Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Labda nielezee kitu hapa kuhusu Scholarships naona wengi hamna taarifa vizuri(hiki nimekifanya mwenyewe na nimefatilia mimi mwenyewe)

Iko hivi wandugu, ukitaka uombe Scholarships kwanza lazima uwe umepata admission ya chuo husika tena iwe "UNCONDITION ADMISSION"

Uncondition Admission means Uwe umemeet vigezo vyote(hapa wengi huwa navyo) pamoja na kigezo cha Laguange Proficiency ( hapa ndio kikwazo kwa kila mtu) hapa kwa Tanzania wanataka TOEFL/IELTS(score kwa TOEFL 95iBT kwa IELTS ni 6.0/6.5) na GRE(Hapa kwa Engineering). Then utatumia hiyo Admission kuombea Scholarships na pia Scholarships nyingi wanataka at least uwe na experience ya miaka 3 kazini,

Then Barua ya mwajiri (wenye roho za korosho hapa ni kazi), Referees (Academics) hawa sio kazi kuwapata, theni huwa kuna michujo Mingi sana kwenye hizi sholars, nawaambia kitu nilichoexpirience

kuchomoka kwa kutumia hizi scholarships ni kazi sana mpaka uipate na ndio maana mimi niliachana nayo KABISAAA wala SITAKI kuisikia kabisaa.

Mapambano yanaendelea..

Tena bora hizo scholarships for postgraduate studies angalau zinatangazwa kwa wingi. Kimbembe ni scholarships for undergraduate studies.. dooh ni muziki mnene aiseee.

Lakini whatever the situation it gets, ni MARUFUKU kukata tamaa chini ya jua.

-Kaveli-
 
Ni tabia ya waTanzania wengi kujaribu kukimbia nchi yao iliyo tulivu sana.nijuacho mimi unaweza ukaishi hapa hapa bongo kama uko ulaya,inategemea tu na ubongo wako kama unafanya kazi vizuri na bidii ya hali ya juu.tatizo watu wametawaliwa na uoga wa kuthubutu mambo mengi halali hapa hapa ndani ya nchi na udhaifu wa kuona aibu kwa baadhi ya kazi zinazoweza kuwatoa,mwenye anataka kwend a ulaya na aende salama ila uwe unaomba uzima tu tuwe hai alafu namkaribisha kila anaetamani kwenda nje aje sasa hivi aone ninavyopambana na nilichonacho.then aende zake na akakae huko mpaka atakapochoka na siku akirudi anitafute tena tukae mezani anionyeshe alichofanya na mimi nimuonyeshe nilichofanya...kisha tukimbie tukachungulie account yake na yangu alafu hapo tutapata jibu la ulaya na hapa africa TZ
Over
 
Mkuu wew umeona ni bora hapa bongo lakini mwenzako ameona hata huko ambako unavoona wew hakufai kunamfaa yeye....50-50 situation for both party
 
Passport unayo, NAULI unayo, 'yai' unatema, then you are good to go. Visit this site : workaway.com

Wengi wetu vijana, NAULI ndo changamoto that we primarily encounter regarding kupasua intercontinental sky.

Zangu dua mkuu ufike Malta salama.

-Kaveli-
Workaway nimeangalia wanataka uji
Ni tabia ya waTanzania wengi kujaribu kukimbia nchi yao iliyo tulivu sana.nijuacho mimi unaweza ukaishi hapa hapa bongo kama uko ulaya,inategemea tu na ubongo wako kama unafanya kazi vizuri na bidii ya hali ya juu.tatizo watu wametawaliwa na uoga wa kuthubutu mambo mengi halali hapa hapa ndani ya nchi na udhaifu wa kuona aibu kwa baadhi ya kazi zinazoweza kuwatoa,mwenye anataka kwend a ulaya na aende salama ila uwe unaomba uzima tu tuwe hai alafu namkaribisha kila anaetamani kwenda nje aje sasa hivi aone ninavyopambana na nilichonacho.then aende zake na akakae huko mpaka atakapochoka na siku akirudi anitafute tena tukae mezani anionyeshe alichofanya na mimi nimuonyeshe nilichofanya...kisha tukimbie tukachungulie account yake na yangu alafu hapo tutapata jibu la ulaya na hapa africa TZ
Over
Mkuu kama una mawazo tofauti na sisi bora ukae kimya coz ww huo ni mtazamo wako na cc huo ndo mtazamo wetu yaani kutafuta maisha nje ya nchi
 
Workaway nimeangalia wanataka uji

Mkuu kama una mawazo tofauti na sisi bora ukae kimya coz ww huo ni mtazamo wako na cc huo ndo mtazamo wetu yaani kutafuta maisha nje ya nchi
Mkuu Kaveli kule workaway nimeangalia wanataka ujisajiri kwanza kwa $29.00 but najiuliza ni uhakika ntampatata mtu ??? sio nijisajiri alafu tuishie kuchati tu.
 
uhakika upo,hio website imeekwa special kwa ajili hio tu kukutanisha kati ya host na worakway. mtafute host ambae ana review nyingi na feedback nzuri.
 
Wakuu,

Since some years back, ndoto yangu ni kwenda UK kimasomo then najilipua to Scandinavia country.

To realize my such dream, the MASTER PLAN was to secure full scholarship for undergraduate studies in the UK. I even started making some correspondence with Aston University regarding Admission. Ila daaah nikaanza kuona chenga tu... financial constraint! Ninarent geto single room uswazini afu almost three months naamka lukwirii kumhepa faza hausi, then Aston Uni wananambia kuwa Admission application Fee ni Pound (£) kadhaa. Nikaona isiwe taabu, nikapiga chini huo mchakato.

Ofkoz kuna some calls for scholarship applications ambazo zinaruhusu ku-lodge application even before an Admission being granted.

Wahenga walinena: "TRY AGAIN Is Something That We Should always Do". However, despite all back n' forth trials in that regard, my endeavors were not fruitful. As such, I did quit Master Plan. Hence, Plan B jumped in to play.

PLAN B was/is to secure scholarship to study in home country for undergraduate level. Thus, nisome Bachelor Degree hapa hapa Bongoland, then I will fly abroad to pursue Masters, as scholarships for Masters seem plenty and on 'full' basis.

Hiyo plan B ndo nipo nayo kwa sasa. I'm currently maximizing desk research kuhusu hilo. So wadau kama kuna yeyote mwenye awareness kuhusu 'Scholarships to study in home country', naombeni link jamani. In case something cracks your mind like: Why can't he go for loans board (HESLB)?!! My sincere & genuine answer is: I am Not qualified for loan from Heslb! Bongo miyeyusho.

Sasa endapo na hiyo Plan B ikafeli, what would be the rescue move??? Je ni kutia 'cha uwani' nirudishe gari rivasi? Hapana! No retreat No surrender. The Back Up Plan for rescue ni: kukomaa mwenyewe kutafuta mkwanja ili EITHER nijisomeshe mwenyewe hiyo first Degree (approx Tsh 12 Million), OR iwe nauli kwenda mtoni kujilipua. I will raise such amount kutoka shambani, yes nitaanza kulima. Mkuu Lizarazu, naomba unipokee kwenye kilimo cha vitunguu, japo bado sina mtaji. Lol

Nimejipa time frame ya one year kwenye plan B. If things still unfold, I will urgently reimbark to the Back Up Plan.

In fast lane chasing for my dream. My DREAM remains intact: To set foot in scandnavia country, either as professional or unskilled hustler.

'If you want to be strong, learn to fight alone'. It ain't easy, but you gotta keep ya head up until end of time.

-Kaveli-
 
Malta tuna pataman sana, hivyo tuna fanya kila liwezekanalo kufka...
 
Attachments

  • malta.JPG
    malta.JPG
    30.8 KB · Views: 79

Yaani maninja kama wewe ndo nawakubali pambana ....yaani mkuu in a war I will jump in drench with you......full motivation wew mwenyewe tuu
 
Pamoja sana kiongozi. Harakati on progress.

Bongo mishe zimebana. Tulio wengi tunapumulia pua moja.

Njaa, vumbi, jasho! Bongo nyoso. Tukaze jombaa. We must brainstorm jinsi ya kutoka, otherwise we gonna end-up trapped in vicious circle of extreme poverty.

-Kaveli-
 
Wakuu,

Since some years back, ndoto yangu ni kwenda UK kimasomo then najilipua to Scandinavia country.

To realize my such dream, the MASTER PLAN was to secure full scholarship for undergraduate studies in the UK. I even started making some correspondence with Aston University regarding Admission. Ila daaah nikaanza kuona chenga tu... financial constraint! Ninarent geto single room uswazini afu almost three months naamka lukwirii kumhepa faza hausi, then Aston Uni wananambia kuwa Admission application Fee ni Pound (£) kadhaa. Nikaona isiwe taabu, nikapiga chini huo mchakato.

Ofkoz kuna some calls for scholarship applications ambazo zinaruhusu ku-lodge application even before an Admission being granted.

Wahenga walinena: "TRY AGAIN Is Something That We Should always Do". However, despite all back n' forth trials in that regard, my endeavors were not fruitful. As such, I did quit Master Plan. Hence, Plan B jumped in to play.

PLAN B was/is to secure scholarship to study in home country for undergraduate level. Thus, nisome Bachelor Degree hapa hapa Bongoland, then I will fly abroad to pursue Masters, as scholarships for Masters seem plenty and on 'full' basis.

Hiyo plan B ndo nipo nayo kwa sasa. I'm currently maximizing desk research kuhusu hilo. So wadau kama kuna yeyote mwenye awareness kuhusu 'Scholarships to study in home country', naombeni link jamani. In case something cracks your mind like: Why can't he go for loans board (HESLB)?!! My sincere & genuine answer is: I am Not qualified for loan from Heslb! Bongo miyeyusho.

Sasa endapo na hiyo Plan B ikafeli, what would be the rescue move??? Je ni kutia 'cha uwani' nirudishe gari rivasi? Hapana! No retreat No surrender. The Back Up Plan for rescue ni: kukomaa mwenyewe kutafuta mkwanja ili EITHER nijisomeshe mwenyewe hiyo first Degree (approx Tsh 12 Million), OR iwe nauli kwenda mtoni kujilipua. I will raise such amount kutoka shambani, yes nitaanza kulima. Mkuu Lizarazu, naomba unipokee kwenye kilimo cha vitunguu, japo bado sina mtaji. Lol

Nimejipa time frame ya one year kwenye plan B. If things still unfold, I will urgently reimbark to the Back Up Plan.

In fast lane chasing for my dream. My DREAM remains intact: To set foot in scandnavia country, either as professional or unskilled hustler.

'If you want to be strong, learn to fight alone'. It ain't easy, but you gotta keep ya head up until end of time.

-Kaveli-
Duh pole sana ndugu mm nataka kukupa mtihani mmoja unaweza kuandika maneno 400 kuelezea utafanya nini kama ukipewa dola 100?
 
Wadau wenye capacity ya kufanya hiyo HOSTING, tumieni hiyo fursa vzuri.

Don't Toss up. Don't mess up.

-Kaveli-
 
Asante mkuu Izzo. Yes naweza kuufanya huo mtihani ndugu.

-Kaveli-
Kama unaweza kuandika kwa kingereza safi note usiige au kucopy idea ya mtu kwenye mtandao kwani kuna program (system) ya kuangalia kama maandiko yako umecopy sehemu au kwenye mtandao

Ukifanikiwa nakuonganisha sehemu unakuwa unapata dola elf 3000 kwa mwaka 1500 kila miezi 6 kwa ajili ya kusoma mpaka utakapo maliza mwisho miaka 5
 
Aisee mkuu izzo ubarikiwe.... Umekua msaada mkubwa sana hapa!!
 
Back
Top Bottom