza kWa kuingia Europe kupitia France maana hicho kisiwa ni cha kifaransa,wananchi pia ni wafaransa,wanapiga kura Kama watu wanaoishi France(wenye uraia).
Ila Madagascar ni mchanganyiko wa wahindi,Wachina ,wazungu,

yaani hata wao hawajuwi asili yao..

maana watu weusi ni wachache sana...

wengi wahindi...kama China China..

kuna siku niliwauliza asili yao...

Wengi wanasema ni wale wafanya biashara wa mwanzo wahindi na wachina walikuwa wakipita kuja east Africa waliviona visiwa wakawa wanapumzika...

mwishowe wakaanzisha maisha hapo...
hawa jamaa na seashells wanafanana...
hawa jamaa wanatabia zote za Kihindi... Uchafu na hata maumbo yao...
kula pariki..
kutema mate hovyo...

nikaamini kweli unaweza ikawa story ya kweli...
 
uko sahihi mkuu. wabongo wengi hawatoi taarifa za mafanikio kwa wenzao na hata akitoa atakutisha tu ili usijaribu...(nafikiri hiyo ni hulka ya ubinafsi na siyo wote wanataka mtu afanikiwe kupitia njia hiyo hiyo...)! kitu kingine ni serikali iliyopo madarakani kutojitambua...wakati nchi nyingine wana facilitate vijana wao wakasome ng'ambo lakini kwa tz ni kinyume chake...hawajui kwamba vijana wanapotoka kwenda kutafuta, ni tija kwa nchi yenyewe kwani itapata wataalam Plus remittance (fedha inayotumwa nyumbani kwa ndugu na jamaa)...Licha ya kuwa Mjerumani alikuwa mkoloni katili, lakini nafikiri ndo true friend wa Tanzania. Hata linapokuja suala la misaada, hana masharti magumu kama nchi nyingine...Lakini bahati mbaya viongozi hawana upeo wa kuliona hilo! Nasikia nyumbani wanajenga standard gauge Railway (SGR)...sijui kwa nini hawajawa-consult wajerumani wasaidie...
Mchina hajawai kuwa rafiki wa kweli kwa Africa mzungu akisema promise basi ni promise kweli lakini Mchina anakwambia promise huku nyuma amekunja vidole

Nataka kukwambia mm nawajua wajerumani vizuri na marafiki zangu ni wajerumani wengi tu na nataka kukwambia Wajerumani wana akili sana kuliko hata wazungu wengine we jiulize mjerumani alichukuliwa makoloni yote vita ya kwanza vita vya pili akapigana na dunia nchi zote kubwa zilikuwa zinapigana na Mjerumani pamoja na Mjapani lakini pamoja na kupigwa lakini leo Ujerumani ndio baba wa EU Mwingereza kamkimbia EU lakini yeye anawambia yeye ataibeba EU bila ya wasiwasi bila ya msaada wa UK au US na kuonyesha hvyo tayali jamaa kupitia bunge la ulaya wamefuta Free visa kwa raia wote wa US kuingia Ulaya

Mkoloni wetu wa ukweli ni Mjerumani na hilo hata wajerumani wanalijua ila sisi ndio tumewatenga tu na kumwoma Mwingereza ndio mkoloni wetu wakati Mwingereza alipewa tu kutusimamia na kama leo Tanganyika ingekuwa chini ya Wajerumani trust me tungekuwa mbali sana kimaendeleo na tungekuwa tunafanya kazi kweli kweli Mjerumani si mvivu kama Mwingereza sheria nying lakini hakuna kitu

Mjerumani yeye ndio anabeba mzigo wote wa EU kwa sasa baada ya Ufaransa kuyumba na kukimbia kwa Mwingereza
 
Ivi kutuma hela Tanzania naweza tumia njia gani zaidi ya money gram na western union?
MoneyGram na western Union ndo zipo common sana. Ila Dunia imekuwa rahisi in term of technology. unaweza fanya bank transfer kwa kuhamisha fedha kutoka A/C moja let say A kwenda B in foreign country..
 
Mkuu Lusungo, Isso ameleta uzi mzuri sana, pendekezo langu kuhusu tread hii mtupe tadhimini kwa nchi moja moja, mfano nikitaka kwenda Denmark fulsa na changamoto zake, aina ya kazi zinazopatikana kwa urahisi, kwahiyo kwa kuichambua nchi moja baada ya nyingine Nina imani kila mtu atafaidika sana, ni hayo tu
Mkuu kama una swali uliza tutakujibu husiwe na shaka JF ndio sehemu pekee ambapo Elimu inapatikana bure huku hakuna kukatwa 15% wala hakuna Bodi ya mikopo huku
 
mbona Bashite kaiweza bongo!
angejilipua kama Le Mutuz!?

nafoji cheti na jina..nakuwa na urafiki na watoto wote wa viongozi,najipendekeza kwa sanaa,nakuwa kimbelembele...then nitapewa wadhifa/cheo

USA,France...huko Dubai, Denmark nakuja kwa matembezi na LIKIZO
 
Hivi hii kujilipua ni kwa wote!? Mie nilidhani kujilipua kunawahusu wale ambao waliingia nchi za majuu kama Watanzania kisha wakasema wao ni wasomali, warundi, wasudan etc na kuchana au kuchoma moto passports zao.

Ila wale ambao waliomba makaratasi kama Watanzania na majina yao ya waliyotoka nayo bongo na vyeti vya elimu kuanzia bongo hadi majuu hawa nilidhani hawamo kwenye kundi la waliojilipua. Hebu nifahamisheni waungwana.
Mkuu hii tumemaanisha kwa wote tuuu hata walohamia kihalali.
 
Usikate tamaa mkuu. Inashangaza sana kusikia hivi, wenyewe kwa wenyewe tunavyoumizana. Sasa HR kukuandikia barua au Immigration kufanya kazi yao inavyotakiwa upate passport wanaona kama 'wanakusaidia'
Wakati wote hao hizo ni kazi zao, na wewe ni haki yako.
Hasa ma HR ndo kabisaaaa, shida ya wabongo tunapenda kuangushana kuliko kuinuana.....
 
Back
Top Bottom